Mwanangu Yani Hiyo ID yako tu, lazima mtu ajue Kua Wewe ni Wa Mboka.
Iselamagazi walikua wanapelekwa wizi na wasungusungu kuwatesa kule! Na walikua wakiimba nyimbo ndani yake ya huo wimbo wanataja neno
Iselamagazi .
Mwanangu Hiyo mitaa naikumbuka sn! Chemchem, Ng'ambo, Mwanza Road, Isevya na Kiloleni ilikua na vibaka Hiyo mitaa vibaya sn!