Kwa wale wanaotokea Tabora: Kwanini Tabora kuna vichaa na wehu wengi mjini na vijijini?

Kwa wale wanaotokea Tabora: Kwanini Tabora kuna vichaa na wehu wengi mjini na vijijini?

Yani hii mada ndo inanifanya niamini swala hili kuna rafik angu alisoma utmishi alikuwa ananiambia kuhusu ili nilizani ananidanganya ila yeye aliniambia tatizo ni kutembea na mke wa mtu lazima wakutie uchizi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siyo kweli mkuu, sema tabora kuna wasukuma wengi kuliko wanyamwezi! Watu wengi hawajui hili! Wanyamwezi wako sana wilaya za sikonge, urambo, tabora kwa uchache lakn wasukuma wamejaa nzega, igunga, Uyuwi, na kaliua
Kiongozi hapa umedanganya bana hiyo ilikuwa zamani kwa kifupi tuu wasukuma wapo nzega na igunga tuu.

Wanyamwezi wapo sikonge,urambo na tabora mjini kidogo.

Kuhusu uyui,ilolanguru,kaliuwa,kalemela mpka utusini wapo watusiiiiii .

Pia usisahau pia wamanyema ambao wengi pia wapo tabora mjini toka kigoma wapo muda nrefu mnoo.

Bila kusahau tabora pia inazungukwa pia na warundi pande za ulyakuluuuuu .

Pia usisahau waha toka kigomaaa pia wako kwa wingi.

Pia usiwasahau wafipaa toka sumbawanga na rukwaaaa
 
Yani hii mada ndo inanifanya niamini swala hili kuna rafik angu alisoma utmishi alikuwa ananiambia kuhusu ili nilizani ananidanganya ila yeye aliniambia tatizo ni kutembea na mke wa mtu lazima wakutie uchizi

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kabisa aiseee kaaa mbali na wanyamweziiiii
 
"Atakae nionesha Masai kichaa nahama inchi"
We nawe unanikumbusha enzi za utoto tukiambiwa eti Albino (enzi hizo tukiita Zeruzeru) hawafi wanapoteaga tu. Sasa mmasai chizi atafikaje mjini? Nenda umasaini utamkuta, istoshe mmasai akichizika ni laana kwao wanamuuwa tu.
 
Tumbaku inalimwa sana Tabora,Gongo inaywewa sana maeneo ya Isevya,pia inawezekana ushirikina nao unachangia sana maana kwa Tabora upo mwingi tu ila hawavumi..
 
Nomaa sana aiseee mimi nilishuhudia stendi kuu ya tabora mjini wehu wawili wa kike na wakiumee mchana kweupe hadharani wanapigana mitiiiiii ila ukiwa

Mgeni utabaki kushangaa ila wenyeji wameshazoeaa wanaona kawaida
Umezidisha Chumvi mkuu.
Nimekaa Tabora takribani miaka 5 lkn haya uliyoyaandika sikuwahi kuyashuhudia. I bet una ugomvi na Wanyamwezi!
 
Yaan kwa siku unaweza kutana na vichaa kama kumi kuendeleaa na tofautii tofauti
 
Umezidisha Chumvi mkuu.
Nimekaa Tabora takribani miaka 5 lkn haya uliyoyaandika sikuwahi kuyashuhudia. I bet una ugomvi na Wanyamwezi!
Kiongozi mimi mbona ni mtu wa tabora unyamwezi kabisa natokea urambo boma village jirani kabisaa na samweli sitaaa ila maisha yangu nimekulia dar es salaam tangu mtoto haya ninayozungumza ndo nimeyaona kiongoziiiii.......

Ila kila nikirudi kwetu najitahidi kujifunza ninayoona home ndo home japo naonekana mimi mzalamo wa mjini
 
Kwa Tabora mjini hali mzunguko wa fedha sio mzuri, ni tofauti na wilaya zake kama Nzega ambako kuna mzunguko mzuri. Tabora mjini ni wavivu sana. wazee kutwa kucha kucheza bao, wadada wanasubiria kuuza nanililo zao. Halafu hata wenye biashara hawana lugha nzuri kwa wateja. Kwa mfano unaweza kununua kitu sokoni, ukatoa hela kubwa ambayo inatakiwa akurudishie change, sasa pale ukimlipa utasikia mteja unaambiwa "ISHIII KATAFUTE CHENCHIIII" au ukiingia hotelini ukaagiza wali, bahati mbaya ukakutana jiwe, ukiwaambia wali wenu una mawe jibu lake sasa "ISHIIII UNASHANGAA NINI, HUJUI KAMA MCHELE UNA MAWEEE"
Hawako vizuri kimkakati kwenye biashara
Ukiagiza kitu kama una moyo mdogo unakizira hawahudumii haraka harakaa
 
Tabora ni mkoa wenye mchanganyiko mkubwa wa makabila,

Kuna waha, wafipa, wasumbwa, wasukuma, wanyamwezi

Unaweza kutuambia hiyo tafiti iliyogundua wanyamwezi ndo wachawi pale tabora uliifanya lini mkuu?
Mleta mada mzushi tu hana lolote.
Hawezi toa takwimu. Naona kashindwa kutofautisha kati ya vichaa na omba omba.
 
Kwa wale ndugu zangu wanyamwezi na wasukuma toka Tabora na watu mliowahi kufika Tabora mtakubaliana na mimi ya kwamba tatizo la wehu,wendawazimu na vichaa kuwa wengi lipo muda mrefu na kila siku linazidi kuongezeka mpka imefika hatua imekuwa kero sasa.

Eneo kama stendi mkuu hapo Tabora mjini kuna wehu na vichaa wanashinda pale wanapigana mitii hadharani wako uchi wa mnyama,ukipita njianindo usiseme katika watu sita utakaopishana nao basi watatu ni wehu ukipita soko kuu ndo usiseme wehu na vichaa wamejaa alafu hawana ustarabu siku akili zao zikifyatuka wanafanya fujo wanarusha mawe ovyoo waharibu biashara za watu yaani hawa viumbe wenzetu wamekuwa ni tatizo sana si mjini si vijijini wapo wengi kama juzi nilikuwa urambo soko kuu kuna mwehu nilimuona anajisaidia hadharani .

Lakini yote tisa hebu tuelezane ni kwanini katika huu mkoa wetu kwanini wehu, wendawazimu na vichaa ni wengi inawezekana labda mi nimekulia Dar labda sifahamu lakini nimetembea mikoa mingi ila Tabora too much.
Halal Badr
 
Kiongozi mimi mbona ni mtu wa tabora unyamwezi kabisa natokea urambo boma village jirani kabisaa na samweli sitaaa ila maisha yangu nimekulia dar es salaam tangu mtoto haya ninayozungumza ndo nimeyaona kiongoziiiii.......

Ila kila nikirudi kwetu najitahidi kujifunza ninayoona home ndo home japo naonekana mimi mzalamo wa mjini
Mkuu, nimekaa maeneo ya Mwanza Road - si mbali toka stand mpya & soko kuu; nashangaa haya uliyoandika hapa. Pia nimeishi maeneo ya Gongoni jirani na lilipopokuwa jengo la Tabora Jazz. Habari zako zimejaa uongo mtupu. Tbr wapo vichaa kama sehemu nyingine hapa Tz.
 
Huko Tabora kuna kivutio gani hadi vichaa wa kigoma wakimbilie hapo mkuu!!?[emoji23] [emoji23]
Wakipanda treni ili waje Dar na mikoa mingine hiyo treni ikifika Tabora hukaa muda mwingi sana hivyo vichaa wengi hushuka na kuingia mitaani
 
duh kweli we wakukaya unampata huyo jamaa but ashavuta kitambo xn vipi asumani nuna naye ulimmanyile
Asumani nuna kitambo sana RIP alafu saivi wapo wengi so vigumu kuwajua majina labda Bakari Mwehu
 
Tumbaku inalimwa sana Tabora,Gongo inaywewa sana maeneo ya Isevya,pia inawezekana ushirikina nao unachangia sana maana kwa Tabora upo mwingi tu ila hawavumi..
Isevya mitaa ya mahakamani karibu na kituo cha polisi karinya kama kawa juu kidogo kwa marehemu Bilali Zungu.
 
Back
Top Bottom