Kiberenge
JF-Expert Member
- May 21, 2012
- 1,104
- 1,035
Unavyosema UWT ndio wanapigana mitiMbona unacheka mkuu?
Unavyosema UWT ndio wanapigana mitiMbona unacheka mkuu?
Mnyamwezi kama Obama na Jay Zee?...Wanyamwezi hoyeeee.....
Tabora Hoyeeeee
Baadhi ya unaowaona kama vichaa barabarani wengine ni mizimu.
Wamfuma mwikuluu
Wamfuma mwikuluu wangalukaa mwana wa Ntemii
Waloloo mayooo watoolwaa ng'wana wa Ntemii
Wamfuma mwikuluu.
Najivunia kuzaliwa Mnyamwezi
Wanyamwezi tuko juuuu
Tumepandaa tumechumpaaa
Mizigo mizito ndo jadi yetu....
Kasie Matata Madata.
Duhh !!Unaroho ngumbu,japo unakula kisamvu orgino cha makaburinip.
Haya maelezo ni sahihi kabisaChanzo cha kuwa na wehu wengi tbr jibu ni rahisi japo watu wengi hawajui,Tabora ni makutano ya tanzania nzima kwa njia ya Reli,na reli ndo inasemekana mwehu anaiamini na kujiona mzima akiifuata hivyo wehu wengi wanatoka kigoma,mwanza Dar(moro,dom,singda na vichochoro vyake) hadi tabora wanapokuta watu wengi steshen hasa tbr hujichanganya wakidhani ni nyumbani sehem ua kudumu ya watu na hujikuta wakipata huduma maanza wakt wa tren mfululizo watu walikuwa hawaishi steshn tofauti na leo.
Pili ni kwamba wehu wengi wanapodandia treni kutoka kg,dar,mza,dom n.K tren lazima isimame tbr takriban masaa mawili na zaidi hivyo huwafanya washuke kama wengine lakini hawaku muslimbuki kupanda tren inapotaka kuondoka hivyo hujikuta wamebaki tbr.Mf ameshuka akaenda kuzulula mjini akiwa bado mgeni anenda mpaka isevya,ipuli au ng'ambu saa ngapi atakumbuka tren?
hizo ndo sabb zilizopelekea tbr kuwa na machizi wengi na ndo maana wengi hulala stssheni pale.Ut antheathibitisha hili ukifuatilia makabila yao si wote wanyamwezi.
Hahaha kumbe kaz ya usalama wa taifa lazima uwe mwehuItakuwa ni Usalama wa Taifa wanaojifanya ni vichaa.
Halafu kasie mimi utafikiri nililogezewa wanyamwezi na wasukuma yaani kuanzia nabalehe mpaka sasa hivi nina watoto watatu, wanawake wangu wote ni Kati ya hayo makabila mawili. na nimeishia kuoa mnyamwezi. huwa najiuliza sipati jibu
hoja ya reli ni dhaifu sanaChanzo cha kuwa na wehu wengi tbr jibu ni rahisi japo watu wengi hawajui,Tabora ni makutano ya tanzania nzima kwa njia ya Reli,na reli ndo inasemekana mwehu anaiamini na kujiona mzima akiifuata hivyo wehu wengi wanatoka kigoma,mwanza Dar(moro,dom,singda na vichochoro vyake) hadi tabora wanapokuta watu wengi steshen hasa tbr hujichanganya wakidhani ni nyumbani sehem ua kudumu ya watu na hujikuta wakipata huduma maanza wakt wa tren mfululizo watu walikuwa hawaishi steshn tofauti na leo.
Pili ni kwamba wehu wengi wanapodandia treni kutoka kg,dar,mza,dom n.K tren lazima isimame tbr takriban masaa mawili na zaidi hivyo huwafanya washuke kama wengine lakini hawaku muslimbuki kupanda tren inapotaka kuondoka hivyo hujikuta wamebaki tbr.Mf ameshuka akaenda kuzulula mjini akiwa bado mgeni anenda mpaka isevya,ipuli au ng'ambu saa ngapi atakumbuka tren?
hizo ndo sabb zilizopelekea tbr kuwa na machizi wengi na ndo maana wengi hulala stssheni pale.Ut antheathibitisha hili ukifuatilia makabila yao si wote wanyamwezi.
kwa hiyo kumbe huko lile soko la zile video pendwa halipo heeeh dah nilipanga nikaanzishe project huko ya kuuza ,kwa hiyo huku muda wwt tu jamaa wanainamishana iwe mchana au usiku duuuh basi ndio maana hawaishi maana wakifanya vile vitendo wanategemea watt hvy kizazi chao kinaongezeka kila kukicha,ila hata mbunge wao sijawahi msikia akilizungumzia hii au naye ni product ya hao vichaaKwa wale ndugu zangu wanyamwezi na wasukuma toka Tabora na watu mliowahi kufika Tabora mtakubaliana na mimi ya kwamba tatizo la wehu,wendawazimu na vichaa kuwa wengi lipo muda mrefu na kila siku linazidi kuongezeka mpka imefika hatua imekuwa kero sasa.
Eneo kama stendi mkuu hapo Tabora mjini kuna wehu na vichaa wanashinda pale wanapigana mitii hadharani wako uchi wa mnyama,ukipita njianindo usiseme katika watu sita utakaopishana nao basi watatu ni wehu ukipita soko kuu ndo usiseme wehu na vichaa wamejaa alafu hawana ustarabu siku akili zao zikifyatuka wanafanya fujo wanarusha mawe ovyoo waharibu biashara za watu yaani hawa viumbe wenzetu wamekuwa ni tatizo sana si mjini si vijijini wapo wengi kama juzi nilikuwa urambo soko kuu kuna mwehu nilimuona anajisaidia hadharani .
Lakini yote tisa hebu tuelezane ni kwanini katika huu mkoa wetu kwanini wehu, wendawazimu na vichaa ni wengi inawezekana labda mi nimekulia Dar labda sifahamu lakini nimetembea mikoa mingi ila Tabora too much.
Niliishi huko 2011,nikauliza wakasema sababu ni wepesi kulipa kisasi,pia uchawi ni bei rahisi sn hapo na kigoma
Maelezo yapo vizuliii mnooo hayaaChanzo cha kuwa na wehu wengi tbr jibu ni rahisi japo watu wengi hawajui,Tabora ni makutano ya tanzania nzima kwa njia ya Reli,na reli ndo inasemekana mwehu anaiamini na kujiona mzima akiifuata hivyo wehu wengi wanatoka kigoma,mwanza Dar(moro,dom,singda na vichochoro vyake) hadi tabora wanapokuta watu wengi steshen hasa tbr hujichanganya wakidhani ni nyumbani sehem ua kudumu ya watu na hujikuta wakipata huduma maanza wakt wa tren mfululizo watu walikuwa hawaishi steshn tofauti na leo.
Pili ni kwamba wehu wengi wanapodandia treni kutoka kg,dar,mza,dom n.K tren lazima isimame tbr takriban masaa mawili na zaidi hivyo huwafanya washuke kama wengine lakini hawaku muslimbuki kupanda tren inapotaka kuondoka hivyo hujikuta wamebaki tbr.Mf ameshuka akaenda kuzulula mjini akiwa bado mgeni anenda mpaka isevya,ipuli au ng'ambu saa ngapi atakumbuka tren?
hizo ndo sabb zilizopelekea tbr kuwa na machizi wengi na ndo maana wengi hulala stssheni pale.Ut antheathibitisha hili ukifuatilia makabila yao si wote wanyamwezi.
Kwa wale ndugu zangu wanyamwezi na wasukuma toka Tabora na watu mliowahi kufika Tabora mtakubaliana na mimi ya kwamba tatizo la wehu,wendawazimu na vichaa kuwa wengi lipo muda mrefu na kila siku linazidi kuongezeka mpka imefika hatua imekuwa kero sasa.
Eneo kama stendi mkuu hapo Tabora mjini kuna wehu na vichaa wanashinda pale wanapigana mitii hadharani wako uchi wa mnyama,ukipita njianindo usiseme katika watu sita utakaopishana nao basi watatu ni wehu ukipita soko kuu ndo usiseme wehu na vichaa wamejaa alafu hawana ustarabu siku akili zao zikifyatuka wanafanya fujo wanarusha mawe ovyoo waharibu biashara za watu yaani hawa viumbe wenzetu wamekuwa ni tatizo sana si mjini si vijijini wapo wengi kama juzi nilikuwa urambo soko kuu kuna mwehu nilimuona anajisaidia hadharani .
Lakini yote tisa hebu tuelezane ni kwanini katika huu mkoa wetu kwanini wehu, wendawazimu na vichaa ni wengi inawezekana labda mi nimekulia Dar labda sifahamu lakini nimetembea mikoa mingi ila Tabora too much.
Ni kweli tena watu hufanya kuwazunguka na kuanza kushangilia show ya bureNomaa sana aiseee mimi nilishuhudia stendi kuu ya tabora mjini wehu wawili wa kike na wakiumee mchana kweupe hadharani wanapigana mitiiiiii ila ukiwa
Mgeni utabaki kushangaa ila wenyeji wameshazoeaa wanaona kawaida
Hahaha kumbe kaz ya usalama wa taifa lazima uwe mwehu
Kiongozi mm Niko huku siyo kwamba naongea kutoka mbali. Wasukuma wako wengi kuliko kabila zote ulizotaja. Wamejaa sana vijijini na kwenye hifadhi wanakata misitu na kuchoma mapori kwa speed ya light! Usiangalie sana mijini, vijijini ndio wamejazana na ng'ombe wengi! Kwa uwiano wa makabila Mkoa wa tabora ni Wasukuma: wanyamwezi: waha(warundi): wengine = 4:3:2:1. Hii ni kwa mujibu wa utafiti wanguKiongozi hapa umedanganya bana hiyo ilikuwa zamani kwa kifupi tuu wasukuma wapo nzega na igunga tuu.
Wanyamwezi wapo sikonge,urambo na tabora mjini kidogo.
Kuhusu uyui,ilolanguru,kaliuwa,kalemela mpka utusini wapo watusiiiiii .
Pia usisahau pia wamanyema ambao wengi pia wapo tabora mjini toka kigoma wapo muda nrefu mnoo.
Bila kusahau tabora pia inazungukwa pia na warundi pande za ulyakuluuuuu .
Pia usisahau waha toka kigomaaa pia wako kwa wingi.
Pia usiwasahau wafipaa toka sumbawanga na rukwaaaa
Na naniii?Kuna kipindi wehu huwa wanakamatwa wananyolewa vipara na kuogeshwa kwa lazima
Watu wa sokoni hufanya kazi hiyoNa naniii?
Kuna mama mmoja Tabora anapenda kukaa maeneo ya kituo cha police kwenye mitaro analala lakin cha ajabu huwa anaenda kununua chakula hali hovyoo ananunua chakula anakaa pembeni anakula akimaliza anaenda kulala mitaroni huwa wanamsema eti usalama wa taifa [emoji23][emoji23]