Kwa wale wanaotokea Tabora: Kwanini Tabora kuna vichaa na wehu wengi mjini na vijijini?

Kwa wale wanaotokea Tabora: Kwanini Tabora kuna vichaa na wehu wengi mjini na vijijini?

Duuh! Yaani mpaka wanapigana miti live mkuu! Kumbe ndio maana wengine huwa nawaona wajawazito iseee
Nomaa sana aiseee mimi nilishuhudia stendi kuu ya tabora mjini wehu wawili wa kike na wakiumee mchana kweupe hadharani wanapigana mitiiiiii ila ukiwa

Mgeni utabaki kushangaa ila wenyeji wameshazoeaa wanaona kawaida
 
I

Iseee
 
Sawa,huo mji bwana ni mdogo lakini!!!!Una mambo.Kama mgeni uliza watu wakutembeze chuo cha utumishi hapo ndo utajua kuwa hawa viumbe KE ni wengi na balaa
Dah aiseee mimi mpka najiuliza kwanini wasikamatwe tuu wakaondolewa lile eneo yaaani hata wanafunzi wapita njia eneo lile hawana raha hata kidogoo
 
Vichaa wengi wa Tabora ni wale waliokuwa wakifanya kazi kwenye mashamba ya tumbaku Urambo, wameathirika na matumbaku na kemikali za kupulizia miche ya tumbaku. Kuhusu uchawi hilo silisemei maana siamini katika uchawi
 
Mimi ni mwenyeji wa tabora ila nakiri mleta mada yupo sahihii issue ya wehu na vichaa kuwa wengi na kuzagaaa mitaani na kufanya mambo ya ajabu yapo kitambo sanaaaa.

Hawa vichaa na wehu unawaona wengi wao wamesomewa albadiri,wamelogwaa, na wengine pia inasemekana wametokea kigoma japo hatuna uhakikaa
 
Kiongozi mimi napinga hoja yako ya tumbaku kuwa chanzo cha vichaa tabora mimi nina ndugu zangu wakulima wa tumbaku muda mrefu sijaona chizi wala kichaaa lakini sikukataliii inawezekana ikawa kweliiii.

Lakini pia ushirikina pia upoo kiongozi
 
Mimi ni mwenyeji wa tabora ila nakiri mleta mada yupo sahihii issue ya wehu na vichaa kuwa wengi na kuzagaaa mitaani na kufanya mambo ya ajabu yapo kitambo sanaaaa.

Hawa vichaa na wehu unawaona wengi wao wamesomewa albadiri,wamelogwaa, na wengine pia inasemekana wametokea kigoma japo hatuna uhakikaa
Huko Tabora kuna kivutio gani hadi vichaa wa kigoma wakimbilie hapo mkuu!!?[emoji23] [emoji23]
 
"wanapigana mitii hadharani wako uchi wa mnyama,ukipita njianindo usiseme katika watu sita utakaopishana nao basi watatu ni wehu "

Rekebisha hii kauli. !!!!!
 
"iii vichaa wa mboka ni noma ishiii" haha hahaha
Kiukweli tbr kunavichaa wakilaaina, kunahuyo kichammoja yani yeye ni anakimbia muda wote, jamaa huwa yupo smart muda wote lkn sijawahi muona akitembea jamaa anakimbia daily mpaka nilikua namuonea huruma, pia niliwahi ambiwa kuwa kunahuyo kichaa yani yeye kupindi chamasika anakua mzima anarudi kijijini kwao anaenda kulima kiangazi kikianza tu anarudi kuwa kichaa nikabaki nashangaa ishii, btw huwa napakumbukasana mkoa, unyamwezini .Isevya pale ambapo majambazi waliteka wakaiba ilewanatoka hawajazidi mita 100 nawao wakaibiwa that's mboka hahahaha
 
Picha linaanza kwanza bangi wanazovuta mixer gozo.madawa ya kulevya ndio jibu sahihi
 
Mleta mada uko sahihi. Tabora kuna vichaa wengi sana. Mbaya zaidi wengi wao huwa wanapiga watu. Uko sawa sawia.
 
Niliishi huko 2011,nikauliza wakasema sababu ni wepesi kulipa kisasi,pia uchawi ni bei rahisi sn hapo na kigoma
walifika Kigoma watujulishe kama hali inafanana: Mi naamini siyo kila ukichaa unatokana na ULOZI, nadhani lishe duni inachangia hasa mineral and amino acid defficiencies. Tabora kuna njaa sana
 
Back
Top Bottom