INAUZWA Kwa wale wanaoteseka na maji ya chumvi pata machine ya kuchujia maji chumvi kuwa maji baridi

INAUZWA Kwa wale wanaoteseka na maji ya chumvi pata machine ya kuchujia maji chumvi kuwa maji baridi

konda msafi

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2018
Posts
1,696
Reaction score
8,763
Samaritan Water Solution LTD ni suluhisho la tatizo la maji chumvi. Tunatengeneza machine bora kabisa za kuchujia maji chumvi na kuwa maji baridi zaidi hata ya maji ya DAWASA. Kutumia maji chumvi kuna hasara nyingi. Watu wengi hata hizi rangi za ngozi tulizo nazo hudhani ni ngozi yetu kumbe ni maji tu yametufanya tuwe na ngozi isiyovutia.

Kuoga maji yasiyokuwa na chemical yeyote hung'arisha na kuifanya ngozi yako iwe na nuru ya kuvutia na kukufanya ujisikie vizuri. Kunywa maji baridi na matamu yasiyokuwa na chemical zozote huongeza siku za kuishi na kufurahia matumizi ya maji nyumbani. Tafadhali usiteseke kwa maji ya chumvi. Kama una kisima chenye maji ya chumvi usihofu tena Samaritan Water Solution LTD wana suluhisho la tatizo lako.

Gharama za machine zinategemea na uwezo wa machine na shida iliyopo kwenye maji ya mteja. Kwenye maji kuna vitu vingi i.e. magadi, chumvi microorganism kama vile bacteria, virus na parasites pia kuna chemical kama nitrate na nitrite etc. Kabla ya kumtengenezea machine mteja lazima kwanza maji yake tuyapime maabara ili kujua yana chemical zipi.

Tukishapata report ya maabara ndio tunategeneza machine kulingana na tatizo la maji yake. Kukiwa na vitu (minerals) vingi kwenye maji ya mteja basi bei itakuwa ni tofauti na bei ya mteja let's say anahitaji machine kwa ajili ya maji ya DAWASA. Pia bei inategemea uwezo wa machine yaani mahitaji ya maji ya mteja. Mteja mwenye uhitaji wa machine yenye kutoa let's say litre 3,000 kwa siku bei yake itakuwa tofauti na bei ya machine yenye uwezo wa kutoa litre 10,000 kwa siku.

Tunatumia technology ya hali ya juu sana kuhakikisha maji yanakuwa laini, masafi na salama "Ultrafiltration with X-flow membrane technology".

Kwa maelezo zaidi tafadhali wasiliana nasi kwa njia zifuatazo: info@samaritanwater.co.tz 0676405024 au 0682717749 au tembelea tovuti yetu kuona huduma zetu zingine.

IMG-20210820-WA0011.jpg
 
Bei inategemea unahitaji machine yenye uwezo gani? Machine yenye uwezo wa kutoa let's say litre 3,000 kwa siku haiwezi kulingana gharama na yenye kutoa litre 10,000 kwa siku.

Ndio uweke mchanganuo wa gharama kulingana na ujazo au wateja wahangaike kuuliza na bei tena
 
Nataka dawa ya kusafisha maji ya kisima, yawe meupeeee
 
Yaani unamaanisha naweza kuchota maji pale Baharini na kuyafanyia desalination nikapata pure water ya kunywa ?

Kama ndio naomba energy consumption yake, Na hizi tozo nisijekuta nanunua glasi moja kwa elfu ishirini...
 
Kabisa mkuu. Maji ya uhai yanatengenezwa kwa technology hii hii mkuu tunayotumia sisi.
 
Kabisa mkuu. Maji ya uhai yanatengenezwa kwa technology hii hii mkuu tunayotumia sisi.
Mkuu nachojua mimi desalination is possible lakini ni expensive ingekuwa au ikiwa bei rahisi basi sisi kama dunia tutakuwa tumepunguza matatizo yetu, ukizingatia fresh water duniani ni kama 2% wakati tuna salt water nyingi kuliko maelezo....

Ndio maana nikaomba kucheki power consumption huenda hizi mashine au teknolojia kama ni cheap energywise tukawasaidia na ndugu zetu ulimwenguni
 
Anataka tuanze kuuliza bei, unapowrka tangazo maana yake unatafuta wateja hivyo weka maelezo yanayojitosheleza kusiwe na haja ya kuuliza
Mfano specifiction ya mashine, bei yake, mawasiliano yake ikiwezekana na unapopatikana yaani ofisi ilipo

Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah haya yote wafanyabiashara wabongo huwa hawaweki wanataka mteja awafate huko badala ya kuweka kila kitu Ili mteja akija anafahamu.
 
Mkuu nachojua mimi desalination is possible lakini ni expensive ingekuwa au ikiwa bei rahisi basi sisi kama dunia tutakuwa tumepunguza matatizo yetu, ukizingatia fresh water duniani ni kama 2% wakati tuna salt water nyingi kuliko maelezo....

Ndio maana nikaomba kucheki power consumption huenda hizi mashine au teknolojia kama ni cheap energywise tukawasaidia na ndugu zetu ulimwenguni
Basically tunadeal na maji ya visima vyenye chumvi na wale wanaotumia maji ya DAWASA wanaohitaji yawe bora zaidi. Hatujawahi kupata mteja anayehitaji maji ya baharini tuyatengenezee machine. Ila hakuna linaloshindikana, kama unahitaji maji ya baharini tuyachuje jipange tu kwa gharama maana membrane tutakazotumia kuyachujia zipo. Tunatumia "ultrafiltration with X-flow membrane technology. Hii ni technology ya hali ya juu sana kufanya filtration.
 
Back
Top Bottom