kahtaan
JF-Expert Member
- Jul 11, 2009
- 18,760
- 11,343
Mitaa ya pombe sn kule Ng'ambo ni kwa Gondwe, Nguno na Mapumziko! Yani huko pombe la kienyeji kwa kwenda mbele!
Teh Teh Teh Teh!
Mkuu Ntuzu we kumbe yale masuala ya wanzuki na pombe ya ulazi ndio ilikuwa weekend yako saaafi pale kwa mwendesha!
Sio!?
Au ulikuwa unapigia pale Kachoma! Karibu na chem chem!?
Teh teh teh teh!
Last edited by a moderator: