samurai
JF-Expert Member
- Oct 16, 2010
- 11,495
- 24,223
Yes Ni cylinder head gasket, niliamua kufanya overhaul nilibadilisha pistons zote,rings zote na cone zote lkn bado tatizo linaendelea, Yani inanikosesha amani sanaView attachment 2224741
Mkuu hiyo compressor yako kama umefanya vyote hivyo na tatizo linaendelea, adjust pressure ya upepo kwenye relief valve ya upepo, kinatochotoke hapo engine overload kwa maana upepo kama load yako unaoverload engine... hapo inatakiwa setting..