inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,805
- 22,633
hebu njoo hapa stand kwenye bango kubwa unioneshe hao vichaa
wako nyuma sana kiasi gani!!!..ukiwalinganisha na nani?una takwimu?Tabora wengi wao wamejikita kwenye ushirikina, yani hawamuogopi Mungu...watu wa ajabu sana hawa. Ndiyo maana wako nyuma sana kimaendeleo.
muongo bna...njoo lango la stand kwenye bango la lite twende soko kuu ukanioneshe wanavopigana mitiHuamini nenda soko kuu Tabora
Duuh kwai we unadhani ni kila siku.muongo bna...njoo lango la stand kwenye bango la lite twende soko kuu ukanioneshe wanavopigana miti
Kulikua na mwingine akiitwa Bhanabhane akiishi nje ya duka la mwehu mwingine wa kihindi anaitwa Jeta karibu na stendi hapo mjini sijui kama bado wapo. Tabora kwa wehu ni mwisho..Daah umenikumbusha kitambo kidogo. Amani mwehu, malingumu, Asha kulwa. Miaka ya 80 hadi 90 mwanzoni.
Wale vichaa wa Rombo wanatokana na nini !?Aisee " hapo sio demu tu " ni katika masuala mengi nyeti yanayotuhusu katika maisha ..mfano ununuzi wa viwanja na mashamba " waweza nunua kimoja wapo katika hivyo kumbe kina mgogoro" mwisho Wasiku wajikuta umeingia kwenye mgogoro wakutupiwa majini '" narejea tena kutamka " huko hapafai
Mwalimu pia si mlidai ana kichaa !?MMOJA WAO JUZI KAJITANGAZA YEYE PAMOJA NA MWENZAKE... HAHAHA
Ametokea kwa Mwalimu, nae mwalimu si mlikuwa mnadai na yeye hiyo shida inamhusu !? Au ni guineas !Kwani Jiwe ametokea huko?
waulize wahusika " AiseeWale vichaa wa Rombo wanatokana na nini !?
kiasili kuna kitu cha kuongezea hapo . kuna bwana mmoja amefanya utafiti wa kugundua asili ya makabila . amebaini nusu ya watanzania ni wanyamwezi hasa wahehe , wasukuma , wabena , nk anaitwa somebody membe. alikuwa anhojiwa tbc fm , anadai wanyamwezi wanatokea katika nchi ya ivory coast . walipitia congo brazaville na congo drc . kote walipopita waliacha unyamwezi yaani kabila . spiritually madnesss ( wehu) ni maagano ambayo yalikiukwa katika ardhi ,,,, tazama wana wa israel ,, sometimes they are acting chaotic . kisayansi waweza sema tabora nayo bangi yake si mchezo ,,, mwanza road kwa kintosa .Huko Tabora kuna kivutio gani hadi vichaa wa kigoma wakimbilie hapo mkuu!!?[emoji23] [emoji23]
Kama hili Lima ukweli naanza kumeelewa Poropesa gwidi LA uchumi duniani Wa kwafu ( Cuf)Kwa wale ndugu zangu wanyamwezi na wasukuma toka Tabora na watu mliowahi kufika Tabora mtakubaliana na mimi ya kwamba tatizo la wehu,wendawazimu na vichaa kuwa wengi lipo muda mrefu na kila siku linazidi kuongezeka mpka imefika hatua imekuwa kero sasa.
Eneo kama stendi mkuu hapo Tabora mjini kuna wehu na vichaa wanashinda pale wanapigana mitii hadharani wako uchi wa mnyama,ukipita njianindo usiseme katika watu sita utakaopishana nao basi watatu ni wehu ukipita soko kuu ndo usiseme wehu na vichaa wamejaa alafu hawana ustarabu siku akili zao zikifyatuka wanafanya fujo wanarusha mawe ovyoo waharibu biashara za watu yaani hawa viumbe wenzetu wamekuwa ni tatizo sana si mjini si vijijini wapo wengi kama juzi nilikuwa urambo soko kuu kuna mwehu nilimuona anajisaidia hadharani .
Lakini yote tisa hebu tuelezane ni kwanini katika huu mkoa wetu kwanini wehu, wendawazimu na vichaa ni wengi inawezekana labda mi nimekulia Dar labda sifahamu lakini nimetembea mikoa mingi ila Tabora too much.
Hahahahahahaaa si kwa mkwara huo, hadi ameenda ku edit alichoandika mwanzo, mueditie na hapa kwako ulivyo mquote basi maana ameshatubu kwa kufuta alichoandika.
Ila ni kweli, walipo tupo, tena wa watch out.... Aahahahahahahaaaaa
ahahaha hyo kauli hatari alipo wapo kama oksijeni 😂😂😂😂 huu mkwara umekiz vgezobe careful, ulipo tupo
Siyo kweli mkuu, sema tabora kuna wasukuma wengi kuliko wanyamwezi! Watu wengi hawajui hili! Wanyamwezi wako sana wilaya za sikonge, urambo, tabora kwa uchache lakn wasukuma wamejaa nzega, igunga, Uyuwi, na kaliuaWanyamwezi ni sawa na wasukuma.