simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,418
- 9,209
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uarabuni wanabadilisha maji ya chumvi yabahari kua fresh water
🤣 umemkata mtamaYeah, Khumbu ndio alinipa hii idea maana alikuwa anapenda kuoga maji malaini na masafi.
Shs ngapi hiyo machine ya liter 2000 kwa Sikh,vipi matumizi take ya umeme?? Kwa kusafisha hizo Lita 2.Pia ningependa kufahamu matengenezo kwa ujumla.Machine ndogo kwa matumizi ya nyumbani ipo mkuu. Machine ya litre 2,000 per day inakutosha kabisa.
Mkuu nina miaka 8 sasa nakunywa maji ya chupa tu kila siku, inawezekana kabisa haya maji sio mazuri lakini pia nakaa eneo ambalo maji in ya chumvi hapa bora kipi,niendeele kunywa ya chupa au bora hayo ya kuondoa chumvi kwa kutumia hiyi mashine.usisahau pamoja na kuwa inaondoa iron na inasafisha maji jla matumizi endelevu ya chlorine sio mazuri kwani inaleta cancer kwa kunywa maji yenye chlorine ama hata kuyaoga maana inaingia mwilini.. so hakikisha unaichuja kwa kutumia filter za carbon activated.. weka walau hata filter moja tu
Mkuu nina miaka 8 sasa nakunywa maji ya chupa tu kila siku, inawezekana kabisa haya maji sio mazuri lakini pia nakaa eneo ambalo maji in ya chumvi hapa bora kipi,niendeele kunywa ya chupa au bora hayo ya kuondoa chumvi kwa kutumia hiyi mashine.
Bei zake zikoje hizo carbon filterkiongoz hujanielewa.. yaan kutumia chlorine kwa ajili ya kusafisha maji ni muhimu kwa ajili ya kuondoa bacteria na parasites...na mara nying inashauriwa mara moja kwa mwaka ...
na pia cholorine inatumika kuua bacteria sio kuondoa chumvi kama itaondoa ni kias kdg sana... maana inategemea maji yako ladha yake ya chumvi ni ya aina gani..
mostly utakuta ni kutokana na madini chuma kuwa mengi.. ndo unakuta maji yanakuwa na ladha kama ya chuma.. au mengine kama magadi.. au unakuta yana rangi ya kutu au kama mayai yameoza.. sasa hapo chlorine haiwez toa hiyo chuma
chlorine ni kwa ajili ya ku purify maji inaua bacteria na parasite sababu kuna uchafu wa kinyesi au mizoga ya wanyama mvua ikinyesha maji yanabeba huo uchafu yanakwenda kuingia kwenye kisima chako .
Ndo maana hata dawasco wanatumia chlorine kwenye vyanzo vyao vya maji ingawa maji yake ambayo ni ya mito hayana chumvi..
so tumia chlorine sambamba na filter za kuondoa chumvi.. na filter hizo hizo ndo zitaondoa chlorine kwenye maji yako na kuyafanya yawe salama kwa kunywa
kama kisima kina maji ya chumvi hakuna dawa ya kutumbukiza kisiman chumvi iondoke hapana kuna filters zinatumika kuondoa chumvi na madini chuma yaliozid ingekuwa hivyo watu
wasingehangaika kupata kisima cha maji yasio na chumvi mtu angechimba tu kisima akaweka chlorine ndan akawa anamimina kwenye kisima na wala hizo system za kuondoa chumvi kwenye maji zisingekuwepo
umeona kuna mdau kataja reverse osmosis ni moja wapo ya teknolojia ku soften hard water na kuyafanya safe for drinking
mi mwenyewe natumia kisima nyumban na niko kwenye process ya kufunga filters ndo maana nimamuuliza huyu mtoa mada filter nazohitaj kama anazo ama niagize nje
do your research kuhakikisha unajua unahitaj nn kutokana na aina ya maji yako .. na pia kumbuka sijasema usitumie chlorine ila jua inashauriwa kufanya chlorination kwenye kisima chako once a year..
kumbuka kuna filter za aina nyingi kutegemea na aina yako ya maji na uchafu au ugumu wa maji yako
filter za uchafu unaoonekana zinaitwa kwa kifupi sed filters ziko kuanzia 20micron na kwenda juu the bigger the number the bigger the holes
za kutoa uchafu wa aina ya vumbi hadi ule usionekana kwa macho ni micro 5 kushuka chini
za kusafisha maji na kuondoa bacteria zinaitwa carbon filters .. na hiz zinaondoa harufu ya maji pia na ndio nazokwambia tumia ili ukiweka chlorine kwenye kisima hizi zitaondoa hiyo chlorine pia ..
Bei zake zikoje hizo carbon filter
Milioni 6Shs ngapi hiyo machine ya liter 2000 kwa Sikh,vipi matumizi take ya umeme?? Kwa kusafisha hizo Lita 2.Pia ningependa kufahamu matengenezo kwa ujumla.
Za kwetu energy consumption ni ya kawaida sana mkuu.ninayo hii machine but it is grounded kwa sababu ulaji wake wa umeme ni mkubwa, ilinishinda
ya kwangu ni ya Davis Shirtliff Halafu filter unabadilisha kila baada ya siku 3Za kwetu energy consumption ni ya kawaida sana mkuu.
Hawa Davis wanaimport bidhaa zao. Sisi tunatengeneza wenyewe kulingana na tatizo la maji ya mteja. Davis bidhaa zao ni ready made na haziakisi matatizo ya maji ya Tanzania. Kwa sababu hizi membrane zina nguvu tofauti kulingana na tatizo la maji.ya kwangu ni ya Davis Shirtliff Halafu filter unabadilisha kila baada ya siku 3
...Mkuu hakuna machine yenye capacity ndogo zaidi kwa siku? Mfano lita 200 (Mia mbili) tu???? Na kama ipo, bei ikoje?Machine ndogo kwa matumizi ya nyumbani ipo mkuu. Machine ya litre 2,000 per day inakutosha kabisa.
Energy consumption ya kawaida ndio kiasi gani? Mashine yako ina Kilowatt ngapi?Za kwetu energy consumption ni ya kawaida sana mkuu.
Huyu kama ni mtu wa kutangaza soko hafai. A mejifunza kuandika ktk mtandao tu. Anunue mwrnyewe kwa kweliEnergy consumption ya kawaida ndio kiasi gani? Mashine yako ina Kilowatt ngapi?
Anatuona kama wote la saba humu ndaniHuyu kama ni mtu wa kutangaza soko hafai. A mejifunza kuandika ktk mtandao tu. Anunue mwrnyewe kwa kweli
Hii ya ltr 2000 ni bei gani?Machine ndogo kwa matumizi ya nyumbani ipo mkuu. Machine ya litre 2,000 per day inakutosha kabisa.
Milion 13,000.Hii ya ltr 2000 ni bei gani?