Kwa wale wanaotokea Tabora: Kwanini Tabora kuna vichaa na wehu wengi mjini na vijijini?

Kwa wale wanaotokea Tabora: Kwanini Tabora kuna vichaa na wehu wengi mjini na vijijini?

Kifaru86

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2017
Posts
1,733
Reaction score
3,833
Kwa wale ndugu zangu wanyamwezi na wasukuma toka Tabora na watu mliowahi kufika Tabora mtakubaliana na mimi ya kwamba tatizo la wehu,wendawazimu na vichaa kuwa wengi lipo muda mrefu na kila siku linazidi kuongezeka mpka imefika hatua imekuwa kero sasa.

Eneo kama stendi mkuu hapo Tabora mjini kuna wehu na vichaa wanashinda pale wanapigana mitii hadharani wako uchi wa mnyama,ukipita njianindo usiseme katika watu sita utakaopishana nao basi watatu ni wehu ukipita soko kuu ndo usiseme wehu na vichaa wamejaa alafu hawana ustarabu siku akili zao zikifyatuka wanafanya fujo wanarusha mawe ovyoo waharibu biashara za watu yaani hawa viumbe wenzetu wamekuwa ni tatizo sana si mjini si vijijini wapo wengi kama juzi nilikuwa Urambo soko kuu kuna mwehu nilimuona anajisaidia hadharani .

Lakini yote tisa hebu tuelezane ni kwanini katika huu mkoa wetu kwanini wehu, wendawazimu na vichaa ni wengi inawezekana labda mi nimekulia Dar labda sifahamu lakini nimetembea mikoa mingi ila Tabora too much.
 
1.Wepesi kulipa visasi(hurogana) wanaoroga Tabora si wanyamwezi pekee
2.Treni inasimama muda mrefu vichaa kutoka Kigoma hushuka hapa.
3.Bangi madawa ya kulevya njenje
{Isevya Chemchem Ng'ambo)
[emoji1] [emoji1] [emoji1] eti vicha kutoka kgm sio kweli kigoma hamna vicha kama tbr bana imezidi[emoji14] [emoji14]
 
be careful, ulipo tupo

Hahahahahahaaa si kwa mkwara huo, hadi ameenda ku edit alichoandika mwanzo, mueditie na hapa kwako ulivyo mquote basi maana ameshatubu kwa kufuta alichoandika.

Ila ni kweli, walipo tupo, tena wa watch out.... Aahahahahahahaaaaa
 
Wanyamwezi hoyeeee.....

Tabora Hoyeeeee

Baadhi ya unaowaona kama vichaa barabarani wengine ni mizimu.

Wamfuma mwikuluu
Wamfuma mwikuluu wangalukaa mwana wa Ntemii
Waloloo mayooo watoolwaa ng'wana wa Ntemii
Wamfuma mwikuluu.

Najivunia kuzaliwa Mnyamwezi

Wanyamwezi tuko juuuu
Tumepandaa tumechumpaaa
Mizigo mizito ndo jadi yetu....

Kasie Matata Madata.
 
Duuh! Yaani mpaka wanapigana miti live mkuu! Kumbe ndio maana wengine huwa nawaona wajawazito iseee
 
Back
Top Bottom