Kwa uzoefu wangu mikoa ya Tanga, Lindi, Mtwara, Morogoro hasa Kilosa, Tabora, Kigoma na Shinyanga hasa Tinde hili tatizo lipo sana.
Pia nchi kadhaa za kiarabu nilizobahatika kutembelea kama UAE, Oman na Misri kuna hii shida pia.
Uchunguzi wangu wa kijamii ulinionesha kuwa, kwa wenzetu wenye asili ya Arab na wenye kufuata imani ya Kiislam kwao kuoana Mabinamu ni jambo la kawaida.
Kisayansi ndugu mnaochangia damu mkipeana ujauzito, ni rahisi sana mtoto huyo kuwa na matatizo ya aidha kigenetic au kisaikolojia.
Na kwa sababu hii ndiyo maana tatizo la watoto vichaa au wenye maajabu huzaliwa sana miongoni mwa Jamii ya watu niliowataja kutokana na Tabia yao kuoana ndugu kwa ndugu.
Sent using
Jamii Forums mobile app