Mwana Mpotevu
Platinum Member
- Sep 7, 2011
- 3,295
- 2,501
<br /><br />Mimi nilikuwa naenda kuwacheck kina Mzungu wakidrible. Mimi ni mama aisee.<b>Ntuzu said: </b><br />Mwanangu Uhazili Maduu walikua kibao! Mazoezi ulikua unafanya Kweli Mkuu?
Unapakumbuka Ngoma sakasi???Ule uwanja upo mpk Leo!
Mkuu unazikumbuka mboga zinaitwa Nsansa? Na uyoga wa Kansolele? Unayakumbuka Makewe? Haya yote yanapatikana Tabora enzi hizoNtalali, nswalu,asali, matowolwa, watu wa huko wanajua kupika vyakula vya asili
Mi nilisoma Vidudu hapo Kitete , ila class mates wangu siwakumbuki.Nilisoma Cheyo A primary school enzi za mwalimu Chilambo.
Nawakumbuka ma class mate wangu wakina Shauki, Msami, Michikwanga, Albert Newton, Denis, Masala, Koku, Lucy, Anita, Restituta, Grace Chilambo.
Pia nilisoma kidogo Kitete primary school na kina Palangale, Ojuku, Mwombeki.
Looong time ago, I wish ningefahamu hao wote wapo wapi sasa hivi.
Hapa nimeinukia uyui sec 1997,njooniMkuu unazikumbuka mboga zinaitwa Nsansa? Na uyoga wa Kansolele? Unayakumbuka Makewe? Haya yote yanapatikana Tabora enzi hizo
Wewe,hebu kumbuka vizuri kama hata uliiokota,maana mm ndiyo niliyekupiga na umrnikumbusha kale nnooNakumbuka Mboka aliwahi nirusha mtama hadi sidiria ikadondoka kule mchangani.
Alishafariki muda, alikuwa anaishi jirani na pale chuo cha uhazili, kwa juu kama unaelekea bomani njia ya kwenda Airport.Kweli huyu alikua ripota mahiri. But nadhani hatunae tena. Si uhakika mwenye taarifa atujuze.
Huyu naye alishakufa, alikuwa mtu muungwana sana, kafa kitambo na kafia palepale, mara ya mwisho nilikutana naye pale nyuma ya stand akielekea msikiti wa Gongoni/Ijumaa 2005Vp Dk Othman? Alikuwa daktari Kitete akaacha na kufungua clinic yake. Mkewe alikuwa mwalimu Tabira Girls nadhani.
Yako mengi ntarali ndati nsungu nsalansi kwa kweli mikoa mingine sijayaonaUmesahau mengine yanaitwa Mfulu Na Magongoti!
Mimi nakumbuka matunda ya ntalali na mlenda wa nswalu.Hapa nimeinukia uyui sec 1997,njooni
ww km c wa tabora kaa kmy na kinyamwenzi kinausika hapa km wa kikwete auwezi kufahamuHii ni Tabora ya miaka ipi mnayo ongelea hapa wadau ?
Yaani ni kiswahili kinaongelewa hapa lakini bado sielewi ama kweli mliyafaidi maisha