RuwaIkunda
Senior Member
- Nov 2, 2017
- 156
- 279
2013 kipindi nipo mererani nasaka maisha..kuna jamaa mmoja aliotea Tanzanite kiasi flani. kiasi kadhaa akampa boss kiasi kingine akataka akifiche.sasa ule wakati wa kulala ,kuna katabia fulani hivi ukipata jiwe.Na kutaka kuliiba inabidi utafute sehemu ya mbali na kambi ya kulala unaenda ficha mzigo wako unaufukia Asubuhi unaamka mapema unaenda kuutoa alafu unapanda nao Arusha mjini kwenda kuuza.sasa jamaa akategea wenzake wamelala yeye akaenda tafuta chimbo wakati huo anahakikisha hamna mtu anae mfuata .jamaa kaingia chaka kachimba shimo akafukia tanzanite yake. Alafu juu akaweka kajiwe kadogo kama land mark ili Asubuhi akachukue mzigo fasta. Kumbe kuna wahuni walimchora. jamaa ile kaingia camp kulala .Wahuni wakatoka saa hiyo nipo chaka napuliza mjani nikwasoma kabla hawajaniona .nikatupa kijiti fasta nikakikanyaga kizime maana wangesoma kwamba kuna mtu anawachora yupo macho nikaanza wafata mdogo mdogo nikaskia wanaanza kumtukana yule jamaa huku wanataja jina lake wakaingia lile chaka wakasogeza lile jiwe wakatoa ule mzigo mmoja akaangusha haja kubwa mwingine akamaliza na haja ndogo alafu wakafukia kama palivyokuwa wakaeka na kale kajiwe.maana walikuwa ni majamaa wa wili nnao wasoma. Sikuwahi kumwambia huyo jamaa maana angewaua wale waliomfanyia umafia
Duuuuh[emoji15][emoji15][emoji50]