Yes Ni cylinder head gasket, niliamua kufanya overhaul nilibadilisha pistons zote,rings zote na cone zote lkn bado tatizo linaendelea, Yani inanikosesha amani sanaView attachment 2224741
Kwa inshu kama hii ukiadjust valve ya upepoMkuu hiyo compressor yako kama umefanya vyote hivyo na tatizo linaendelea, adjust pressure ya upepo kwenye relief valve ya upepo, kinatochotoke hapo engine overload kwa maana upepo kama load yako unaoverload engine... hapo inatakiwa setting..
Gasket Original zpo nyng 2. Labda Boss bahili. Lakn tatzo la Gasket hakuna kwa sasa. Tatzo liliopo n Engine haina nguvu kama mwanzoInawezekana ni kweli, lkn engine ya hiyo compressor haitumii maji, yaani sio water cooling, Ni oil cooling, Ina oil cooler ambayo ipo attached kwenye engine,
Pia kupata gasket original kabisa Ni mtihani labda iwe used.
Kwa inshu kama hii ukiadjust valve ya upepo
Engine itawaka vzur 2 cz inakua haina mzgo. Lakn output ya upepo itakuwa n ndogo
Asante kwa Swali zuri.Kwanini gari za diesel huwa zinasumbua kuwaka mida ya asubuhi au nyakati za baridi? Na nipe njia nzuri ya kutatua hiyo changamoto.
Kwel mkuu pia n njia ya Kutroubleshoot pia🙏🏾🙏🏾labda setting imechezewa na output pressure inakuwa kubwa, ni test rahisi tu wanaweza
kure-adjust na kucheki perfomance..
wakati mwingine inaweza kuwa hiyo relief imekufa na controlling ya airpressure inakuwa ndogo inapelekea kuoverload.... kuna kitu kinaitwa load sensing valve ambayo ukifungulia upepo ndio inaicommand engine kuongeza revs mpaka either 2500 -3000rpm.... kama nayo imekufa inasababisha engine kuwaka na load..
Haiwezekan kk. Tofaut btn Diesel na Petrol Engine n.Je kuna uwezekano wa kuiswap system ya engine inayotumia diesel ili ianze kutumia petrol? Na ya petrol itumie diesel..
Diesel ni nzito kwaiyo inapokua inaanza kuingia katika injector pumpu ili ivunjwevunjwa na kuwa automized fuel inakua inachelewa kwasababu haijapata joto la kutosha kuifanya iwe imekaa ktk hali ya mvuke so hapo gari itachelewa kuwaka.Kwanini gari za diesel huwa zinasumbua kuwaka mida ya asubuhi au nyakati za baridi? Na nipe njia nzuri ya kutatua hiyo changamoto.
Haiwezekani kwasababu compression ratio ya diesel na ya compression ratio ya petrol ni tofaut . Kwanza cylinder ya petrol na diesel aziwez kufanana sababu maranyingi cyilinda ya diesel diesel inakua kubwa kawasababu tunatafta nguvu zaidi na kwa petrol cylinder inaweza kua ndogo sababu tunatafta kasi. Engine ya diesel ina nguvu kubwa kuliko engine na petrol. Hapo ni kubadilisha engine nzima .Je kuna uwezekano wa kuiswap system ya engine inayotumia diesel ili ianze kutumia petrol? Na ya petrol itumie diesel..
Mara nyingi shida inakua sio kwenye nozzle bali inakua tangu kwenye pump inayochakata mafuta ili yawe ktk mfumo wa spray sio kimiminika tena .Asante kwa Swali zuri.
Mfumo/System ya Diesel n kwel inasumbua sana wakat wa asbh kwa sababu
1. Kwanza unatakiwa kwenye Diesel Engine kuna nozzle ambayo ndio inatumika kuinject Diesel hili mlipuko ufanyike. Ikitokea hii nozzle ipo na ubarid haifany kaz vzur hii inapelekea Engine kusumbua kuwaka.
SOLUTION YAKE SASA
Hili diesel Engine iwe rahisi kuwaka wakat wa Asbh au kpnd cha Barid n kufunga Heating System kwa kukausha maji/Ubarid kwenye nozzle.
Kivipi mkuu? Wamaanisha wakati wa asubuhi, ufanisi wa pampu hupungua?Mara nyingi shida inakua sio kwenye nozzle bali inakua tangu kwenye pump inayochakata mafuta ili yawe ktk mfumo wa spray sio kimiminika tena .
Mkuu, hizo nozzle tukizipasha kwa hiyo heating system haziwezi lipuka? Kwa sababu kunakuwa na mafuta maeneo hayo au hiyo heating system sijaelewa inavyofanya kazi. ☺Asante kwa Swali zuri.
Mfumo/System ya Diesel n kwel inasumbua sana wakat wa asbh kwa sababu
1. Kwanza unatakiwa kwenye Diesel Engine kuna nozzle ambayo ndio inatumika kuinject Diesel hili mlipuko ufanyike. Ikitokea hii nozzle ipo na ubarid haifany kaz vzur hii inapelekea Engine kusumbua kuwaka.
SOLUTION YAKE SASA
Hili diesel Engine iwe rahisi kuwaka wakat wa Asbh au kpnd cha Barid n kufunga Heating System kwa kukausha maji/Ubarid kwenye nozzle.
Nozzle znapata Mafuta wakat wa kulipua tu. Na mafuta yanayo baki au unburnt diesel yanarud kwenye Tank au kwenye Diesel filter. Kwahyo nozzle hazina mafuta mkuuMkuu, hizo nozzle tukizipasha kwa hiyo heating system haziwezi lipuka? Kwa sababu kunakuwa na mafuta maeneo hayo au hiyo heating system sijaelewa inavyofanya kazi. ☺
Heater plugKwanini gari za diesel huwa zinasumbua kuwaka mida ya asubuhi au nyakati za baridi? Na nipe njia nzuri ya kutatua hiyo changamoto.