Kwa wale waliozaliwa na waliowahi kuishi Tabora, tukumbushane vituko vya Mboka

Hahaha, nimepiga sana jolowe na kaka zangu, kuna vindege vingine vidogo vya blue, tulikuwa tunavitega kwa ungo na chenga za mchele sijui vyaitwaje.

Yule chizi, bwana tulikuwa wadogo about 12 na akawa anatuonesha dushe lake, we were just naughty girls.

vinaitwa viziizi kuna ndege wengi we acha tu! jolowe,mkongotoro,zonzi,kajole,katyente,dede,tetere,wanya nyanda,chozi,etc.yaani nimewinda na manati,ungo,ulimbo,mkupuo na wavu hadi namaliza form 4!
 
huu uzi ni noma, mpaka kandege jambazi kakumbukwa! nilimsikia sana huyu ingawa kwa sura sikuwahi kumfahamu.

Mkuu Lukansola humu JF kuna watu Wa mboka kibao! Bado watakuja na story kibao sn! Huyu Kandege alikua jambazi kubwa sn lenye makundi! Na ninafikiri alikufa kwenye ile oparesheni ya Wajeshi miaka ya 80 mwishoni pale walipowaua majambazi Wengi kule Kiloleni!
 
Last edited by a moderator:
Mwanagu Hiyo familia ya Dk Kobelo walichoka sn Alafu alizaa matoto machizi!

Yalikua yakilewa mipombe yanamrudi mama Yao Wa Kirusi na kushiriki nae!

Teh Teh Teh teh!

Ntuzu ngoja nikusahihishe kidogo.
Dr.Kobello alisomea Russia mambo ya Utabibu(MD) na akaoa mwanamke wa kizungu ambaye alizaa naye watoto watatu wa kiume na wote walikuwa Half-Cast na alirudi na kuishi Tabora akiwa na mkewe na watoto watatu.

Mama huyo wa Kizungu alikuwa mtaratibu na muungwana sana tofauti kabisa na mumewe Dr.Kobello ambaye alikuwa Mlevi Mbwa, mwenye dharau, malaya nk.
Watoto wake hawakuzaliwa machizi bali walikuwa na akili sana hususani mtoto wake wa Pili(Steven).

Lakini baadaye watoto wawili(Mtoto wa kwanza na wa pili(Steven)) walikuja kuharibika kabisa na kuwa kama machizi, Pombe, bangi na Unga vikiwa ndio chanzo kikubwa.
Kifupi Famili hii yote imeteketea kwa wote kufariki dunia kwa kipindi kifupi na amebaki mtoto mmoja ambaye ndio wa mwisho kuzaliwa.

Ni sad story nikiisimulia humu kwa kina hii familia namna ilivyopotea
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Lukansola humu JF kuna watu Wa mboka kibao! Bado watakuja na story kibao sn! Huyu Kandege alikua jambazi kubwa sn lenye makundi! Na ninafikiri alikufa kwenye ile oparesheni ya Wajeshi miaka ya 80 mwishoni pale walipowaua majambazi Wengi kule Kiloleni!

nina hakika pia wengi tunaweza kufahamiana kabisa humu, Hongera kwa huu uzi Ntuzu, kweli nimekumbuka mengi sana.
 
Last edited by a moderator:
nani anamkumbuka delhi kisesa? watoto wa mzee kisesa nadhani alikuwa doctor huyu mzee alikuwa anaishi karibu na round about ya bomani jirani na dr kasele (dentist). huyu mtoto ndo nilikuwa najifunzia kutongoza hivi yuko wapi jamani!
 
Ntuzu ngoja nikusahihishe kidogo.
Dr.Kobello alisomea Russia mambo ya Utabibu(MD) na akaoa mwanamke wa kizungu ambaye alizaa naye watoto watatu wa kiume na wote walikuwa Half-Cast na alirudi na kuishi Tabora akiwa na mkewe na watoto watatu.

Mama huyo wa Kizungu alikuwa mtaratibu na muungwana sana tofauti kabisa na mumewe Dr.Kobello ambaye alikuwa Mlevi Mbwa, mwenye dharau, malaya nk.
Watoto wake hawakuzaliwa machizi bali walikuwa na akili sana hususani mtoto wake wa Pili(Steven).

Lakini baadaye watoto wawili(Mtoto wa kwanza na wa pili(Steven)) walikuja kuharibika kabisa na kuwa kama machizi, Pombe, bangi na Unga vikiwa ndio chanzo kikubwa.
Kifupi Famili hii yote imeteketea kwa wote kufariki dunia kwa kipindi kifupi na amebaki mtoto mmoja ambaye ndio wa mwisho kuzaliwa.

Ni sad story nikiisimulia humu kwa kina hii familia namna ilivyopotea

tupe walau kwa uchache mkuu.
 
Mkuu Uko sahihi kabisa! Mimi sikutaka kuizungumzia sn Hiyo familia ila naifahamu vzr sn!

Wale watoto Wa Kobelo walikua na Akili sn shuleni Lkn walivyokuja kuharibika Yani ilikua hovyo kabisa!

Yule mama Wa Kirusi ukikutana nae sokoni alikua anatia Huruma sn! Hivi Kwanini Warusi hawapendi saidia raia wao wakiwa away?
 
Last edited by a moderator:
nina hakika pia wengi tunaweza kufahamiana kabisa humu, Hongera kwa huu uzi Ntuzu, kweli nimekumbuka mengi sana.

Mkuu ni Kweli ndugu yng! Kwanza Mimi nimeogopa kabisa kujiachia kwa hoja na kuropoka maneno hivyo! Kwasababu unaweza ukawa unaemropokea kumbe ulikua nae shule Moja na huenda ata ulikua unakaa nae Dawati moja!

Kwa mfano Rafiki Yangu kahtaan kule kwenye mambo ya Dini/Imani hua anawasha moto Kweli! Lkn kumbe ni mtu Wa Mboka na ktk Company Zake miaka Hiyo kumbe ndio Tulikua tunacheza wote Basketball pale Uhazili!

Aiseee ninoma!

Tutazidi kufahamiana tu humu!
 
Last edited by a moderator:
Aposele naikumbuka ingawa nimesahau ilikuwa wapi, mama mpuguso naye vipi? anakumbukwa? na wale wahindi kina mukesh na sailesh je? walikuwa na garage. mukesh alikuwa anaendesha pikipiki ndo ilikuwa icon yake. nani anakumbuka bizeta hotel?

Aposele ipo karibu na station! Ile njia ya vumbi inayokwenda Boma la jeshi.
 
Mkuu Ntuzu

Inalekea wewe ulikua unakaa National House, Vipi kuna jamaa naitwa John Shija bado yuko mboka Nation ? na famila ya kina Simbakalia bado ipo Tabora ?

Nilikua nakaa kule juu mlimani Filter!

Namkumbuka sn John Shija mkulu!
 
Siku ya jtano usiku bendi ya tabora jazz ilikua inatoa burudani pale unyanyembe social hall karibu na soko kuu mida ya saa nne usiku utasikia ukiw mitaa ya Chemchem near Kwa wanaume Milambo School nyimbo zinasikika "Ooooh najuta ....nifanye nini sasa....pole kaka mimi ni bado msichana....!"

Kulikua na mabasi ya kwenda Urambo yana carrier juu, road ikiwa ni vumbi nasikia siku hizi ni lami enz hizo stend mpya haijafunguliwa na mh Ben Mkapa aliyekuja kuifungua baadae sna akiwa anatembelea mkongojo kipindi hicho.

Redio za FM ilikua hakuna had baadae sana ikaja RFA na hizi za CG FM na VOT, voice of Tabora zikafuata.

Ukitembea njiani unaangukiwa na maembe aliyoacha Mwarabu ile njia ya karibu na NMB kwa nyuma imejaa miembe njiani
Kulikuwa na kampuni ya KISAMVUU(Tajiri wa Kaliua), KAZUGE, NAAMANSII etc sure wameanza kutengeneza barabara hadi december last year ulikuwa unatoka tabora hadi Usoke n lami tupu BT MADARAJA ni yamawazo sana
 
wapiii ripota wetu wa RTD BENIIIIIIIIIIIII KIKOOOOOOOOOOOOOOOOOO!!!! kutoka tabora mimi n Beniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Kiko wa redio tanzania!!!huyu jamaa aliwahi ripoti kuhusu majambazi yaliyoteka basi la Anam kutoka Urambo kuja tbr ambako wasafiri waliamlishwa kupanda juu ya carrier ya bus then kulikuwa na askari 1 akaruka kutoka kwenye carrier ""mithili ya digidigi""(huyu n B kikooo)
 
Usiku umenichekesha sn! Kampuni ya KINSAMVU nayakumbuka sn hayo mabasi!
 
Last edited by a moderator:
wapiii ripota wetu wa RTD BENIIIIIIIIIIIII KIKOOOOOOOOOOOOOOOOOO!!!! kutoka tabora mimi n Beniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Kiko wa redio tanzania!!!huyu jamaa aliwahi ripoti kuhusu majambazi yaliyoteka basi la Anam kutoka Urambo kuja tbr ambako wasafiri waliamlishwa kupanda juu ya carrier ya bus then kulikuwa na askari 1 akaruka kutoka kwenye carrier ""mithili ya digidigi""(huyu n B kikooo)

Nafikiri alikua GM pale VOT!
 
nani anamkumbuka delhi kisesa? watoto wa mzee kisesa nadhani alikuwa doctor huyu mzee alikuwa anaishi karibu na round about ya bomani jirani na dr kasele (dentist). huyu mtoto ndo nilikuwa najifunzia kutongoza hivi yuko wapi jamani!

Wewe Nafikiri ndio ulikua unaniharibia ndege wangu!
 
Kulikuwa na kampuni ya KISAMVUU(Tajiri wa Kaliua), KAZUGE, NAAMANSII etc sure wameanza kutengeneza barabara hadi december last year ulikuwa unatoka tabora hadi Usoke n lami tupu BT MADARAJA ni yamawazo sana

Unayakumbuka mabasi ya ASANTE TABORA kichwa cha roli body la basi yalikuwa yanakwenda Kigwa!
 
Back
Top Bottom