adriz
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 17,595
- 39,893
Basi nishakujua ID yako.Ridhwani Kikwete akiwa Rais Mimi nakula uteuzi

Nina ndugu yangu , chawa wa RK na ni rafiki yake nadhani hatokosa teuzi isije kuwa ni wewe mkuu.Hahahaha, nakuambia Riz akiwa Rais wa JMT ,tegemea mie kukaa pahala ,ana mapungufu yake ,tutayarekebisha mwanetu yule
Nchi hii mnaichezea sana!endeleeni tuKijana Riz1 ni the next president in the making.
Kuna kipindi alikuwa kwenye kashfa mbali mbali za Ufisadi na mambo mengine. Alikuwa hakauki kwenye midomo ya wengi dhidi ya Ufisadi.
Kwa sasa Kijana ametulia na ameshaweka mizizi ya mbuyu; na wazee wa familia wameshampika ….. usitokee kwenye kashfa yoyote and keep your profile very low …… kwa sababu Watanganyika ni wasahaulifu sana.
Mpaka sasa kijana ameshafulu kwa 60% …… amekuwa mtendaji wa Umma sana kuliko mwanaCCM .
Hata ukimtizama kwa sasa, anapendeza machoni, anafaa kwa matumizi, good for the body , soul and mind .
Njia inasafishwa taratibu na hili lilithibitika pale Dodoma, Baba alihakikisha Mama yake anapita kwa Azimio ili mtoto asije kulala njaa
Je kina Makamba, Nape, Doto, Mwigulu, Emmanuel, Kassimu , Makonda the great ….mtamuweza huyu mtoto wa kishua aliyezungukwa na ufalme wa Adam and Ev?
Si mnajua kuwa wachawi walishakufa?
Kazi kwenu
Anatoka Rais Muislam ,aingie Rais Muislam, hakuna kitu kama hicho.Kijana Riz1 ni the next president in the making.
Kuna kipindi alikuwa kwenye kashfa mbali mbali za Ufisadi na mambo mengine. Alikuwa hakauki kwenye midomo ya wengi dhidi ya Ufisadi.
Kwa sasa Kijana ametulia na ameshaweka mizizi ya mbuyu; na wazee wa familia wameshampika ….. usitokee kwenye kashfa yoyote and keep your profile very low …… kwa sababu Watanganyika ni wasahaulifu sana.
Mpaka sasa kijana ameshafulu kwa 60% …… amekuwa mtendaji wa Umma sana kuliko mwanaCCM .
Hata ukimtizama kwa sasa, anapendeza machoni, anafaa kwa matumizi, good for the body , soul and mind .
Njia inasafishwa taratibu na hili lilithibitika pale Dodoma, Baba alihakikisha Mama yake anapita kwa Azimio ili mtoto asije kulala njaa
Je kina Makamba, Nape, Doto, Mwigulu, Emmanuel, Kassimu , Makonda the great ….mtamuweza huyu mtoto wa kishua aliyezungukwa na ufalme wa Adam and Ev?
Si mnajua kuwa wachawi walishakufa?
Kazi kwenu
Rais ajaye ni wa dini ya kikristo, hasa dhehebu la katolikiKijana Riz1 ni the next president in the making.
Kuna kipindi alikuwa kwenye kashfa mbali mbali za Ufisadi na mambo mengine. Alikuwa hakauki kwenye midomo ya wengi dhidi ya Ufisadi.
Kwa sasa Kijana ametulia na ameshaweka mizizi ya mbuyu; na wazee wa familia wameshampika ….. usitokee kwenye kashfa yoyote and keep your profile very low …… kwa sababu Watanganyika ni wasahaulifu sana.
Mpaka sasa kijana ameshafulu kwa 60% …… amekuwa mtendaji wa Umma sana kuliko mwanaCCM .
Hata ukimtizama kwa sasa, anapendeza machoni, anafaa kwa matumizi, good for the body , soul and mind .
Njia inasafishwa taratibu na hili lilithibitika pale Dodoma, Baba alihakikisha Mama yake anapita kwa Azimio ili mtoto asije kulala njaa
Je kina Makamba, Nape, Doto, Mwigulu, Emmanuel, Kassimu , Makonda the great ….mtamuweza huyu mtoto wa kishua aliyezungukwa na ufalme wa Adam and Ev?
Si mnajua kuwa wachawi walishakufa?
Kazi kwenu
Hana lolote na hatuna urithi nchi hii!Kwani huyu ni nani?
Mbona hajaweza ku-deliver chochote cha maana katika nafasi alizokaa?
Sidhani kama hata atathubutu kusema kitu ktk haya!
Hivi ujana hapa Tanzania mwisho ni miaka mingapi?Kijana Riz1 ni the next president in the making.
Hawa kama wanautaka wamzuie huyu mwanamke raia wa nchi ya Zanzibar asiupate urais 2025.Je kina Makamba, Nape, Doto, Mwigulu, Emmanuel, Kassimu , Makonda the great ….mtamuweza huyu mtoto wa kishua
Hahahaha 🤣 😆Nina ndugu yangu , chawa wa RK na ni rafiki yake nadhani hatokosa teuzi isije kuwa ni wewe mkuu.
Hahahaha,Hy itakua ngumuBasi nishakujua ID yako.
Way forward ?
Zanzibar na Tanganyika ndo tofautikumbuka zanzibar na Tanzania ni nchi mbili tofauti
Mwingulu can never have been the president who never was. The presidents who never were in Tanzania are Salim Ahmed and Lowasa. Full stop. About Mwingulu Nchemba, he's a would-be president wannabeHuyu atakuwa kama Lowasa, the president that never was
Don't you see Nchimbi?. He's Catholic and the next veep in Tanzania, coming from inland, so y'all should expect him to be a stronger candidate in 2030 like Mzee Malechela back in those days before Nyerere played tricks on him.Akigombea huyu Nampa big up ila Sasa ni zamu ya wale roho mbaya wa dini Ile sijui watamuweka nani.
Riz1 labda 2040 huko.
Tlaatlaah Lucas MwashambwaNo reform No Election itawasaidia pia watu wa CCM wenye nia njema na Taifa hili kwa kuwa na uhuru wa kujitokeza kugombea kwa kushindanishwa hoja na kuwaambia watanzania nia na maono yao kwa vizazi vya watanzania .
Kwa Katiba hii na mfumo huu ni wazi kuwa Tunachaguliwa viongozi na magenge ya magaidi ,mabeberu , wauza unga na matajiri wanaoshirikiana na mafisadi ndani ya CCM na serikali kwa ujumla.
Ni hatari sana.
Hata enzi za utumwa kuna watu walitajirika kwa kuwasaliti na kuuza ndugu zao .
Ukiona siasa zinatawaliwa na magenge ya matajiri katikakati ya umaskini ni wazi kuwa kinachozingatiwa ni mali na madaraka tuu .
Kuna vijana ndani ya CCM wanaowaza kuwa wanaweza kufikia ndoto zao nje ya Marekebisho ya katiba na tume ya uchaguzi . Wanajidanganya sana.
Mfano Makonda ni hawezi kutoboa mbele ya Riziwani ,Mchengerwa ,Jafo, Nape, Makamba na Hussein Mwingi,Mwigulu n.k. japo kwa ufisadi unaoendelea Makonda anaushawishi mkubwa zaidi . Lakini Pia Jafo hawezi kutoboa mbele ya Riziwani na Mchengerwa japo Jafo ni Bora zaidi .
Mpina hawezi kutoboa Mbele ya Makonda japo Mpina ni Bora zaidi .
Halfrey Polepole hawezi kutoboa mbele ya Mwigulu japo p
Polepole ni bora zaidi kuliko Mwigulu.
Majaliwa hawezi kutoboa mbele ya Samia japo Majaliwa ni bora zaidi kuliko Samia .
Kabudi hawezi kutoboa mbele ya Makamba japo Kabundi ni bora zaidi kuliko Makamba .
Lukuvi hawezi kutoboa Mbele ya Wasira japo Wasira ni bora zaidi kuliko Wasira .
Hata ndani ya mifumo ya vyombo vya dola ,mahakama na bunge .Wale wenye uwezo hawawezi kutoboa mbele ya mawakala wa mafisadi ,matajiri na magaidi . Haya magenge ndiyo yanayoweka viongozi dhaifu na wapenda ufisadi na kujilimbikizia mali .Hawajali kabisa Kitu kinachoitwa Wazawa . Kwao kila kitu ni cha dunia nzima . Mafisadi hawakuanza leo . Walikuwepo tangu enzi za Mitume na manabii lakini wengi walijali zaidi mambo yao sio kupigania haki ya kisiasa ,kiuchumi na kijamii .
Mafisadi na mabeberu wanapenda serikali Corrupt ili waiweke mfukoni kwa kutumia pesa .
Kariakoo,Buguruni, Ilalala ,Ubungo ,Manzese, Mbagala , Gongo la Mboto, Tandika , Mwenge wakiamua kuilazimisha Serikali kufanya mageuzi ya Kiuchumi na kisiasa kwa manufaa ya leo na kesho ya vizazi vyao wanaweza .
Mgomo unaofanywa na Wafanyabiashara wadogo nchi nzima haiwezekani kuzuiwa kwa namna yoyote popote duniani .
Ataachwa na kijana kutoka familia ya kimasikini LisuKijana Riz1 ni the next president in the making.
Kuna kipindi alikuwa kwenye kashfa mbali mbali za Ufisadi na mambo mengine. Alikuwa hakauki kwenye midomo ya wengi dhidi ya Ufisadi.
Kwa sasa Kijana ametulia na ameshaweka mizizi ya mbuyu; na wazee wa familia wameshampika ….. usitokee kwenye kashfa yoyote and keep your profile very low …… kwa sababu Watanganyika ni wasahaulifu sana.
Mpaka sasa kijana ameshafulu kwa 60% …… amekuwa mtendaji wa Umma sana kuliko mwanaCCM .
Hata ukimtizama kwa sasa, anapendeza machoni, anafaa kwa matumizi, good for the body , soul and mind .
Njia inasafishwa taratibu na hili lilithibitika pale Dodoma, Baba alihakikisha Mama yake anapita kwa Azimio ili mtoto asije kulala njaa
Je kina Makamba, Nape, Doto, Mwigulu, Emmanuel, Kassimu , Makonda the great ….mtamuweza huyu mtoto wa kishua aliyezungukwa na ufalme wa Adam and Ev?
Si mnajua kuwa wachawi walishakufa?
Kazi kwenu
he will make a strong candidates if he chooses to do so ; but that does not mean anythingDon't you see Nchimbi?. He's Catholic and the next veep in Tanzania, coming from inland, so y'all should expect him to be a stronger candidate in 2030 like Mzee Malechela back in those days before Nyerere played tricks on him.