mambio
JF-Expert Member
- Mar 4, 2017
- 2,859
- 3,679
Daah umenikumbusha kitambo kidogo. Amani mwehu, malingumu, Asha kulwa. Miaka ya 80 hadi 90 mwanzoni.Hivi Amani mwehu bado yupo au alishakufa?

Daaah nimecheka sana aiseee hyo ya tren la kigoma1.Wepesi kulipa visasi(hurogana) wanaoroga Tabora si wanyamwezi pekee
2.Treni inasimama muda mrefu vichaa kutoka Kigoma hushuka hapa.
3.Bangi madawa ya kulevya njenje
{Isevya Chemchem Ng'ambo)
Shikamoo wasukuma na wanyamweziNiliishi huko 2011,nikauliza wakasema sababu ni wepesi kulipa kisasi,pia uchawi ni bei rahisi sn hapo na kigoma
Uchagani (Rombo zote !) ndio imevunja Guiness !Kwa wale ndugu zangu wanyamwezi na wasukuma toka Tabora na watu mliowahi kufika Tabora mtakubaliana na mimi ya kwamba tatizo la wehu,wendawazimu na vichaa kuwa wengi lipo muda mrefu na kila siku linazidi kuongezeka mpka imefika hatua imekuwa kero sasa.
Eneo kama stendi mkuu hapo Tabora mjini kuna wehu na vichaa wanashinda pale wanapigana mitii hadharani wako uchi wa mnyama,ukipita njianindo usiseme katika watu sita utakaopishana nao basi watatu ni wehu ukipita soko kuu ndo usiseme wehu na vichaa wamejaa alafu hawana ustarabu siku akili zao zikifyatuka wanafanya fujo wanarusha mawe ovyoo waharibu biashara za watu yaani hawa viumbe wenzetu wamekuwa ni tatizo sana si mjini si vijijini wapo wengi kama juzi nilikuwa urambo soko kuu kuna mwehu nilimuona anajisaidia hadharani .
Lakini yote tisa hebu tuelezane ni kwanini katika huu mkoa wetu kwanini wehu, wendawazimu na vichaa ni wengi inawezekana labda mi nimekulia Dar labda sifahamu lakini nimetembea mikoa mingi ila Tabora too much.

Mkuu watanzania walishanishinda tabia kwa kukandiana ili hali wote choka mbaya tofauti ni ndogo sanaWabongo bhana wanavyoshangaa utadhani watokako kuna nafuu,
-hivi nchi hii kuna mkoa hauna uchawi na wachawi?
-kuna mkoa hauna vichaa?
mimi niko moshi ila tofauti ya tabora na huku ni ndogo sana tunapozungumzia suala la vichaa,
-na sidhani kama nchi hii kuna mkoa hauna vichaa.
Huamini nenda soko kuu TaboraWewe kweli "Msela Wa Manzese" Eti vichaa wanapigana miti hadharani ......
Aisee " hapo sio demu tu " ni katika masuala mengi nyeti yanayotuhusu katika maisha ..mfano ununuzi wa viwanja na mashamba " waweza nunua kimoja wapo katika hivyo kumbe kina mgogoro" mwisho Wasiku wajikuta umeingia kwenye mgogoro wakutupiwa majini '" narejea tena kutamka " huko hapafai-unapoishi tabora ni jukumu lako kufanya tafiti kabla hujafanya maamuzi,
-vinginevyo yatakupata makubwa, nijuavyo ni Mala chache sana mtu asiye makosa kufanyiwa ubaya pale,
-kumbe basi ukitaka demu jitahidi umjue kabla hujafanya lelote,
-unajua tabora haina tofauti sana na maeneo ya pwani.
duuuhh usiniambie ..kuwa nikweliHuamini nenda soko kuu Tabora
Basi mkuu ......nishaaminiHuamini nenda soko kuu Tabora
Mkuu hivyo ndivyo visababishi vikuu.1.Wepesi kulipa visasi(hurogana) wanaoroga Tabora si wanyamwezi pekee
2.Treni inasimama muda mrefu vichaa kutoka Kigoma hushuka hapa.
3.Bangi madawa ya kulevya njenje
{Isevya Chemchem Ng'ambo)
Tabora vichaa na wehu ni wengi sana.duuuhh usiniambie ..kuwa nikweli
Albadiri katika ibora wake.Kwa wale ndugu zangu wanyamwezi na wasukuma toka Tabora na watu mliowahi kufika Tabora mtakubaliana na mimi ya kwamba tatizo la wehu,wendawazimu na vichaa kuwa wengi lipo muda mrefu na kila siku linazidi kuongezeka mpka imefika hatua imekuwa kero sasa.
Eneo kama stendi mkuu hapo Tabora mjini kuna wehu na vichaa wanashinda pale wanapigana mitii hadharani wako uchi wa mnyama,ukipita njianindo usiseme katika watu sita utakaopishana nao basi watatu ni wehu ukipita soko kuu ndo usiseme wehu na vichaa wamejaa alafu hawana ustarabu siku akili zao zikifyatuka wanafanya fujo wanarusha mawe ovyoo waharibu biashara za watu yaani hawa viumbe wenzetu wamekuwa ni tatizo sana si mjini si vijijini wapo wengi kama juzi nilikuwa urambo soko kuu kuna mwehu nilimuona anajisaidia hadharani .
Lakini yote tisa hebu tuelezane ni kwanini katika huu mkoa wetu kwanini wehu, wendawazimu na vichaa ni wengi inawezekana labda mi nimekulia Dar labda sifahamu lakini nimetembea mikoa mingi ila Tabora too much.
Kigoma ni njia tu ya kupitishia, zinatoka kongo.Limbwata zinatoka kigoma.
we jamaa muongo..sisi kwetu tupo 18..na hakuna kichaa hata mmojaHahahaaaa
MMOJA WAO JUZI KAJITANGAZA YEYE PAMOJA NA MWENZAKE... HAHAHAWanyamwezi ni sawa na wasukuma.