Kwa wale waliozaliwa na waliowahi kuishi Tabora, tukumbushane vituko vya Mboka

Kwa wale waliozaliwa na waliowahi kuishi Tabora, tukumbushane vituko vya Mboka

<b>Ntuzu said: </b><br />Mwanangu Uhazili Maduu walikua kibao! Mazoezi ulikua unafanya Kweli Mkuu?
<br /><br />Mimi nilikuwa naenda kuwacheck kina Mzungu wakidrible. Mimi ni mama aisee.

Duh Kaunga mie nilikuwa nacheza basket pale na akina mzungu, Kabrola na Chudi palepale Uhazili. Timu ya Bees ilikuwa kali sana wakati huo. Jioni disco Uhazili duh. Nimekumbuka mbali sanaaa
 
Enzi hizo Tabora Askari Mgambo walikua na Nguvu na utashi mkubwa nadhani jeuri hii waliipata toka kwa baba Wa taifa
 
Ni kweli mboka raha sana nilikaa kwa muda mfupi lakn sita pasahau mitaa kama Isevya,kilolen,kanyenye n.k wapi mboka manyema weweee....
 
Mi
Nilisoma Cheyo A primary school enzi za mwalimu Chilambo.
Nawakumbuka ma class mate wangu wakina Shauki, Msami, Michikwanga, Albert Newton, Denis, Masala, Koku, Lucy, Anita, Restituta, Grace Chilambo.
Pia nilisoma kidogo Kitete primary school na kina Palangale, Ojuku, Mwombeki.
Looong time ago, I wish ningefahamu hao wote wapo wapi sasa hivi.
Mi nilisoma Vidudu hapo Kitete , ila class mates wangu siwakumbuki.
 
Tabora muuza maembe anatekwa na anaibiwa na wezi wanasakwa bila kupatikana, niliwahi kumshuudia mama mmoja anapika supu mtaani anasema kaibiwa masufuria na ndoo ya kunawia.

Ukimtaka dada hupati shida, unamtongoza tena kwao na kaka mtu akiwepo anashuhudia ...akizingua unampa buku anakuruhusu unasepa na dadaake
 
Kweli huyu alikua ripota mahiri. But nadhani hatunae tena. Si uhakika mwenye taarifa atujuze.
Alishafariki muda, alikuwa anaishi jirani na pale chuo cha uhazili, kwa juu kama unaelekea bomani njia ya kwenda Airport.
 
Vp Dk Othman? Alikuwa daktari Kitete akaacha na kufungua clinic yake. Mkewe alikuwa mwalimu Tabira Girls nadhani.
Huyu naye alishakufa, alikuwa mtu muungwana sana, kafa kitambo na kafia palepale, mara ya mwisho nilikutana naye pale nyuma ya stand akielekea msikiti wa Gongoni/Ijumaa 2005
 
Hii ni Tabora ya miaka ipi mnayo ongelea hapa wadau ?
Yaani ni kiswahili kinaongelewa hapa lakini bado sielewi ama kweli mliyafaidi maisha
 
Tabora kuna matunda ambayo sijawahi kuyaona sehemu nyingine yoyote ya Tanzania. Mbula, Nsalansi, Ndati, Magongoti,mfulu, ntalali etc
 
Hii ni Tabora ya miaka ipi mnayo ongelea hapa wadau ?
Yaani ni kiswahili kinaongelewa hapa lakini bado sielewi ama kweli mliyafaidi maisha
ww km c wa tabora kaa kmy na kinyamwenzi kinausika hapa km wa kikwete auwezi kufahamu
 
Back
Top Bottom