Kwa wale waliozaliwa na waliowahi kuishi Tabora, tukumbushane vituko vya Mboka

Hapo mihayo pana kanisa pembeni na uwanja wa basketball. Hilo kanisa lilitumika kama Hall la kusomea chuo cha SAUT.
Hilo kanisa lilisamehewa kodi kwenye miradi yake yote wakati ule wakati sehemu zingine zote kodi ilikuwa inaendelea kama kawaida enzi zile .
 
Hilo kanisa lilisamehewa kodi kwenye miradi yake yote wakati ule wakati sehemu zingine zote kodi ilikuwa inaendelea kama kawaida enzi zile .
Kanisa la kumbukumbu ya askofu Mihayo wa Jimbo kuu la Mboka miaka ya 1980+ walitangaza dau kupaka rangi msaraba juu ya paa la kanisa mafundi rangi wakachemka
 
Kanisa la kumbukumbu ya askofu Mihayo wa Jimbo kuu la Mboka miaka ya 1980+ walitangaza dau kupaka rangi msaraba juu ya paa la kanisa mafundi rangi wakachemka
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hio ilikuwa story tu bro.
Mimi nilikuwa nasoma hapo Isike miaka hio.
Ule msalaba mpk unaota kutu hakuna mtu aliwahi kupanda kule kupiga rangi.

Tatizo lilikuwa vifaa.
Wazungu dunia nzima wanaweka misalaba Juu kabisa ili mgeni akiingia ktk mji ajue kuna Wakristo hapo na mji huo uko chini yao.

Siku hizi wamekata tamaa.
Magorofa mengi mno.
Misalaba haionekani
 
Tabora hasa mkiizingumzia isevya mnanichoma moyo kabisa baada ya miaka 30 ndo nimerudi mboka tena..karibuni jmn mboka pamekucha sana seheme za starehe za sasa ni gamalo terrace oxygen vimajo mboka ni lami tupu jmn magufuli oooyeeeeee
 
Kumbe ni story sio mie nilisoma Mihayo Primary 1978-1984 kuna mwaka kulikua na Jubilee miaka 100 ya Jimbo wakapaka rangi kanisa lote ila kile kimchongoko juu ya paa na msalaba wakachemka
 
Miaka ya 90 huko sisi wa kiloleni chimbo letu la siku kuu lilikuwa kwa Bhakharesa kula koni.
Watoto wa uswazi mdundiko zilikuwa ngoma zetu na wimbo kama ---hayaa twendee[emoji444]hayaa twendeee[emoji444]wapiiii[emoji444]kwa Bhakharesaaa[emoji444]kwa Bhakharesa kwa niniiii[emoji444]konii na mlijaaaa[emoji444]---.[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Teh teh teh
Ntuzu. Tabora imeisha walenga wote
Siku hizi kuna wahamiaji tu.

Miaka ile ya 80 mpk 90 ndio ilikuwa Tabora.
Wazee wote wamesha tungulia mbele ya haki.

Yule mdosi wa athuman store alikuwa mstaarabu sana .
baskeli yake anaipamba vitambaa na taa km gari.
Leo tabora wamevamia wahutu na wageni wengi mno.
 
Agama Agama Lizard.. alikuwa mtata sana
 
Mwalimu Madafu.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™
 
Aposele naikumbuka ingawa nimesahau ilikuwa wapi, mama mpuguso naye vipi? anakumbukwa? na wale wahindi kina mukesh na sailesh je? walikuwa na garage. mukesh alikuwa anaendesha pikipiki ndo ilikuwa icon yake. nani anakumbuka bizeta hotel?
Mama Mpuguso.Mama wa Ramadhani Nyanga na Hashim Nyanga.Kanyenye moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…