INAUZWA Kwa wale wanaoteseka na maji ya chumvi pata machine ya kuchujia maji chumvi kuwa maji baridi

Mkuu naleta tena masihara, tunaovuna maji ya mvua hayahitaji kusafishwa mpaka nilete masihara tena, kama Nina kisima changu cha Lita elfu 50 INA maana siwezi kuyasafisha??
 
Mkuu naleta tena masihara, tunaovuna maji ya mvua hayahitaji kusafishwa mpaka nilete masihara tena, kama Nina kisima changu cha Lita elfu 50 INA maana siwezi kuyasafisha??
Yanasafishwa. Tuletee sample yake tuyapime, utuambie unahitaji machine yenye uwezo gani kisha tufanye.
 
Kabisa mkuu. Maji ya uhai yanatengenezwa kwa technology hii hii mkuu tunayotumia sisi.
hayo maji uliyoyataja mbona yana pH kubwa sana kulinganisha na mengine,binafsi nikifululiza kuyanywa siku 3 vidonda vya tumbo vinanirudia,hakuna namna hizo mashine zako zinaweza kupunguza hiyo pH?
 
Mkuu natamani sana kujua bei.... Alafu kingine, naomba kuuliza swali la kijinga kama maswali mengine, je, hiyo technology ya kuchuja ni tofauti na reverse osmosis?
 
Mkuu natamani sana kujua bei.... Alafu kingine, naomba kuuliza swali la kijinga kama maswali mengine, je, hiyo technology ya kuchuja ni tofauti na reverse osmosis?
Reverse osmosis ni technology ya zamani mkuu. Bei zetu zinaanzia milioni 4 na kuendelea.
 
Mpaka sasa hujaweka bei.. hiyo masine ni ya kichawi bei yake damu ya mtu au
 
hayo maji uliyoyataja mbona yana pH kubwa sana kulinganisha na mengine,binafsi nikifululiza kuyanywa siku 3 vidonda vya tumbo vinanirudia,hakuna namna hizo mashine zako zinaweza kupunguza hiyo pH?
Nimetolea mfano tu mkuu ila machine zetu zinachuja maji kwa kiwango ambacho ni acceptable kwa standard za maji safi na salama. Maji inayotoa lazima tuyapime maabara ili kumkabidhi mteja report ya maji safi na salama.
 
Mpaka sasa hujaweka bei.. hiyo masine ni ya kichawi bei yake damu ya mtu au
Soma comment mkuu. Bei nimeweka. Kuna mdau kaulizia bei ya hiyo iliyopo kwenye picha nimetoa bei tayari.
 
kama kawaida, bei imefichwa ili kila mjinga apigwe kivyake
 
kaka water filter system ifuatayo mnauzaje

1. option A

Big blue canisters za 10 x 4.5 ikiwa na filter zifuatazo

  • Sed filter washable 50micron
  • Sed filter Poly 5micron
  • Carbon (coconut ) with KDF85 Filter 5micron

1. option B

Big blue canisters za 20. x 4.5 ikiwa na filter zifuatazo

[*]Sed filter washable 50micron
[*]Sed filter Poly 5micron
[*]Carbon (coconut ) with KDF85 Filter 5micron

nipe bei hizo option hapo juu kufunga nafunga mwenyewe,

pia mnasupply brand gani

NB: namba zenu hazina majibu au haziko whatsap?
 
Asante sana...kesho mapema sana

usisahau pamoja na kuwa inaondoa iron na inasafisha maji jla matumizi endelevu ya chlorine sio mazuri kwani inaleta cancer kwa kunywa maji yenye chlorine ama hata kuyaoga maana inaingia mwilini.. so hakikisha unaichuja kwa kutumia filter za carbon activated.. weka walau hata filter moja tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…