Kwa wale wana CCM mnaoutaka Urais 2030, Je mtaiweza nguvu ya Ridhwani Kikwete?

Kwa wale wana CCM mnaoutaka Urais 2030, Je mtaiweza nguvu ya Ridhwani Kikwete?

Ilipita miaka miwili hivi tangu nikutane naye mahali, alikuwa ni mtu wa kujichanganya sana na watu.

Almost akipita kumsalimia Kila mtu kwenye kile kikao.

Mwezi Uliopita nilipokutana naye alikuwa hivyo pia, japo this time alikuwa na mtu wa Usalama nyuma yake.

Hii iliashiria, huenda harakati za 2030 amezianza ama Kuna mfumo nyuma yake unamwandaa.

Ya familia ya Mwinyi na JK yanaendelea
 
Kwani huyu ni nani?
Mbona hajaweza ku-deliver chochote cha maana katika nafasi alizokaa?
Sidhani kama hata atathubutu kusema kitu ktk haya!
To deliver what?

Ni nani mwana CCM Ameshawahi ku deliver ?

Wait and see

Very unfortunate watanzania hawana intelligences ya environment and psychological actions
 
Tanzania ni kichwa cha mwendawazimu hivyo hakuna lisilowezekana!! Baba yake ndio ndoto yake kuwa huyo nyadundo wake nae aje akae Magogoni!! Lakini itakuwa rahisi kwa ngamia kupita kwenye Tundu la sindano kuliko Muuza NGADA kuwa Rais wa nchi hii.
Ni moja ya Mtoto Pendwa than all

Anamsikiliza sana mzee na anakwenda vile baba apendavyo

Wanamuita Ridhwan Al Hakim

Ni msuluhishi mzuri wa family issues

Pay attention
 
Hata Zanzibar walisema hivyo.
Naheshimu Mtazamo wako

Wewe ni muongo Zanzibar hawakusema hivyo.

pia Mwinyi sio mtoto wa rais wa kwanza kitawala zanzibar.

Mzee karume alikuwa rais wa zanzibar na mwanae pia Karume mdogo na yeye akaja kuwa rais wa zanzibar.

Hivyo zanzibar ni tabia yao toka zamani. Hajaenda kuianzisha mwinyi
 
Hii ndio itakuwa big challenge

Hiz ni tabia zangu JK zilizoimqliza nchi. Jamaa amechukua tabia za yule mzee sana. Nyumbani kwao wanamuita Hakim….. kama walivyokuwa wanamuita Baba yao. Ni msuluhishi mzuri na kila mtu akajiona kafanyiwa haki.

Sio hao kina Nape watu wahuni huni fulan hivi
Hahahaha, nakuambia Riz akiwa Rais wa JMT ,tegemea mie kukaa pahala ,ana mapungufu yake ,tutayarekebisha mwanetu yule
 
Tanzania ni kichwa cha mwendawazimu hivyo hakuna lisilowezekana!! Baba yake ndio ndoto yake kuwa huyo nyadundo wake nae aje akae Magogoni!! Lakini itakuwa rahisi kwa ngamia kupita kwenye Tundu la sindano kuliko Muuza NGADA kuwa Rais wa nchi hii.
Tundu ?
 
Wewe ni muongo Zanzibar hawakusema hivyo.

pia Mwinyi sio mtoto wa rais wa kwanza kitawala zanzibar.

Mzee karume alikuwa rais wa zanzibar na mwanae pia Karume mdogo na yeye akaja kuwa rais wa zanzibar.

Hivyo zanzibar ni tabia yao toka zamani. Hajaenda kuianzisha mwinyi
Sawa
 
Kijana Riz1 ni the next president in making.

Kuna kipindi alikuwa kwenye kashfa mbali mbali za Ufisadi na mambo mengine. Alikuwa hakauki kwenye midomo ya wengi dhidi ya Ufisadi.

Kwa sasa Kijana ametulia na ameshaweka mizizi ya mbuyu; na wazee wa familia wameshampika ….. usitokee kwenye kashfa yoyote and keep your profile very low …… kwa sababu Watanganyika ni wasahaulifu sana.

Mpaka sasa kijana ameshafulu kwa 60% …… amekuwa mtendaji wa Umma sana kuliko mwanaCCM .

Hata ukimtizama kwa sasa, anapendeza machoni, anafaa kwa matumizi, good for the body , soul and mind .

Njia inasafishwa taratibu na hili lilithibitika pale Dodoma, Baba alihakikisha Mama yake anapita kwa Azimio ili mtoto asije kulala njaa

Je kina Makamba, Nape, Doto, Mwigulu, Emmanuel, Kassimu , Makonda the great ….mtamuweza huyu mtoto wa kishua aliyezungukwa na ufalme wa Adam and Ev?

Si mnajua kuwa wachawi walishakufa?

Kazi kwenu
Hatumzungumzii kwa sababu yuko katika wizara ambayo haina maslahii ya moja kwa moja na sisi. Alipokuwa wizara ya ardhi alisemwa kama makamba. Akionyesha pua tu kuwa anataka kugombea urais hapo kelele zitaanza. hivyo hajafanikiwa.
 
Okay
 
Huyu anafaa ila urais wa Tanzania huwa hautabiriki. Kama Magufuli ambaye hakuwa na background nzito kwenye chama aliukwaa urais basi yeyote anaweza kuwa Rais. Hata Rais Mwinyi alipenya katikati ya majina mazito enzi hizo. Labda mtabiri wa nafasi za urais kwa hapa JF Mzee Pascal Mayalla anaweza changia mawazo.
Makosa hayatojirudia

Wachawi wameshakufa….. be attentive…, SIASA ni predictable if you pay attention
 
Back
Top Bottom