Kwa wale waliozaliwa na waliowahi kuishi Tabora, tukumbushane vituko vya Mboka


Teh teh teh!
Aisee hapo umenishtua kidogo!
Sasa unamuomba akuonyesha li dushelele lake la nini!

Huyo huenda akawa mr KATOPE!

Teh teh teh!
 
Wakuu salama?

Nimeona tukumbushane mambo na vituko vya mboka na story kibao za mkoa ule! Na mitaa, matunda ya porini km Magongoti, vijana Wa mboka, Mwanaisungu etc.

Wakuu Mwenye story ya mboka Au Mwenye chochote kile aje tupige porojo kidogo!

Hii post isihitimishwe kabla sijaskia habari Za Akanana..!
 

Sakayonsaaaaaaaaa hahahaahahhaahaha kumbe tumo wazee wengi humu
 
Mkuu we nikitazama jina lako naona kwa mbuguswa na mantonga si wa kawaida!

Teh teh teh teh teh!

Mboka yeeee!

Nimekulia URAMBO.. So all sort of story zimeniingia sana, nakumbuka alfajiri tulivyokuwa tunajihim kufuata Mantonga.. ! Da.. Aisee.. Good old Days.. Asubuhi mnakimbia Mbali Kweli, Basi Miguu inawasha hiyo.. Da.. Nakumbuka Enzi tunawinda Basi ile asubuhi mnapoondoka lazima utoe mchango wa mbwa.. Kama huna mbwa mawindo hupati.. Unaambulia kwato tu.. Basi huko porini mkiona mnyama mnamtimua huku kila Mtu akitaja kiungo chake Mie..paja, mie mguu wa mbele, mie shingo, mie Kichwa Basi kila Mtu kiungo chake.. Ilikuwa Imani ya ajabu sana .. Mnyama mwenyewe wala hammpati..

One day nilidrive Hadi Kwenye pori Hilo Neary Kaliua nilipokwenda tembelea, niliwaza sana it Realy touch those tough but sweety life..

Kuna matunda yanaitwa ntalali, mpuguswa kuna nchi nilitembelea nikakuta matunda Kama mpuguswa. .. Very funny
 
Makamilwa na makopa ya kufa mtu!

Piga jolowe kama hakuna serikali!

Teh teh teh teh!

Hahaha, nimepiga sana jolowe na kaka zangu, kuna vindege vingine vidogo vya blue, tulikuwa tunavitega kwa ungo na chenga za mchele sijui vyaitwaje.

Yule chizi, bwana tulikuwa wadogo about 12 na akawa anatuonesha dushe lake, we were just naughty girls.
 
maalim,nimepita tabora last week,nikaona mikate toka kahtaan bakery! We ndo unamiliki ile kitu!!?

Huyo jamaa tunafanana majina tu!

Na tumetokea mji mmoja!

Isije ikawa tabu bure hapa!
Jamaa akakosa wateja kwa kufanana majina na mimi.

Wala hatujuani!
 

Hao ndege watakuwa wqnaitwa zizi kkkkkkk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…