Kwa wale wanaolalamika kupanda kwa gharama za vifurushi vya internet hii ndio mitandao ya kuhamia kwa sasa

Kajaribu kusajili halotel kitambulisho Cha NIDA hakitoshi utahojiwa maswali utafikiri uko kituo Cha polisi unahojiwa ugaidi

Anayebisha aende hata saa hii kusajili aone maswali atakayohojiwa .
Sio kweli mzee
 
Tigo saizi yako, 2,000 gb 1.3, dkika 250 mitandao yote siku saba
 
Voda nilikuwa nateleza kwa buku napata Gb leo wameitoa sasa majeshi yangu nahamishia kwenye mtandao wa Halotel .
 
Nadhani halotel wapo vizuri zaidi kuliko mitandao mingine hao Voda GB zao ni kama wanatoa nusu zinakimbia kama upepo..
 
Wazee wa IT Mliopo humu.
Is it possible raia wa kawaida tu aka hack mitandao let's say tiGO na kumuunganishia mtu GB kibao kwa Bei poa?
Kuna hacker kanipa ofa ya 10 Gb kwa wiki kwa elfu tatu. Sharti lake kuu nimtumie pesa ndio aniunganishe.
I am asking for a foreign friend.
 
Sasa huku kanda ya ziwa hio zantel ata vocha tu kuzipata ni tabu.

Ngoja tujikongoje na halotel tu
 
Na idea ya kujirecord navunja line flan nasajili line ya upande wa pili mwenye 📷 nzuri ya smartphone tuonane
 
Halotel wana vifurushi nafuu sana. Kama sina ishu serious, najiunga kifurushi chao cha 5,000 napata GB 7.

Lakini speed yao ni ndogo, hivyo bora niendelee kutumia tu Vodacom pamoja na ughali wao.
 
Hata namjua basi huyo mmiliki mkuu,, mwenzio mie najua kutumia tu
Ahahhaahaa noma sana, Jamaa ni true icon ya "mpambanaji". Ashawahi kupambana na mugabe mahakamani miaka ya nyuma huko daaah ana historia ngumu sana huyu mzee. Lakn badae alikuja kufanikiwa na ndo anamiliki hili kampuni.

Anaishi zake London huko na
Wanamwita "Zimbabwean billionaire based on London".
 
Ohk ahsante mkuu nilikuwa sina hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…