Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 5,233
- 12,398
Kijana Riz1 ni the next president in the making.
Kuna kipindi alikuwa kwenye kashfa mbali mbali za Ufisadi na mambo mengine. Alikuwa hakauki kwenye midomo ya wengi dhidi ya Ufisadi.
Kwa sasa Kijana ametulia na ameshaweka mizizi ya mbuyu; na wazee wa familia wameshampika ….. usitokee kwenye kashfa yoyote and keep your profile very low …… kwa sababu Watanganyika ni wasahaulifu sana.
Mpaka sasa kijana ameshafulu kwa 60% …… amekuwa mtendaji wa Umma sana kuliko mwanaCCM .
Hata ukimtizama kwa sasa, anapendeza machoni, anafaa kwa matumizi, good for the body , soul and mind .
Njia inasafishwa taratibu na hili lilithibitika pale Dodoma, Baba alihakikisha Mama yake anapita kwa Azimio ili mtoto asije kulala njaa
Je kina Makamba, Nape, Doto, Mwigulu, Emmanuel, Kassimu , Makonda the great ….mtamuweza huyu mtoto wa kishua aliyezungukwa na ufalme wa Adam and Ev?
Si mnajua kuwa wachawi walishakufa?
Kazi kwenu