Dola ndio wao ……Kwa muono wangu!
Sio chaguo la dola huko tuendako!na nguzo anazotegemea zaweza katwa kabla hata ya 2030!
Nimejifunza sequence and series tangu awamu ya tano!
Ni rahisi kijana anaeaminiwa na warioba,Butiku, na MNF (Mwalim Nyerere foundation) kuwa Raise wakati ujao kuliko Watoto wa Boys2Men!!
The state inaendelea kusafisha conservative ambao wanadhani mambo yaendelee kubaki hivi hivi Kwa kutumia katiba iliyopo!
NAWAZA!
Hapana!ni sehem lakini wanapoteza ushawishi kadri muda unavyoenda!!"CCM Ina wenyewe" team itapotea kabisa!Dola ndio wao ……
You say bring something on the table …… what if I am the table ?
Kwakweli !But walikuwa wanapiga makofi what else !
Duh 🙄 !Yule jamaa aliejaribu kusimama yupo wapi ?
Je alipata any support
Na Riz mwenyewe ni wewe uliepost humu.Kijana Riz1 ni the next president in making.
Kuna kipindi alikuwa kwenye kashfa mbali mbali za Ufisadi na mambo mengine. Alikuwa hakauki kwenye midomo ya wengi dhidi ya Ufisadi.
Kwa sasa Kijana ametulia na ameshaweka mizizi ya mbuyu; na wazee wa familia wameshampika ….. usitokee kwenye kashfa yoyote and keep your profile very low …… kwa sababu Watanganyika ni wasahaulifu sana.
Mpaka sasa kijana ameshafulu kwa 60% …… amekuwa mtendaji wa Umma sana kuliko mwanaCCM .
Hata ukimtizama kwa sasa, anapendeza machoni, anafaa kwa matumizi, good for the body , soul and mind .
Njia inasafishwa taratibu na hili lilithibitika pale Dodoma, Baba alihakikisha Mama yake anapita kwa Azimio ili mtoto asije kulala njaa
Je kina Makamba, Nape, Doto, Mwigulu, Emmanuel, Kassimu , Makonda the great ….mtamuweza huyu mtoto wa kishua aliyezungukwa na ufalme wa Adam and Ev?
Si mnajua kuwa wachawi walishakufa?
Kazi kwenu
CCM hairuhusu MidahaloTanzania tunabahati mbaya sana, tunapenda kuongozwa na watu tusiowajua focus zao. Huwa tunahisi tu kwamba fulani anafaa kuwa Rais na hisia hizo zikitukolea ndo wachache wenyewe power wanaanza kututafutia vi-element vya ubora wake. Nadhani ni marais wawili tu Nyerere na Mkapa ambao kabla ya kupata urais walitoka hadharani kupitia wananchi, vyombo vya habari na midahalo kwamba wanaenda Ikulu kufanya nini au kuleta nini katika nchi hii. Ni vema watu tunao wahisi ni viongozi wazuri tuwasukumize mbele ya wananchi kupitia vyombo vya habari, midahalo ili tu-unlock vilivyomo kwenye vichwa vyao kabla hatujawapa madaraka makubwa. Haya mambo ya kusema tu fulani anafaa kuwa Rais tuachane nayo ndio yanatupelekea kwenda mbele na kurudi tulipotoka. Kila anaeingia anaonekana " huyu haijawahi tokea" akimaliza mda wake ndo tunaona matatio yake.
Ukristo mbele.Akigombea huyu Nampa big up ila Sasa ni zamu ya wale roho mbaya wa dini Ile sijui watamuweka nani.
Riz1 labda 2040 huko.
exactly my point!🤣… thousand of years we have been told Jesus will come ….
Hii nchi tumelogwa wallahi..!! 😹😹Ridhiwan namkubali, bora huyu kuliko hao wengine, kwanza hana tamaa, pili hana maneno ya hovyo hovyo, hata maisha yake Baba yake Mh. JK kamlea maisha ya kawaida na ana heshimu kila mtu, nasema kabisa bora huyu na nitapiga kampeni ya kufa mtu, huyu CCM atatufaa 2030, i will do all efforts to support Ridhiwani mapema nasema hili:
kwasababu zanzibar inaongozwa na binamu yako na tanzania awamu ya pili iliongozwa na babu yako si ndio
Karume?
Mwinyi?
Kufananisha na hawa wengine wooote sijui akina Makamba, Makonda,Doto sijui nk RIZ anafaa japo tukiamua kuweka uwanja sawa na kuhusisha michakato uwe free tupo Watanzania wengi tunaoweza kumpiku pakubwa sana.
Binafsi nina uwezo mkubwa sana wakuongoza hii nchi, na nikipewa nafasi Nitakuwa zaidi ya marais wote waliopita katika nchi hii..
Naamini pia NITAUA watu wengi sana, wale wajingawajinga.
Mkuu ushawai kuramba asali wewe?
Ukalamba mara moja, ukarudia tena na tena na tena?
Inahitaji Uzalendo wa kweli sana na Utakatifu wa kwenda Mbinguni kufanya unachokisema.
kina Makamba, Nape, Doto, Mwigulu, Emmanuel, Kassimu , Makonda the great ….mtamuweza huyu mtoto wa kishua aliyezungukwa na ufalme wa Adam and Ev?