Kwa wale wanaotokea Tabora: Kwanini Tabora kuna vichaa na wehu wengi mjini na vijijini?

Kwa wale wanaotokea Tabora: Kwanini Tabora kuna vichaa na wehu wengi mjini na vijijini?

Sehemu yoyote aliyoka kaa Mwarabu kuna shida we si unaona zenji, uvivu, uchawi na kupitia njia ya chooni ni utamaduni kule
 
Kweli Mkuu sehemu yenye mambo ya hiii Dini ya wenzetu mambo ya watu kuwa vichaa kwa wingi ni jambo la kawaida sana,Ukienda ata mikoa ya kusini Lindi,Newala,Mtwara na kwingineko huko ukichaa ni mwingi sana,wanaendekeza sana maswala ya kutupiana uchawi na kisomo kuliko maendeleo yao.
Newala tangu lini imekuwa mkoa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kweli,kama ni hivyo, Amerika,Ungereza,ufaransa,Ujerumani,Urusi,Canada,kusingekuwa na vichaa.Na ndio nchi,zinazoongoza kwa vichaa duniani,wanauwana kwa kupigana risasi.Wako walioingia kanisani,na kuwaua wakristo wenzao,kwasababu tu,ni wakristo weusi na muuaji ni mweupe.Kama sio ukichaa ni nini.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna aina nyingi za ukichaa na kila aina ina kisababishi chake. Aidha umetokana na sababu za kibayolojia, kimazingira au Kisaikolojia (Biological, Environmental or psychological triggers).

Vya kibayolojia ni kama hivi vya mtu kuzaliwa na wazazi ndugu. Kimazingira au Kisaikolojia ni kama hivyo unavyozungumzia aidha msongo wa mawazo, imani za dini au uchawi n.k.

Nchi za Ulaya nilizotembelea kinachowasumbua zaidi ni Depression ambayo pia huweza kusababisha Mental illness.. Sababu kubwa ni mfumo wao wa maisha.

Ni kawaida kabisa hizi nchi Mzazi akifika uzeeni watoto wanampeleka kwenye makambi ya Wazee wanaachana naye wanaendelea na mambo yao. Pia hawana muda mwingi wa kukaa vijiweni kupiga soga kama ilivyo kwetu waafrika. N.k




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa wale ndugu zangu wanyamwezi na wasukuma toka Tabora na watu mliowahi kufika Tabora mtakubaliana na mimi ya kwamba tatizo la wehu,wendawazimu na vichaa kuwa wengi lipo muda mrefu na kila siku linazidi kuongezeka mpka imefika hatua imekuwa kero sasa.

Eneo kama stendi mkuu hapo Tabora mjini kuna wehu na vichaa wanashinda pale wanapigana mitii hadharani wako uchi wa mnyama,ukipita njianindo usiseme katika watu sita utakaopishana nao basi watatu ni wehu ukipita soko kuu ndo usiseme wehu na vichaa wamejaa alafu hawana ustarabu siku akili zao zikifyatuka wanafanya fujo wanarusha mawe ovyoo waharibu biashara za watu yaani hawa viumbe wenzetu wamekuwa ni tatizo sana si mjini si vijijini wapo wengi kama juzi nilikuwa urambo soko kuu kuna mwehu nilimuona anajisaidia hadharani .

Lakini yote tisa hebu tuelezane ni kwanini katika huu mkoa wetu kwanini wehu, wendawazimu na vichaa ni wengi inawezekana labda mi nimekulia Dar labda sifahamu lakini nimetembea mikoa mingi ila Tabora too much.
wengi ni wa kutoka mika ya jirani huja kufanyia ukichaa wao kwetu kutafuta riziki za kirahisi. Sehemu kubwa ya wale unaowaona pale mjini ni wa kutoka Dodoma, Singida na Kigoma
 
Miaka ya tisini kulikuwa na vichaa maarufu walijulikana mji mzima.Alikuwepo Malingumu,Madebe bila kumsahau Mwajuma ringa.Hili la vichaa ni kweli mkuu tangu enzi hizo japo sababu sijui.
 
Kwa Tabora mjini hali mzunguko wa fedha sio mzuri, ni tofauti na wilaya zake kama Nzega ambako kuna mzunguko mzuri. Tabora mjini ni wavivu sana. wazee kutwa kucha kucheza bao, wadada wanasubiria kuuza nanililo zao. Halafu hata wenye biashara hawana lugha nzuri kwa wateja. Kwa mfano unaweza kununua kitu sokoni, ukatoa hela kubwa ambayo inatakiwa akurudishie change, sasa pale ukimlipa utasikia mteja unaambiwa "ISHIII KATAFUTE CHENCHIIII" au ukiingia hotelini ukaagiza wali, bahati mbaya ukakutana jiwe, ukiwaambia wali wenu una mawe jibu lake sasa "ISHIIII UNASHANGAA NINI, HUJUI KAMA MCHELE UNA MAWEEE"
Hawako vizuri kimkakati kwenye biashara
😂😂😂😂😂Eti Ishiiii.Umewapatia sana.Hapi bado hajapiga mdomo " mmba"
 
wengi ni wa kutoka mika ya jirani huja kufanyia ukichaa wao kwetu kutafuta riziki za kirahisi. Sehemu kubwa ya wale unaowaona pale mjini ni wa kutoka Dodoma, Singida na Kigoma
Kwa hiyo tabara ndio kuna vivutio vya vichaa, mkuu acha masihara bana
 
1.Wepesi kulipa visasi(hurogana) wanaoroga Tabora si wanyamwezi pekee
2.Treni inasimama muda mrefu vichaa kutoka Kigoma hushuka hapa.
3.Bangi madawa ya kulevya njenje
{Isevya Chemchem Ng'ambo)
Kwa bangi nakubali, nina binamu yangu alkua anasoma Tabora.. Si karudi likizo hii home ni mtumiaji wa dagsativa/mjani hadi anaisifia hadharani mbele ya wazazi wake.
 
Back
Top Bottom