Kwa wale wanaotokea Tabora: Kwanini Tabora kuna vichaa na wehu wengi mjini na vijijini?

Tabora wengi wao wamejikita kwenye ushirikina, yani hawamuogopi Mungu...watu wa ajabu sana hawa. Ndiyo maana wako nyuma sana kimaendeleo.
 
Nimekaa sana tabora kule uswahili mwingi alafu ushirikina ndio unaowarudisha nyuma hao vichaa wamepigiwa albadil tena huwa inatangazwa hadharani kabisa kwamba tunafanya kisomo na siku si nyingi unakuta mtu kawa chizi

Pili tabora watu wake wavivu sana hawapendi kazi kabisa kutwa kupiga story tu na wanapenda sana kusaidiwa

Pia kwenye kilimo lazima waingize ushirikina yani ukilima bila kutia mambo Tao aisee haupati kitu wanasema wanakuibia kwa ushirikna alafu hata kama mtu Ana miliki heka 100 lakin utakuta lazima heka 1 alafu yuko poa tu

Kwaio swala la vichaa mi nafikiri ni ushirikna sana wanalogana sana w wanyamwze sio kabisa kuna jamaa yangu tulienda wote kufanya biashara huko skonge biashara ya mazao akapata demu paka leo jamaa haijarudi kwao kimara wananisumbua lakin ndio hivo jamaa unaambiwa kawekewa dawa kwenye papuchi ukizama tu hutoki saizi kawa fala tu analimishwa tumbaku daaah acha tu mkui w wanyamwze wachawi wengi sana hawaamini kama kuna kitu kinaweza kwenda bila ushirikina
 
duuuhh nimechoka hapo wanapo sex hadharani " kama ndio hivyo tabora sinto kanyaga "..
 
Wabongo bhana wanavyoshangaa utadhani watokako kuna nafuu,

-hivi nchi hii kuna mkoa hauna uchawi na wachawi?

-kuna mkoa hauna vichaa?

mimi niko moshi ila tofauti ya tabora na huku ni ndogo sana tunapozungumzia suala la vichaa,

-na sidhani kama nchi hii kuna mkoa hauna vichaa.
 
Nimekaa sana tabora kule uswahili mwingi alafu ushirikina ndio unaowarudisha nyuma hao vichaa wamepigiwa albadil tena huwa inatangazwa hadharani kabisa kwamba tunafanya kisomo na siku si nyingi unakuta mtu kawa chizi

Pili tabora watu wake wavivu sana hawapendi kazi kabisa kutwa kupiga story tu na wanapenda sana kusaidiwa

Pia kwenye kilimo lazima waingize ushirikina yani ukilima bila kutia mambo Tao aisee haupati kitu wanasema wanakuibia kwa ushirikna alafu hata kama mtu Ana miliki heka 100 lakin utakuta lazima heka 1 alafu yuko poa tu

Kwaio swala la vichaa mi nafikiri ni ushirikna sana wanalogana sana w wanyamwze sio kabisa kuna jamaa yangu tulienda wote kufanya biashara huko skonge biashara ya mazao akapata demu paka leo jamaa haijarudi kwao kimara wananisumbua lakin ndio hivo jamaa unaambiwa kawekewa dawa kwenye papuchi ukizama tu hutoki saizi kawa fala tu analimishwa tumbaku daaah acha tu mkui w wanyamwze wachawi wengi sana hawaamini kama kuna kitu kinaweza kwenda bila ushirikina
Tabora ni mkoa wenye mchanganyiko mkubwa wa makabila,

Kuna waha, wafipa, wasumbwa, wasukuma, wanyamwezi

Unaweza kutuambia hiyo tafiti iliyogundua wanyamwezi ndo wachawi pale tabora uliifanya lini mkuu?
 
-tabora pako poa sana pale cha msingi usifatilie maisha ya mtu.
aagh hiyo sehemu " ni hatarishi sio Yakuishi kabisa " maisha yametawaliwa na mistake " nyingi " waweza jitahidi kuwa muadilifu" but ikajitokeza siku moja ukateleza " na kuanzisha mahusiano na mwanamke ambaye nimke wa mtu lakini amekuficha kuwa hajaolewa " mwisho wa siku ukajakurogwa bure baada ya mumewe kuja Kung'amua kuwa wamlia vyake "....

sehemu kama hiyo ambayo " watu wake ni wepesi wakulipa visasi unaishi ili iweje" ...mtu ambaye ni mwepesi kulipa kisasi " Inamaana " haamini kama binaadamu ni kiumbe dhaifu anayeweza kufanya mistake za kibinaadamu wakati wowote ule "...
 
Kwa wale ndugu zangu wanyamwezi na wasukuma toka Tabora na watu mliowahi kufika Tabora mtakubaliana na mimi ya kwamba tatizo la wehu,wendawazimu na vichaa kuwa wengi lipo muda mrefu na kila siku linazidi kuongezeka mpka imefika hatua imekuwa kero sasa.

Eneo kama stendi mkuu hapo Tabora mjini kuna wehu na vichaa wanashinda pale wanapigana mitii hadharani wako uchi wa mnyama,ukipita njianindo usiseme katika watu sita utakaopishana nao basi watatu ni wehu ukipita soko kuu ndo usiseme wehu na vichaa wamejaa alafu hawana ustarabu siku akili zao zikifyatuka wanafanya fujo wanarusha mawe ovyoo waharibu biashara za watu yaani hawa viumbe wenzetu wamekuwa ni tatizo sana si mjini si vijijini wapo wengi kama juzi nilikuwa urambo soko kuu kuna mwehu nilimuona anajisaidia hadharani .

Lakini yote tisa hebu tuelezane ni kwanini katika huu mkoa wetu kwanini wehu, wendawazimu na vichaa ni wengi inawezekana labda mi nimekulia Dar labda sifahamu lakini nimetembea mikoa mingi ila Tabora too much.

huko mambo ya limbwata na sikia ndo kwao.tanga ni mapenzi tu
 
aagh hiyo sehemu " ni hatarishi sio Yakuishi kabisa " maisha yametawaliwa na mistake " nyingi " waweza jitahidi kuwa muadilifu" but ikajitokeza siku moja ukateleza " na kuanzisha mahusiano na mwanamke ambaye nimke wa mtu lakini amekuficha kuwa hajaolewa " mwisho wa siku ukajakurogwa bure baada ya mumewe kuja Kung'amua kuwa wamlia vyake "....

sehemu kama hiyo ambayo " watu wake ni wepesi wakulipa visasi unaishi ili iweje" ...mtu ambaye ni mwepesi kulipa kisasi " Inamaana " haamini kama binaadamu ni kiumbe dhaifu anayeweza kufanya mistake za kibinaadamu wakati wowote ule "...
-unapoishi tabora ni jukumu lako kufanya tafiti kabla hujafanya maamuzi,

-vinginevyo yatakupata makubwa, nijuavyo ni Mala chache sana mtu asiye makosa kufanyiwa ubaya pale,

-kumbe basi ukitaka demu jitahidi umjue kabla hujafanya lelote,

-unajua tabora haina tofauti sana na maeneo ya pwani.
 
Tabora ni mkoa wenye mchanganyiko mkubwa wa makabila,

Kuna waha, wafipa, wasumbwa, wasukuma, wanyamwezi

Unaweza kutuambia hiyo tafiti iliyogundua wanyamwezi ndo wachawi pale tabora uliifanya lini mkuu?
Wenye mkoa ni w wanyamwze mkuu alafu hayo makabila mengine mbona yanjulikana mkuu ukifika Dar es salaam utaambiwa wazaramo ni waongeaji sana haina maana kwamba wengine hawongei
 
Kama raisi alisema yeye n KICHAA sisi tabora kujionyesha kuwa tunamuunga mkono kwa vitendo n HOJA?! Acheni NONGWA
 
Kwa wale ndugu zangu wanyamwezi na wasukuma toka Tabora na watu mliowahi kufika Tabora mtakubaliana na mimi ya kwamba tatizo la wehu,wendawazimu na vichaa kuwa wengi lipo muda mrefu na kila siku linazidi kuongezeka mpka imefika hatua imekuwa kero sasa.

Eneo kama stendi mkuu hapo Tabora mjini kuna wehu na vichaa wanashinda pale wanapigana mitii hadharani wako uchi wa mnyama,ukipita njianindo usiseme katika watu sita utakaopishana nao basi watatu ni wehu ukipita soko kuu ndo usiseme wehu na vichaa wamejaa alafu hawana ustarabu siku akili zao zikifyatuka wanafanya fujo wanarusha mawe ovyoo waharibu biashara za watu yaani hawa viumbe wenzetu wamekuwa ni tatizo sana si mjini si vijijini wapo wengi kama juzi nilikuwa urambo soko kuu kuna mwehu nilimuona anajisaidia hadharani .

Lakini yote tisa hebu tuelezane ni kwanini katika huu mkoa wetu kwanini wehu, wendawazimu na vichaa ni wengi inawezekana labda mi nimekulia Dar labda sifahamu lakini nimetembea mikoa mingi ila Tabora too much.
Wanaamini sana ushirikina hakuna msukuma au mnyamwezi ambaye hana chale mwilini yaani wana makovu ya kuchanjwa chale hadi waweza kucheza draft.
Washenzi sana wale that's why hata ukichaa mwingi kwa sababu ya misuse of local medicine.
 
Acha kuharibu uzi kwa kuleta mada zako za kichochezi. Ulishawahi kuona mchaga mdangaji?
Wewe una akili kama kichwa cha mbo.ow kwani kikisikia harufu fulani kinajiingiza kichwa kichwa. Nani kataja wachagga hapo? Unadhani wachagga tu ndio chadema ?
 
Back
Top Bottom