kahtaan
JF-Expert Member
- Jul 11, 2009
- 18,760
- 11,343
You guys, mmenikumbusha mbali. Kulikuwa na mwehu mmoja simkumbuki jina, alikuwa anapenda kukaa kwenye mwembe fulani juu ya kisima oposite na tabora hotel na na kabla ya bweni jipya la ttc alikuwa anapenda kutuonesha dudu lake kila tukimuomba (datada la nne nafikiri)
Teh teh teh!
Aisee hapo umenishtua kidogo!
Sasa unamuomba akuonyesha li dushelele lake la nini!
Huyo huenda akawa mr KATOPE!
Teh teh teh!