Kwa wale wanaotokea Tabora: Kwanini Tabora kuna vichaa na wehu wengi mjini na vijijini?

Hali ya uchumi ya mkoa ikoje?
Kwa Tabora mjini hali mzunguko wa fedha sio mzuri, ni tofauti na wilaya zake kama Nzega ambako kuna mzunguko mzuri. Tabora mjini ni wavivu sana. wazee kutwa kucha kucheza bao, wadada wanasubiria kuuza nanililo zao. Halafu hata wenye biashara hawana lugha nzuri kwa wateja. Kwa mfano unaweza kununua kitu sokoni, ukatoa hela kubwa ambayo inatakiwa akurudishie change, sasa pale ukimlipa utasikia mteja unaambiwa "ISHIII KATAFUTE CHENCHIIII" au ukiingia hotelini ukaagiza wali, bahati mbaya ukakutana jiwe, ukiwaambia wali wenu una mawe jibu lake sasa "ISHIIII UNASHANGAA NINI, HUJUI KAMA MCHELE UNA MAWEEE"
Hawako vizuri kimkakati kwenye biashara
 
Ishiii.... watu wa pwani hawa.....!
 
Hata hapa Dar vyangudoa wengi hutokea Tabora especially hawa wa Sinza, Kinondoni na sehemu za mujini. Kule Buguruni ni wazaramo wayao wangindo au watu wa kusini kwa ujumla. Kimara ni dada zangu wa chadema
 
Ila dah wanyamwezi wana maneno ya karaha jamani khaaaaaa
 
Hata hapa Dar vyangudoa wengi hutokea Tabora especially hawa wa Sinza, Kinondoni na sehemu za mujini. Kule Buguruni ni wazaramo wayao wangindo au watu wa kusini kwa ujumla. Kimara ni dada zangu wa chadema
Acha kuharibu uzi kwa kuleta mada zako za kichochezi. Ulishawahi kuona mchaga mdangaji?
 
Tabora wengi wao wamejikita kwenye ushirikina, yani hawamuogopi Mungu...watu wa ajabu sana hawa. Ndiyo maana wako nyuma sana kimaendeleo.
 
Back
Top Bottom