Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uuuh!! Igombe na maji yake yalivyokuwa na rangi mbaya!!na disco la igombe spika zinafungwa vichakaniTeh teh teh!
Mkuu mamtonga nimekula saana pale isike primary! Wakati nyerere anafundisha mihayo!
Sasa hapo piga hesabu mi mdingi kiasi gani!
Enzi hizo wale masista wa pale moravian ukiwatizama utafkiri hawa kina dada wa kiislamu!
Yaani huoni chochote kwenye miili yao zaidi ya uso tu!
Na nadhani ile moravian iko mpaka leo. Ya kule mwanza rd.
Na wakati huo igombe ndio ilikuwa beach baab kubwa!
Siku za sikukuu tunabebana kwenye malori tunaenda kucheza SAKAYONSA au Ile miziki ya Tabora Jazz karibu na Viboko wa Bwawa la igombe!
Sii mchezo!
Uuuh!! Igombe na maji yake yalivyokuwa na rangi mbaya!!na disco la igombe spika zinafungwa vichakani
Teh teh teh teh!
Mkuu umenichekesha sana leo kumtaja roshi na mwajuma ringa! Au kwa jina jingine mwajuma miwanja
Na unamkumbuka jeta mwehu! Alikuwa anaishi mtaa wa stendi ya bus ya zamani!
Mshenzi yule alikuwa matusi yake kwa nyerere tu!
Halafu we Ntuzu mbona uko tofauti sana na wanyamwezi wenyewe!?
Umekuwa bahili wa kutoa "like" hata kwenye uzi wako mwenyewe??
Mhhhhh! Bagesha! Onene na nho! Mmmmm! lugumya mno !!
Mkuu simu yng haisapoti likes! Lkn Usijali Leo wote mnapata!
Kwakweli mmenifurahisha sn na kunikumbusha mbali sn!
Mkuu Yani Wewe ni Nouma! Umewajua hao ndege majina Yao? Zizi! Kah!
Aisee we unamjua Sabura !?
Nikisema sana unaweza kunijua na mimi!
Teh teh teh!
Mimi na Sabura ni mtu na mjomba wake!
Na wakati ule wa ujana bata zangu nilikuwa nalia kule rufita club na jumamosi naruka nyoka pale mwanaisungu!
Kwi kwi kwi kwi!
Duhh! Haki ya mama Tabora siwezi sahau
Unamkumbuka mzee Mushi wa TBR by night!?
Kuna wale wengine wanaitwa Ntyetye! Wanapenda kukaa kwa makazi ya watu! Unawakumbuka?
Aisee, Evelyn Kisenge aliyekuwa na matege na midomo fulani hivi? Kama ni yeye au mdogo wake nilikuwa naye Kazima.
Nakumbuka mitaa ya ng'ambo (pombe za kienyeji kwa kwenda mbele), rufita, mwanza road, chemuchemu nyumba zimechookaaa, watu wanaotoka humo sasa lol! Kwa wagirlzia na waboyzia, kazima sec, mitaa ya cheyo. Barabara zimefunikwa na miembe kimvuli mwanzo mwisho, hope hiyo miti bado ipo, kitambo sana aisee, ajabu nimesahau jina la mtaa niliokuwa naishi
Uuuh!! Igombe na maji yake yalivyokuwa na rangi mbaya!!na disco la igombe spika zinafungwa vichakani
Nakumbuka mitaa ya ng'ambo (pombe za kienyeji kwa kwenda mbele), rufita, mwanza road, chemuchemu nyumba zimechookaaa, watu wanaotoka humo sasa lol! Kwa wagirlzia na waboyzia, kazima sec, mitaa ya cheyo. Barabara zimefunikwa na miembe kimvuli mwanzo mwisho, hope hiyo miti bado ipo, kitambo sana aisee, ajabu nimesahau jina la mtaa niliokuwa naishi
Ni mizuri ila kuna fursa ya kuboresha zaidi hasa going browny
Mmenikumbusha mbali sana, yaani ukiwala hao nywele hazioti tena..... kkkkkkkkk