Kwa wale waliozaliwa na waliowahi kuishi Tabora, tukumbushane vituko vya Mboka

Mitaa ya pombe sn kule Ng'ambo ni kwa Gondwe, Nguno na Mapumziko! Yani huko pombe la kienyeji kwa kwenda mbele!

Teh Teh Teh Teh!

Mkuu Ntuzu we kumbe yale masuala ya wanzuki na pombe ya ulazi ndio ilikuwa weekend yako saaafi pale kwa mwendesha!
Sio!?
Au ulikuwa unapigia pale Kachoma! Karibu na chem chem!?

Teh teh teh teh!
 
Last edited by a moderator:
Tehtehtehteh... sio mimi bwana, mie nilikuwa mtoto wa geti kali, uncle wangu alikuwa meneja wa RTC Tabaora wakati aunt alikuwa mwl kazima sec, alikuwaje mkali!

Mi kama nilikuwa nakuona pale ngomasakasi! Karibu na amani hotel.

Au sio wewe!?
 
Pale kipalapala alikwepo padri mmoja lift alikua anatoa kwa wasichana was T. Girls tu boys no.
 
Nakumbuka wakati niko milambo na mtaani kulikuwa na watoto wa mbwa amboa ukiingia kwenye anga zao unachezea visu, daaah tabora bwana nimepamiss sana hasa stesheni wadau
Nakumbuka nilivyoingia milambo high school nikapita mitaa ya chem chem kila nyumba nasikia harufu ya pilau ukiangalia nyumba zilivyopinda nilichoka.
 
Mkuu Ntuzu we kumbe yale masuala ya wanzuki na pombe ya ulazi ndio ilikuwa weekend yako saaafi pale kwa mwendesha!
Sio!?
Au ulikuwa unapigia pale Kachoma! Karibu na chem chem!?

Teh teh teh teh!

Kwi Kwi Kwi Kwi!

Mwanangu hizo pombe ukinywa km kijana lazima uonekane Mzee!
 
Last edited by a moderator:
Tehtehtehteh... sio mimi bwana, mie nilikuwa mtoto wa geti kali, uncle wangu alikuwa meneja wa RTC Tabaora wakati aunt alikuwa mwl kazima sec, alikuwaje mkali!

Duhh anti kutaja hayo mambo ya geti kali.

Umenikumbusha jamaa yangu mmoja alikuwa na ndege wake kule Cheo karibu na kambi ya jeshi.
Mtoto geti kali kiroho mbaya!

Sasa jamaa siku moja kanipitia nimsindikize. Manake ndege ilimuahidi kukutana nyuma ya nyumba magharibi time!

Basi wakati tunaenda tukakosea step tukapita maeneo ya jeshi!
Weeee!

Kulirukishwa kichura kama hatuna akili nzuri!

Kitokeo cha hapo. Breki ya kwanza isevyaaaa kwenda kutafuta supu ya makongoro! Pale karibu na Mzee makubeli!

Manake miguu ilikuwa inauma kishenzi!

Teh teh teh teh!

Cc manumbu1
 
Last edited by a moderator:
Nimecheza basket ball na hao akina Major na akina Bakari Chaima!

Kumbe Major ni marehemu?
Ntuzu we sasa naona unakuja vibaya!
Meja yupi unaemjua wewe!

Manake meja nnae mjua mimi tumesoma pamoja Isike.
Na pale student centre tulikuwa wote kila jioni!

Na je! Kibira family unawafahamu.
Wale kina issa kibira. Na pale fourways karibu na TBR by night!?
 
Teh Teh Teh

Yani Mkuu we ni noma!

Umemtaja na Mzee Makubeli?!!!!!!

Kah!!!! Mboka hazina ya vichwa!
 
Last edited by a moderator:
Ntuzu we sasa naona unakuja vibaya!
Meja yupi unaemjua wewe!

Manake meja nnae mjua mimi tumesoma pamoja Isike.
Na pale student centre tulikuwa wote kila jioni!

Na je! Kibira family unawafahamu.
Wale kina issa kibira. Na pale fourways karibu na TBR by night!?

Huyo Huyo aliekua anacheza BasketBall pale Uhazili!
 
Last edited by a moderator:
Nimecheza basket ball na hao akina Major na akina Bakari Chaima!

Kumbe Major ni marehemu?

Yeah mkuu, Major is no more, hivi Bakari yuko wapi? good memories, nilikuwa nakaa Nyamwezi street karibu na doctor kisenge.
 
kahtaan mi nimezaliwa Kitete Hospital na shule ya msingi nimesoma Kitete pale na sec nimesoma Uyui then ndo nikaondoka mboka!

Kwahiyo mboka naifahamu vzr sn! Yani hao unaowataja wote hao nawafahamu!
 
Last edited by a moderator:
kahtaan mi nimezaliwa Kitete Hospital na shule ya msingi nimesoma Kitete pale na sec nimesoma Uyui then ndo nikaondoka mboka!

Kwahiyo mboka naifahamu vzr sn! Yani hao unaowataja wote hao nawafahamu!

Uyui umesoma mwaka gani Ntuzu?
 
Last edited by a moderator:
Yeah mkuu, Major is no more, hivi Bakari yuko wapi? good memories, nilikuwa nakaa Nyamwezi street karibu na doctor kisenge.

Dah! Kitambo sn! Ila jamaa alikua anapenda sn viumbe! Bilashaka Rafiki Yake kahtaan atakua mtu Wa viumbe sn!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom