Kwa wale wapenda mazoezi ya 'Push up' tukutane hapa!

Chief mi nakumbuka zile nyuzi zako za mazoezi
Yaani leo mimi na wewe inabidi tuwe wanafunzi tujue nini tunatakiwa kufanya ili kupiga push ups 150 bila kupumzika.
 
Mazoezi Kwa kuongea ni Rahisi sana... Ishu kufata ROUTINE..

More pain more gain but push-up ni nzuri ww unayeenda push up 150 unapiga push-up za uhakika au zile za kutingisha kichwa kama Gonole

Sent using Jamii Forums mobile app
Gonole[emoji3][emoji3][emoji3] sisi kule kwetu tunamwita Gong'ole. Limjusi fulani hivi. Asee umenikumbusha mbali na nimecheka sana.

Sent using my Nokia Torch
 
Bawasir ina tiba. Upo mkoa gani nikuunganishe kwa mtu akupe dawa.?

Sent using my Nokia Torch
 
Nimeacha pushups nowdays kifua kimekuwa kikubwa sana,napata shida sana kuchagua mashati mazuri ninapokuwa madukani au ninapotoa size yangu mtu anapotaka kunitumia zawadi...

This is JF mama£ [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Jamani wana jf mtabaki kuwa juu (in pierre's voice)


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Mkuu dawa ya bawasiri ni kunywa maji mengi ukiwa una tabia ya kunywa maji mengi huwezi kupata bawasiri


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…