Kwa wale wana CCM mnaoutaka Urais 2030, Je mtaiweza nguvu ya Ridhwani Kikwete?

Kijana Riz1 ni the next president in making.

Kuna kipindi alikuwa kwenye kashfa mbali mbali za Ufisadi na mambo mengine. Alikuwa hakauki kwenye midomo ya wengi dhidi ya Ufisadi.

Kwa sasa Kijana ametulia na ameshaweka mizizi ya mbuyu; na wazee wa familia wameshampika ….. usitokee kwenye kashfa yoyote and keep your profile very low …… kwa sababu Watanganyika ni wasahaulifu sana.

Mpaka sasa kijana ameshafulu kwa 60% …… amekuwa mtendaji wa Umma sana kuliko mwanaCCM .

Hata ukimtizama kwa sasa, anapendeza machoni, anafaa kwa matumizi, good for the body , soul and mind .

Njia inasafishwa taratibu na hili lilithibitika pale Dodoma, Baba alihakikisha Mama yake anapita kwa Azimio ili mtoto asije kulala njaa

Je kina Makamba, Nape, Doto, Mwigulu, Emmanuel, Kassimu , Makonda the great ….mtamuweza huyu mtoto wa kishua aliyezungukwa na ufalme wa Adam and Ev?

Si mnajua kuwa wachawi walishakufa?

Kazi kwenu
Unadhani TEC 'watawala' wa nchi hii watavumilia waislamu mfululu?
 
🤣kiama km kitakuwepo

Duuh,
Hii nchi Azimio la Rushwa la Zanzibar linaiponza sana Tanganyika.

Watu wanageuza rasilimali za nchi kuwa za familia zao matokeo yake ndio hayo. Familia inageuka kuwa dola na kupanga wanachotaka kwa nguvu ya Dola .

Mmiliki wa linchi likubwa lenye rasilimali nyingi duniani alikua ni Mfalme Leopard wa Ufaransa.
Madhara yake mpaka leo yanaendelea Kongo kwa sababu aliimiliki Kongo kwa Damu na ukatili mkubwa.

Hawa watoto ni masilence killer kiuchumi ,kisiasa na kijamii(wauza madawa na mawakala wa kusapoti ugaidi ) .
Huyu jamaa na Mchengerwa ni watu hatari sana . Kufikia 2035 magenge maovu yataibuka chini ya ufadhili wa hawa watu wanaoonekana wazuri kwenye macho ya watu lakini roho zao za kibepari na kikoloni ni mbaya sana.

Ubepari ni unyama . Hakuna bepari anayetaka kushuka chini kirahisi. Ugaidi Afrika ulikaribishwa na watawala wenye tamaa ya fedha na Wafanyabiashara .

Rwanda na Uganda ugaidi unashindwa kwa sababu ya utawala usiokubali kutumiwa na matajiri wa nje.
Tanzania kuna ufadhili mkubwa wa magaidi kwa sababu tunaowaona ni wema ndio wanaotuuza ili wapate pesa za mtandao wa kimataifa wa ugaidi kwa malengo ya mabeberu
 
Acha ujinga
 
Unadhani TEC 'watawala' wa nchi hii watavumilia waislamu mfululu?

Nchi imeshauzwa .
Wenye nguvu ndani ya mifumo ama walazwe au wawe Machawa .
Watu wanashindana kumiliki mali kupitia madaraka.

Hatuoni watoto wa Nyerere wakishindana kumiliki mali .
Hatuoni watoto wala familia ya Mkapa
Hatuoni familia ya Magufuli .
Hawa walijenga mifumo ya kunufaisha watanzania wote bila kujali makabila wala dini . Lakini walipomaliza kazi wanakosa uangalizi wa kiusalama na kushughulikiwa na wahuni .

Nchi kwa sasa haina kipao mbele wala mipango juu ya rasilimali za umma zaidi ya kukopa , kupokea misaada toka kwa waarabu kwa ajili ya Wachache kupitia migongo ya dini na uholela wa wafanya biashara .
 
Kijana Riz1 ni the next president in making.

Kuna kipindi alikuwa kwenye kashfa mbali mbali za Ufisadi na mambo mengine. Alikuwa hakauki kwenye midomo ya wengi dhidi ya Ufisadi.

Kwa sasa Kijana ametulia na ameshaweka mizizi ya mbuyu; na wazee wa familia wameshampika ….. usitokee kwenye kashfa yoyote and keep your profile very low …… kwa sababu Watanganyika ni wasahaulifu sana.

Mpaka sasa kijana ameshafulu kwa 60% …… amekuwa mtendaji wa Umma sana kuliko mwanaCCM .

Hata ukimtizama kwa sasa, anapendeza machoni, anafaa kwa matumizi, good for the body , soul and mind .

Njia inasafishwa taratibu na hili lilithibitika pale Dodoma, Baba alihakikisha Mama yake anapita kwa Azimio ili mtoto asije kulala njaa

Je kina Makamba, Nape, Doto, Mwigulu, Emmanuel, Kassimu , Makonda the great ….mtamuweza huyu mtoto wa kishua aliyezungukwa na ufalme wa Adam and Ev?

Si mnajua kuwa wachawi walishakufa?

Kazi kwenu
utawala wa kupeana baba na mtoto na hukohuko zenji
 
Na Wakatoliki nao Pumzi imekata. ??!
Maana utaratibu uliozoeleka upo hivyo !
Au imeshapangwa na ikapangika ??!

Muda utaongea !
Mkutano ule wa Dodoma ulileta viashiria vingi vya kwamba sasa chochote kumbe kinawezekana Chamani !

Wenye Chama wameamua alisikika Mzee mmoja akigugumia kimoyomoyo 😳 !

Ngoja Tusubiri tuone !
 
Yule jamaa aliejaribu kusimama yupo wapi ?

Je alipata any support
 
Rais anayefuata lazima awe katoriki ndio aje ustadhi tena
 
Unadhani TEC 'watawala' wa nchi hii watavumilia waislamu mfululu?
Hawajawah kuwa na Impact trust me

Pia hoja ya Udini ni Unconstitutional

Kama Akiwa muislam hata mara 10 , je ni kipengele gani cha katiba kimevunjwa?

Je hoja yako utaipeleka wapi? Huo ulikuwa ni undocumented and unconstitutional procedures , of which itategemea na busara za mtawala wa wakati huo

Katiba ya URT ina loopholes nyingi sana

Some days tutaongea lugha moja na mtakuja kuelewa wale mnaowaita wachocheza kwa kudai Constitutional reform kuwa ni smart people na walikuwa ahead of their time
Endeleni kwenda Makkah kufanya Uralic wa maombi huku mkiwaombea watanzania wenzenu waaangamizwe

Intellectual wanawahi kuona impact ya mambo than low cadres generation
 
Rais anayefuata lazima awe katoriki ndio aje ustadhi tena
Neno Lazima linakuwa backed up na legal framework gani ?

Mtawaelewa baadae wanaodai katiba

Ni suala la muda

Endeleeni kupiga makof
 
Duuh,
Hii nchi Azimio la Rushwa la Zanzibar linaiponza sana Tanganyika.

Watu wanageuza rasilimali za nchi kuwa za familia zao matokeo yake ndio hayo. Familia inageuka kuwa dola na kupanga wanachotaka kwa nguvu ya Dola .

Mmiliki wa linchi likubwa lenye rasilimali nyingi duniani alikua ni Mfalme Leopard wa Ufaransa.
Madhara yake mpaka leo yanaendelea Kongo kwa sababu aliimiliki Kongo kwa Damu na ukatili mkubwa.

Hawa watoto ni masilence killer kiuchumi ,kisiasa na kijamii(wauza madawa na mawakala wa kusapoti ugaidi ) .
Huyu jamaa na Mchengerwa ni watu hatari sana . Kufikia 2035 magenge maovu yataibuka chini ya ufadhili wa hawa watu wanaoonekana wazuri kwenye macho ya watu lakini roho zao za kibepari na kikoloni ni mbaya sana.

Ubepari ni unyama . Hakuna bepari anayetaka kushuka chini kirahisi. Ugaidi Afrika ulikaribishwa na watawala wenye tamaa ya fedha na Wafanyabiashara .

Rwanda na Uganda ugaidi unashindwa kwa sababu ya utawala usiokubali kutumiwa na matajiri wa nje.
Tanzania kuna ufadhili mkubwa wa magaidi kwa sababu tunaowaona ni wema ndio wanaotuuza ili wapate pesa za mtandao wa kimataifa wa ugaidi kwa malengo ya mabeberu
Way forward ?
 
Na Wakatoliki nao Pumzi imekata. ??!
Maana utaratibu uliozoeleka upo hivyo !
Au imeshapangwa na ikapangika ??!

Muda utaongea !
Mkutano ule wa Dodoma ulileta viashiria vingi vya kwamba sasa chochote kumbe kinawezekana Chamani !

Wenye Chama wameamua alisikika Mzee mmoja akigugumia kimoyomoyo 😳 !

Ngoja Tusubiri tuone !
But walikuwa wanapiga makofi what else !
 
Kijana Riz1 ni the next president in making.

Kuna kipindi alikuwa kwenye kashfa mbali mbali za Ufisadi na mambo mengine. Alikuwa hakauki kwenye midomo ya wengi dhidi ya Ufisadi.

Kwa sasa Kijana ametulia na ameshaweka mizizi ya mbuyu; na wazee wa familia wameshampika ….. usitokee kwenye kashfa yoyote and keep your profile very low …… kwa sababu Watanganyika ni wasahaulifu sana.

Mpaka sasa kijana ameshafulu kwa 60% …… amekuwa mtendaji wa Umma sana kuliko mwanaCCM .

Hata ukimtizama kwa sasa, anapendeza machoni, anafaa kwa matumizi, good for the body , soul and mind .

Njia inasafishwa taratibu na hili lilithibitika pale Dodoma, Baba alihakikisha Mama yake anapita kwa Azimio ili mtoto asije kulala njaa

Je kina Makamba, Nape, Doto, Mwigulu, Emmanuel, Kassimu , Makonda the great ….mtamuweza huyu mtoto wa kishua aliyezungukwa na ufalme wa Adam and Ev?

Si mnajua kuwa wachawi walishakufa?

Kazi kwenu
Kwa muono wangu!

Sio chaguo la dola huko tuendako!na nguzo anazotegemea zaweza katwa kabla hata ya 2030!

Nimejifunza sequence and series tangu awamu ya tano!

Ni rahisi kijana anaeaminiwa na warioba,Butiku, na MNF (Mwalim Nyerere foundation) kuwa Raise wakati ujao kuliko Watoto wa Boys2Men!!

The state inaendelea kusafisha conservative ambao wanadhani mambo yaendelee kubaki hivi hivi Kwa kutumia katiba iliyopo!

NAWAZA!
 
Back
Top Bottom