Kwa wale waliozaliwa na waliowahi kuishi Tabora, tukumbushane vituko vya Mboka

Kwa wale waliozaliwa na waliowahi kuishi Tabora, tukumbushane vituko vya Mboka

Hivi lile soko la mitumba SARATOGA bado lipo, lilihasisiwa na uncle wangu..... patric na revocatus kama mlangomoja la mwanza, chemchem napakumbuka sanaa, mirambo..., uyui.. yani mboka bhana, sema nyumba zao tu, hiv sasa wanajenga za matofari! sijui..

Asb tuuu wanacheza kete.
 
Wakuu salama?

Nimeona tukumbushane mambo na vituko vya mboka na story kibao za mkoa ule! Na mitaa, matunda ya porini km Magongoti, vijana Wa mboka, Mwanaisungu etc.

Wakuu Mwenye story ya mboka Au Mwenye chochote kile aje tupige porojo kidogo!

waswezi unawakumbuka? nimesoma uyui na gongoni, uhazili nimecheza basketball, disco la muungano mess nimecheza. makokola je, vipi?
 
Dah! Kitambo sn! Ila jamaa alikua anapenda sn viumbe! Bilashaka Rafiki Yake kahtaan atakua mtu Wa viumbe sn!

Duhh!
Haki ya mama meja na mimi na jamaa wengine tulikuwa tunazichanga halafu tunaingizana pale African hotel.
Nyama choma kwa fujo!

Kuna siku yule Dr kabelo alileta Soo pale! Akaanza kutukana kina dada flani pale. Eti kwa sababu yy ni bingwa wa kuzalisha pale Tbr lazima atakuwa kaishaona zile nyeti za hao kina dada wanaoringa!

Nilimkata kofi mpaka chini! Paka shume yule! Sijui nae bado yuko hai!?

Teh teh teh teh!
 
Last edited by a moderator:
waswezi unawakumbuka? nimesoma uyui na gongoni, uhazili nimecheza basketball, disco la muungano mess nimecheza. makokola je, vipi?

Mwanangu Wewe acha tu! Naikumbuka sn familia ya akina Kaneno Wa pale Nation House! Nimecheza basketball na Meco Kaneno Na Byela!

Hivyo viwanja vya Basket vya Tabora Vyote Nimecheza! Makokola, Uhazili, Mihayo, TTC. Boys! Dah!! Ni noma Mkuu!
 
Hamadi Mwinyimkuu! Unawakumbuka?

Duhh! Wacha hamadi. Watoto woote wa mzee.mwinyi mkuu nawafahamu.

Na Adam fundikira ndio ilikuwa kampani yangu ile!

Yaani saa hii niko ofisini hapa lkn akili yooote imehamia mbokaland!

Few thousand miles away !

Duhhh!
Tumeruka nyoka saaana pale mwanaisungu!
 
Duhh!
Haki ya mama meja na mimi na jamaa wengine tulikuwa tunazichanga halafu tunaingizana pale African hotel.
Nyama choma kwa fujo!

Kuna siku yule Dr kabelo alileta Soo pale! Akaanza kutukana kina dada flani pale. Eti kwa sababu yy ni bingwa wa kuzalisha pale Tbr lazima atakuwa kaishaona zile nyeti za hao kina dada wanaoringa!

Nilimkata kofi mpaka chini! Paka shume yule! Sijui nae bado yuko hai!?

Teh teh teh teh!

Mwanagu Hiyo familia ya Dk Kobelo walichoka sn Alafu alizaa matoto machizi!

Yalikua yakilewa mipombe yanamrudi mama Yao Wa Kirusi na kushiriki nae!

Teh Teh Teh teh!
 
Aisee wakuu.mi inabidi niwatoke kidogo manake toka nimeingia humu. Sitaki kutoka!
Kazi itanishinda sasa!

Wapanga baba!
 
Duhh! Wacha hamadi. Watoto woote wa mzee.mwinyi mkuu nawafahamu.

Na Adam fundikira ndio ilikuwa kampani yangu ile!

Yaani saa hii niko ofisini hapa lkn akili yooote imehamia mbokaland!

Few thousand miles away !

Duhhh!
Tumeruka nyoka saaana pale mwanaisungu!

Mkuu Unamkumbuka marehemu Kafti nduye Isungu?

Mwanangu tutawapata Wengi sn humu Wa Mboka Manyema!

Mimi naweza sema wajanja wote Wa Tz km hakupitia mboka Bado hajakizi vigezo! Maana mboka ilikua Chuo!
 
Mboka hakuna mfano.mkuu!
We hata ukaishi ktkt ya manhattan mboka utaikumbuka tu!

Ha ha ha haaaaaa! Mkuu Ngoja niwajibike kidogo!

Tutalisongesha badae!
 
Back
Top Bottom