Nina air compressor machine, Ni engersollrand compressor pistoni 2, Ina engine ya Deutz.Mimi mtaalamu wa Diesel Engine za magar, Generator, Air compressor na Earth moving Mashine. Kama unatatizo lolote kwenye Engine yko njoo hapa nkupe Solution.
Pia nnafunga na kufanya Engine Over haul kwa umakini mkubwa sana with Affordable prices.
Nnapatikana Tabata Dar es salaam, Lakn nnafika popote ulipo kufanya kazi.
Mwisho kama unaitaji Generator na Air compressor za ukubwa wowote wasiluana na mimi direct kwa namba 0693 296 809 au 0713302846.
Kama hiyo unayosema gasket una maanisha cylinder head gasket basi kuna ishu na compression, engine haina compression inayotakiwa kwa hivyo haina nguvu yake.Nina air compressor machine, Ni engersollrand compressor pistoni 2, Ina engine ya Deutz.
Engine F2L 1011.
Tatizo lilianza kwa kuvuja Gasket,nikaweka gasket mpyaaa, Ila ikawa na tatizo la kuchelewa kuwaka yaan unashikilia starter hata kwa dk2 ndo inawaka,
Ukitenganisha kinu Cha upepo na engine, engine inawaka bila shida Tena jino moja tu inawaka, Ila ukiunganisha Tena kinu Cha kuzalisha shia upepo inachelewa kuwaka, na pia ukiruhusu upepo engine inazidiwa mpaka inazima yenyewe.
Je tatizo laweza kua ni Nini fundi!??
Yes Ni cylinder head gasket, niliamua kufanya overhaul nilibadilisha pistons zote,rings zote na cone zote lkn bado tatizo linaendelea, Yani inanikosesha amani sanaKama hiyo unayosema gasket una maanisha cylinder head gasket basi kuna ishu na compression, engine haina compression inayotakiwa kwa hivyo haina nguvu yake.
Overhaul inahitaji umakini sana. Ni muhimu sana sana kupata manual ya hiyo mashine ili kujua wao wanahitaji vipimo gani kwenye kila bolt na nati unayofunga, siyo kutumia uzoefu. Maana kwenye cylinder head mfano, engine nyingi wenyewe wanataka zile main bolts za cylinder head kuwekwa mpya kila ukifungua. Na zenyewe zina specification zake siyo kila bolt itafaa.Yes Ni cylinder head gasket, niliamua kufanya overhaul nilibadilisha pistons zote,rings zote na cone zote lkn bado tatizo linaendelea, Yani inanikosesha amani sanaView attachment 2224741
Duh... mbona mapema umeanza kamba.Diesel inamanisha Nguvu. Ndio maana kwenye Heavyduty Machine nyingi znatumia Diesel
Uko sawa, na ongezea labda kupinda kwa cylinder head.Overhaul inahitaji umakini sana. Ni muhimu sana sana kupata manual ya hiyo mashine ili kujua wao wanahitaji vipimo gani kwenye kila bolt na nati unayofunga, siyo kutumia uzoefu. Maana kwenye cylinder head mfano, engine nyingi wenyewe wanataka zile main bolts za cylinder head kuwekwa mpya kila ukifungua. Na zenyewe zina specification zake siyo kila bolt itafaa.
π π π πSwali langu, hakuna njia kumgeuza x wangu kuwa malighafi ya mafuta.?
Asante kwa Swali zuri.Yes Ni cylinder head gasket, niliamua kufanya overhaul nilibadilisha pistons zote,rings zote na cone zote lkn bado tatizo linaendelea, Yani inanikosesha amani sanaView attachment 2224741
Overhaul inahitaji umakini sana. Ni muhimu sana sana kupata manual ya hiyo mashine ili kujua wao wanahitaji vipimo gani kwenye kila bolt na nati unayofunga, siyo kutumia uzoefu. Maana kwenye cylinder head mfano, engine nyingi wenyewe wanataka zile main bolts za cylinder head kuwekwa mpya kila ukifungua. Na zenyewe zina specification zake siyo kila bolt itafaa.
Poa kaka nitakuchek soon mm nimenunua DCM truck kwa ajili ya kulipeleka minadan nataka overhaul ya engineAsante kwa Swali zuri.
Kwa upande wa Deutz engine na Engine zote za High speed kuanzia Rpm 2500 had 3500. Hzi mara nyng sana znatka ringz ziwe original. Pia kabla ya kufunga rings mpya unatakiwa upime Sleeve size. Kama sleeve size zmetanuka lazima engine ichelewe kuwaka cz Compression inatokea chini.
2. Angalia upande wa Pump.
Pump inawezekana ina internal leaking kwa hyo ukiwasha bla mzigo inawaka vzur. Ushaur nenda kapime pump na kuongezea speed. Kwa maelezo na maswali zaid n check kwa 0713 302 846
Inawezekana ni kweli, lkn engine ya hiyo compressor haitumii maji, yaani sio water cooling, Ni oil cooling, Ina oil cooler ambayo ipo attached kwenye engine,tatizo lako lipo kwenye gasket ulipo nunua hukuangalia matundu ya maji na hewa kama yapo sawa kwa idadi yake kuna gasketi zingine tundu moja linapungua ina bidi uitobolee jitahidini kununua kitu original na iwe na mark yake sio unaambiwa hii orginal kumbe fake gasketi.
Ikitokea kua sleeves zimetanuka solution yake Ni ipi,Asante kwa Swali zuri.
Kwa upande wa Deutz engine na Engine zote za High speed kuanzia Rpm 2500 had 3500. Hzi mara nyng sana znatka ringz ziwe original. Pia kabla ya kufunga rings mpya unatakiwa upime Sleeve size. Kama sleeve size zmetanuka lazima engine ichelewe kuwaka cz Compression inatokea chini.
2. Angalia upande wa Pump.
Pump inawezekana ina internal leaking kwa hyo ukiwasha bla mzigo inawaka vzur. Ushaur nenda kapime pump na kuongezea speed. Kwa maelezo na maswali zaid n check kwa 0713 302 846