[emoji1] [emoji1] [emoji1] wanavutiwa nanini huko tbr mpaka wakimbilie itakua ndio wamerudi kwaoSi ndio wamekuja tabora ndio maana kigoma wameisha
Achana nae kiongozi, mtu alieishi tabora hawez bisha kuhusu vichaa kuwa wengi ....mimi nimewai ishi kaliua pale mjin mjin, kuna siku nilamua kuhesabu machiz wa pale tu, karibu 20 iv....watu ni vichaa......na hapo pale mjin ni padogo kweli kweli!!!!!!! Ila chanzo chake ni kulogana wanavyosema wenyeji ...kama ukiiba, kula mke wa mtu, pamoja na bangi!!!!! Kwa uchawi napo umezidi kila mtu wa tabora ukikutana nae jarib kumuangalia kifuani mara nyingi huwa na charrKiongozi mimi mbona ni mtu wa tabora unyamwezi kabisa natokea urambo boma village jirani kabisaa na samweli sitaaa ila maisha yangu nimekulia dar es salaam tangu mtoto haya ninayozungumza ndo nimeyaona kiongoziiiii.......
Ila kila nikirudi kwetu najitahidi kujifunza ninayoona home ndo home japo naonekana mimi mzalamo wa mjini
Wapo wengiAcha kuharibu uzi kwa kuleta mada zako za kichochezi. Ulishawahi kuona mchaga mdangaji?
Haaaaa mkuu kumbe unawafahamu vizuri haaa ati chiiiiKwa Tabora mjini hali mzunguko wa fedha sio mzuri, ni tofauti na wilaya zake kama Nzega ambako kuna mzunguko mzuri. Tabora mjini ni wavivu sana. wazee kutwa kucha kucheza bao, wadada wanasubiria kuuza nanililo zao. Halafu hata wenye biashara hawana lugha nzuri kwa wateja. Kwa mfano unaweza kununua kitu sokoni, ukatoa hela kubwa ambayo inatakiwa akurudishie change, sasa pale ukimlipa utasikia mteja unaambiwa "ISHIII KATAFUTE CHENCHIIII" au ukiingia hotelini ukaagiza wali, bahati mbaya ukakutana jiwe, ukiwaambia wali wenu una mawe jibu lake sasa "ISHIIII UNASHANGAA NINI, HUJUI KAMA MCHELE UNA MAWEEE"
Hawako vizuri kimkakati kwenye biashara
Halafu kasie mimi utafikiri nililogezewa wanyamwezi na wasukuma yaani kuanzia nabalehe mpaka sasa hivi nina watoto watatu, wanawake wangu wote ni Kati ya hayo makabila mawili. na nimeishia kuoa mnyamwezi. huwa najiuliza sipati jibuWanyamwezi hoyeeee.....
Tabora Hoyeeeee
Baadhi ya unaowaona kama vichaa barabarani wengine ni mizimu.
Wamfuma mwikuluu
Wamfuma mwikuluu wangalukaa mwana wa Ntemii
Waloloo mayooo watoolwaa ng'wana wa Ntemii
Wamfuma mwikuluu.
Najivunia kuzaliwa Mnyamwezi
Wanyamwezi tuko juuuu
Tumepandaa tumechumpaaa
Mizigo mizito ndo jadi yetu....
Kasie Matata Madata.
yah ye alivita ktambo zaidi wamwisho mwisho alikuwa supa tolu naye naskia alivuta cjui uyo bakari simsomi atakuwa chipkizi coz nmetoka mboka ktambo kdgoAsumani nuna kitambo sana RIP alafu saivi wapo wengi so vigumu kuwajua majina labda Bakari Mwehu
Halafu kasie mimi utafikiri nililogezewa wanyamwezi na wasukuma yaani kuanzia nabalehe mpaka sasa hivi nina watoto watatu, wanawake wangu wote ni Kati ya hayo makabila mawili. na nimeishia kuoa mnyamwezi. huwa najiuliza sipati jibu
Wakulugo! gapanga bhabha,zya kunuko!Halafu kasie mimi utafikiri nililogezewa wanyamwezi na wasukuma yaani kuanzia nabalehe mpaka sasa hivi nina watoto watatu, wanawake wangu wote ni Kati ya hayo makabila mawili. na nimeishia kuoa mnyamwezi. huwa najiuliza sipati jibu
Watch out sah.Wanyamwezi ni sawa na wasukuma.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Kwahiyo hao usalama wa Taifa wanapigana miti hadharani?
Mbona unacheka mkuu?[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Albadili haina tiba mzee babaWatengenezewe mirembe yao
Umesahau mti hewa mzeeIsevya mitaa ya mahakamani karibu na kituo cha polisi karinya kama kawa juu kidogo kwa marehemu Bilali Zungu.