Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TtclMtandao gani?
Sio kweli mzeeKajaribu kusajili halotel kitambulisho Cha NIDA hakitoshi utahojiwa maswali utafikiri uko kituo Cha polisi unahojiwa ugaidi
Anayebisha aende hata saa hii kusajili aone maswali atakayohojiwa .
Hata namjua basi huyo mmiliki mkuu,, mwenzio mie najua kutumia tuTelecom kama Telecom mali ya Billionea Dr.Strive Masiyiwa [emoji846]
Tigo saizi yako, 2,000 gb 1.3, dkika 250 mitandao yote siku sabaHabari ya wikiendi wana JF wenzangu.
Jana baada ya kutoka mishemishe jioni si nikasema ngoja nitumbukie vocha nichungulie kinachoendelea mitamdaoni.
Nikapita dukani nikanunua Zantel ya 500 dhumuni nijiunge cha chuo ambacho ni MB 500 kwa siku 7 maana sina matumizi mengi ya data.
Ile kupiga *148*05# nakuta kuna MB 250 pozi likaniishia nikajisemea ngoja nichungulie kwenye mitandao mingine kupoje. Eni wei ifuatayo ni mitandao ambayo ina vifurushi pengine ni nafuu kwa mteja
1. HALOTEL
Hawa jamaa ili upate MB za maana unatakiwa uweke salio kwenye Halopesa kisha piga *150*88# kisha chagua namba 3 utachagua Mega Bando
Tsh 1000 = GB 1 kwa siku 7
Tsh 3000 = GB 3 kwa siku 7
Tsh 500 = GB 1 saa 6 usiku mpaka 12 asubuhi
2. TTCL
Wana bando lao linajulikana kama BANDO TAMTAM sharti uwe na salio kwenye T PESA yako
Tsh 1000= Dk 10, SMS 50 na GB 1.2 kwa siku 5
VIpo vipo vingine ni
Tsh 500= 300 MB
3. VODACOM
Wazee wamepunguza bando mpaka basi yaani hata zile ofa za DAR SUPA UNI wamezibadilisha kabisa.
4. TIGO
Hawa sijui huko hali yako ipoje?
Kw wale mnaojiungaga na SAIZI YAKO najua mnafahamu kilichobadilishwa huko.
5. ZANTEL
Hawa ni Tigo waliochamgamka. Walikuwa na vifurushi vizuri mno, walipigiwa sana chapuo na bwana Extrovert mpaka ikanipelekea kusajili laini yao.
Lakini walichokifanya ni balaa.
6. AIRTEL
Hawa jamaa hata ukipiga *149*81# wamebadilisha kila kitu, hata kile kifurushi chao cha USIKU kuanzia saa 6 hadi 12 asubuhi ni mazingaombwe tu.
Weew vuta picha yaani ukae mpaka saa 6 usiku kwa ajili ya kujiunga MB 375 just imagine!
Mwisho kabisa nawashauri mrudi HALOTEL tu maana hakuna mambo mengi kule MB kama zote.
Hata namjua basi huyo mmiliki mkuu,, mwenzio mie najua kutumia tu
Ttcl
T pesa bando tamtam plusMenyu ipi?
Huku zantel haipo ilishasahaulikaHahahahah hao Halotel si wehu tu! Hapo tarajia kipigo mda wowote! Zantel bado wapo juu
Ahahhaahaa noma sana, Jamaa ni true icon ya "mpambanaji". Ashawahi kupambana na mugabe mahakamani miaka ya nyuma huko daaah ana historia ngumu sana huyu mzee. Lakn badae alikuja kufanikiwa na ndo anamiliki hili kampuni.Hata namjua basi huyo mmiliki mkuu,, mwenzio mie najua kutumia tu
Ohk ahsante mkuu nilikuwa sina hiliAhahhaahaa noma sana, Jamaa ni true icon ya "mpambanaji". Ashawahi kupambana na mugabe mahakamani miaka ya nyuma huko daaah ana historia ngumu sana huyu mzee. Lakn badae alikuja kufanikiwa na ndo anamiliki hili kampuni.
Anaishi zake London huko na
Wanamwita "Zimbabwean billionaire based on London".