Kwa wale wana CCM mnaoutaka Urais 2030, Je mtaiweza nguvu ya Ridhwani Kikwete?

Ridhiwan namkubali, bora huyu kuliko hao wengine, kwanza hana tamaa, pili hana maneno ya hovyo hovyo, hata maisha yake Baba yake Mh. JK kamlea maisha ya kawaida na ana heshimu kila mtu, nasema kabisa bora huyu na nitapiga kampeni ya kufa mtu, huyu CCM atatufaa 2030, i will do all efforts to support Ridhiwani mapema nasema hili:
Wewe hujioni unafaa? Tz sio nchi ya kimwinyi au ya kifalme!
 
Ridhiwan namkubali, bora huyu kuliko hao wengine, kwanza hana tamaa, pili hana maneno ya hovyo hovyo, hata maisha yake Baba yake Mh. JK kamlea maisha ya kawaida na ana heshimu kila mtu, nasema kabisa bora huyu na nitapiga kampeni ya kufa mtu, huyu CCM atatufaa 2030, i will do all efforts to support Ridhiwani mapema nasema hili:
Akigombea huyu Nampa big up ila Sasa ni zamu ya wale roho mbaya wa dini Ile sijui watamuweka nani.

Riz1 labda 2040 huko.
 
Kijana Riz1 ni the next president in making.

Kuna kipindi alikuwa kwenye kashfa mbali mbali za Ufisadi na mambo mengine. Alikuwa hakauki kwenye midomo ya wengi dhidi ya Ufisadi.

Kwa sasa Kijana ametulia na ameshaweka mizizi ya mbuyu; na wazee wa familia wameshampika ….. usitokee kwenye kashfa yoyote and keep your profile very low …… kwa sababu Watanganyika ni wasahaulifu sana.

Mpaka sasa kijana ameshafulu kwa 60% …… amekuwa mtendaji wa Umma sana kuliko mwanaCCM .

Hata ukimtizama kwa sasa, anapendeza machoni, anafaa kwa matumizi, good for the body , soul and mind .

Njia inasafishwa taratibu na hili lilithibitika pale Dodoma, Baba alihakikisha Mama yake anapita kwa Azimio ili mtoto asije kulala njaa

Je kina Makamba, Nape, Doto, Mwigulu, Emmanuel, Kassimu , Makonda the great ….mtamuweza huyu mtoto wa kishua aliyezungukwa na ufalme wa Adam and Ev?

Si mnajua kuwa wachawi walishakufa?

Kazi kwenu
Wewe ni ke au ni me? Uandishi ndiyo umenipelekea kuuliza hili swali.
January ameanza kuhudhuria kanisani kuna dalili ajaye wataweka mgalatia, hii ya bibi maushungi inahesabika ni zamu ya kobazi.
 
Tanzania rais hawezi kujirudia kwa mtoto na baba..

Rais wa Tanzania ajae ni mpya ambaye baba yake hajawai kuwa rais
kwasababu zanzibar inaongozwa na binamu yako na tanzania awamu ya pili iliongozwa na babu yako si ndio
 
Tanzania rais hawezi kujirudia kwa mtoto na baba..

Rais wa Tanzania ajae ni mpya ambaye baba yake hajawai kuwa rais
Wewe wasema.
This shit is beyond your level of control, wanaopanga wanaweza kuweka mbwiga yoyote na hakuna utakachofanya. There are few assholes who control the whole damn system.
 
Wapi imeandikwa hivyo?

Au ni streets words

Maana naambiwa Makamba kwa sasa ni Mkatoliki … kachukua kwa Mama 🤣
Makamba anahudhuria kanisani every Sunday these days, Wagalatia hawana namna ya kusema si mwenzao. He is nowadays praying with his dearest mum, kanisa Katoliki la mitume.
Wow.......! Strange world.
 
Mmmh , huyu atakufa kifo cha Lowasa. JK will sacrifice him just as he sacrificed EDO

Huyu , Nape na Mwigulu wasahau Urais kwenye Maisha yao hapa duniani

Wataenda kuwa Rais wa malaika huko mbinguni
 
Wewe wasema.
This shit is beyond your level of control, wanaopanga wanaweza kuweka mbwiga yoyote na hakuna utakachofanya. There are few assholes who control the whole damn system.
Wafundishe hao; wakubwa wa Umri wadogo wa mambo
 
Kijana Riz1 ni the next president in making.

Kuna kipindi alikuwa kwenye kashfa mbali mbali za Ufisadi na mambo mengine. Alikuwa hakauki kwenye midomo ya wengi dhidi ya Ufisadi.

Kwa sasa Kijana ametulia na ameshaweka mizizi ya mbuyu; na wazee wa familia wameshampika ….. usitokee kwenye kashfa yoyote and keep your profile very low …… kwa sababu Watanganyika ni wasahaulifu sana.

Mpaka sasa kijana ameshafulu kwa 60% …… amekuwa mtendaji wa Umma sana kuliko mwanaCCM .

Hata ukimtizama kwa sasa, anapendeza machoni, anafaa kwa matumizi, good for the body , soul and mind .

Njia inasafishwa taratibu na hili lilithibitika pale Dodoma, Baba alihakikisha Mama yake anapita kwa Azimio ili mtoto asije kulala njaa

Je kina Makamba, Nape, Doto, Mwigulu, Emmanuel, Kassimu , Makonda the great ….mtamuweza huyu mtoto wa kishua aliyezungukwa na ufalme wa Adam and Ev?

Si mnajua kuwa wachawi walishakufa?

Kazi kwenu
Ukisikia wakaanga mbuyu, sasa ndio hawa!,
Liwalo silo lisemwalo, bali liandikwalo ndilo liwalo, kama limeandikwa, ni limeandikwa, kama ni yeye, then ni yeye!, no one atazuia!.
P
 
Huyu anafaa ila urais wa Tanzania huwa hautabiriki. Kama Magufuli ambaye hakuwa na background nzito kwenye chama aliukwaa urais basi yeyote anaweza kuwa Rais. Hata Rais Mwinyi alipenya katikati ya majina mazito enzi hizo. Labda mtabiri wa nafasi za urais kwa hapa JF Mzee Pascal Mayalla anaweza changia mawazo.
P
 
Wewe ni ke au ni me? Uandishi ndiyo umenipelekea kuuliza hili swali.
January ameanza kuhudhuria kanisani kuna dalili ajaye wataweka mgalatia, hii ya bibi maushungi inahesabika ni zamu ya kobazi.
Mimi ni Ke au Me …… choose it

Well , hawezi kutoboa hata aende kanisa la mbinguni. Kwanza we all know January ni Muslim. ….. he has been introducing that way to public . Otherwise Aje kutuambia otherwise

Pia ishu ya Muslim au the great Christian is not constitutional PERSPECTIVE

Wala haitofuatishwa ishu ya Uislam
Au ukristu na hakuna atakaefanya chochote zaid ya kulia lia JF

WATANGANYIKA ni weak
 
Ukristo wake au uislam wake unakisaidia nini?inatakiwa kiongozi bora ,haipaswi kuangalia dini yake
Kwanza it is not even constitutional . Huwa nashangaa sana mambo ya Ukiristu na Uislam ….dini zakuja na Ngalawa inakuaje zinatuamulia nani awe Rais
 
Kufananisha na hawa wengine wooote sijui akina Makamba, Makonda,Doto sijui nk RIZ anafaa japo tukiamua kuweka uwanja sawa na kuhusisha michakato uwe free tupo Watanzania wengi tunaoweza kumpiku pakubwa sana.

Binafsi nina uwezo mkubwa sana wakuongoza hii nchi, na nikipewa nafasi Nitakuwa zaidi ya marais wote waliopita katika nchi hii..
Naamini pia NITAUA watu wengi sana, wale wajingawajinga.
 
Kijana Riz1 ni the next president in making.

Kuna kipindi alikuwa kwenye kashfa mbali mbali za Ufisadi na mambo mengine. Alikuwa hakauki kwenye midomo ya wengi dhidi ya Ufisadi.

Kwa sasa Kijana ametulia na ameshaweka mizizi ya mbuyu; na wazee wa familia wameshampika ….. usitokee kwenye kashfa yoyote and keep your profile very low …… kwa sababu Watanganyika ni wasahaulifu sana.

Mpaka sasa kijana ameshafulu kwa 60% …… amekuwa mtendaji wa Umma sana kuliko mwanaCCM .

Hata ukimtizama kwa sasa, anapendeza machoni, anafaa kwa matumizi, good for the body , soul and mind .

Njia inasafishwa taratibu na hili lilithibitika pale Dodoma, Baba alihakikisha Mama yake anapita kwa Azimio ili mtoto asije kulala njaa

Je kina Makamba, Nape, Doto, Mwigulu, Emmanuel, Kassimu , Makonda the great ….mtamuweza huyu mtoto wa kishua aliyezungukwa na ufalme wa Adam and Ev?

Si mnajua kuwa wachawi walishakufa?

Kazi kwenu
Usimpe matumaini hewa anaweza kupata kiharusi. Hakuna Mwanasheria Riz1 bila kubebwa UDSM na akina Pro Ibrahim Juma enzi hizo. Otherwise asingeona Degree

Hakuna mbunge wa Chalinze bika kubebwa na baba yake JK. Hakuna Naibu Waziri then Waziri bila Samia kulipa fadhila kwa JK.
Kiufupi Riz1 ni mwepesi kama toilet paper kwenye academics, performance ya kazi na siasa.

Hebu tafuta kwenye YouTube umsikie kwenye mikutano ya kisiasa au akijibu maswali bungeni. Kiufupi HAJIWEZI
 
Back
Top Bottom