Endeleeni na dana dana hizo mashine zipo toka 5 yrs ago hawajitangazi tu muulize anaeuza sana strawberry alinunua lini.Bei inategemea unahitaji machine yenye uwezo gani? Machine yenye uwezo wa kutoa let's say litre 3,000 kwa siku haiwezi kulingana gharama na yenye kutoa litre 10,000 kwa siku.
Mmrkuwa wagumu kutoa taarifa mimi mwenyewe nimefanyakazi na kampuni ya TRUNZ ya nje kwa ajili ya mambo hayo hayo mbona kila kitu kinaeleweka.
Maabata lazima daza zitoke kwenu kwanini.
Mnajiwekea vikwazo ninyi wenyewe na utaalam mwingi bila sababu. Ni sawa data ni muhimu lakini maji ya chumvi ya bahari yanaeleweka sasa uanzie hapo. Sababu sidhani kama kuna kisima kimezidi chumvi ya maji bahari.