Kwa wale wanaolamika kuhusu Diesel Engine. Uliza chochote nkupe jibu

Je nozzle huwa zinasafishwa kama plug au ni kununia mpya tu?
Pili nozzle zikichoka utaona mabadiliko gani kwenye gari?
Nozzle zkifa huwa znabadilishwa Planger za mbani.
 
Mmmmmmhmn bro, umeanza kuharibu uzi mapema sana na hili tangopori. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Diesel ni jina la mtu hilo.
The definition of a diesel is an engine that burns fuel oil, or something powered by this type of engine.

Diesel is defined as to run after the ignition is off.
 
Haiwezekan kk. Tofaut btn Diesel na Petrol Engine n.
Diesel kuna Nozzle, Wakat Petrol kuna Spark plug.
So kubadilisha inakuwa ngumu sana mkuu. N bora ubadilishe Engine yote 2
Siyo sababu ya kutosha. Watengeneza magari wa awali, walikuwa wanabuni na kutengeneza pia engine zao, na kinachofanya zifanye kazi tofauti ni kipande cha juu ktk engine, yaani cylinder head. Engine block inawezekana ktk mtindo wa awali wa engine ukawa sawa sawa kwa petrol na diesel. Hadi walipoanza kutumia direct onjection kwenye diesels ndio na piston zikaanza kuja zenye shimo katikati.
 
Chuo gani wanatoa mafunzo ya diagnostic troubleshooting systems hapa tz ?
 
The definition of a diesel is an engine that burns fuel oil, or something powered by this type of engine.

Diesel is defined as to run after the ignition is off.
Muungwana akivuliwa nguo huchutama mkuu. Hebu chutama basi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bado nina imani kuwa procedures za overhaul ya hiyo engine hazikufuatwa ndio chanzo cha kuvuja baada ya muda mfupi.
Haya mambo ya kufanya overhaul za engine kwa bongo huwa tunaleta masihara sana. Kuna matatzo mengine hayahitaji overhaul ila mtu anakimbilia tu kuichokonoa engine, from my experience overhaul haitakiwi kufanyika mara kwa mara kama hakuna ulazima

Mtu akishajua kufunga na kufungua bas anakimbilia kufanya overhaul (hii kitu sio nzuri).

Kufungua sio big deal, issue ipo kwenye assembly, je mtu anatumia vipimo sahihi? Kwa mfano kila nut au bolt unayoiona kwenye cylinder head inakua na kipimo chake cha ukazaji, je watu wanafuata hivyo vipimo? Kama hufuati vipimo kwanini engine yako isianze kukojoa(kuvuja).

Huko kwenye youtube hawaonyeshi vitu vyote bandugu kuna mengine tukajifunze field.
 
Naam. Hapo ndio wengi wanafeli. Hii ni tabia ya mafundi kwa kuwa akimwambia mteja issue ndogo na hela inakuwa fupi fupi akisema tufungue mashine ndio atapata hela ndefu na watu wanakubali.
 
Haya mambo ya kufanya overhaul za engine kwa bongo huwa tunaleta masihara sana. Kuna matatzo mengine hayahitaji overhaul ila mtu anakimbilia tu kuichokonoa engine, from my experience overhaul haitakiwi kufanyika mara kwa mara kama hakuna ulazima

Mtu akishajua kufunga na kufungua bas anakimbilia kufanya overhaul (hii kitu sio nzuri).

Kufungua sio big deal, issue ipo kwenye assembly, je mtu anatumia vipimo sahihi? Kwa mfano kila nut au bolt unayoiona kwenye cylinder head inakua na kipimo chake cha ukazaji, je watu wanafuata hivyo vipimo? Kama hufuati vipimo kwanini engine yako isianze kukojoa(kuvuja).

Huko kwenye youtube hawaonyeshi vitu vyote bandugu kuna mengine tukajifunze field.
Na hakuna namna.
 
Back
Top Bottom