Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
pole sana kakaNatamani sana hizo,ndio zilikuwa zangu. Home kwangu nimetenga room kabisa. Ilikuwa kila asubuhi,saa moja na nusu namalizia hapo. Naanza na kuruka kamba na kichura hiyo dk 30 nakata. Nakuja push up zile za two nakoz tu,mkupuo wa 30,30 mara 5. Nakuja unashika mikono kwa nyuma kwenye kama mwamba wa kitanda,yaani unaukigeukia huo mwamba unashuka chini na kupanda. Mikono tu na visigino ndio vinakuwa vimeubeba mwili. Hayo mazoezi nimeanza nayo miaka 20 iliyopita. Sasa kilichokuwa kinanitokea kila nikikomaa mayo sana ilikuwa napata bawasiri, yaani kama vidude vinatokea sehemu ya haja kubwa,kama tuvidole tudogo hivi. Wakati wa haja,nikimaliza ile mishipa ya ndani inauma. Ikawa hiyo inakuja na kupotea nikawa naendelea na mazoezi huku nikitafuta tiba. Nimehangaika sana na tiba. Hivi ninavyoongea nimeacha mazoezi kabisa,kwa sababu sasa nikifanya tu kidogo napata maumivu makali balaa. Bado nahangaikia tiba,tiba ni adimu sana. Inaniuma sana nikikumbuka mazoezi,natamani mno
Sent using Jamii Forums mobile app
Bila samahani Mkuu! Mm nishawahi kuugua hivyo nikagoogle ndo nikaona maji yanasaidia kweli mm sina tabia ya kunywa maji mengi ila nilipoanza kunywa ilipotea tu ghafla nikapona ikawa historia ila kuna ndugu yangu yeye naye ilimpata ilikuwa serious sana akafanyiwa mpaka operation ndo akapona na haikujirudia tena! Sasa itabidi tushirikiane kuipata dawa ngoja niendelee kuuliza watuSio kweli mkuu. Samahani kukubishia lakini. Mimi kwa siku nakunywa maji si chini ya lita 3 kwa siku. Maximum lita 4 kila siku mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana mkuu kwa wema wako. Hivi nafikiria kesho niwaone doctor's wataalam wa upasuaji.Bila samahani Mkuu! Mm nishawahi kuugua hivyo nikagoogle ndo nikaona maji yanasaidia kweli mm sina tabia ya kunywa maji mengi ila nilipoanza kunywa ilipotea tu ghafla nikapona ikawa historia ila kuna ndugu yangu yeye naye ilimpata ilikuwa serious sana akafanyiwa mpaka operation ndo akapona na haikujirudia tena! Sasa itabidi tushirikiane kuipata dawa ngoja niendelee kuuliza watu
Sent from my iPhone using JamiiForums
Asante sana mkuu kwa wema wako. Hivi nafikiria kesho niwaone doctor's wataalam wa upasuaji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli eeeh...! Kama mara mbili nimetoroka hosp. Mwezi wa 9 mwaka jana doctor mmoja baada ya kuniona akasema tena kwa mkazo,bro subiri oparation,nikamwacha anandaa vifaa. Kingine kilichofanya nitie mpira kwapani,tuko pale akasema hii ni mara ya anakuja. Anafanyiwa vinarudi baada ya miaka mi3. Mimi nafikiri bado hawajagundulia dawa sawa sawa. Huu ugonjwa nafikiri unakuwa umejijenga ndani tumboni. Wanatoa vya nje bila kutoa tiba kuua vimelea vyote vya ndaniWaone Mkuu halafu operation yake haiko complicated sana ni wanakikata tu hako kanyama halafu wanakupa na dawa za maumivu basi baada ya siku mbili tatu unapona
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kweli eeeh...! Kama mara mbili nimetoroka hosp. Mwezi wa 9 mwaka jana doctor mmoja baada ya kuniona akasema tena kwa mkazo,bro subiri oparation,nikamwacha anandaa vifaa. Kingine kilichofanya nitie mpira kwapani,tuko pale akaja jamaa mmoja anasema hii ni mara ya 3 anakuja. Anafanyiwa vinarudi baada ya mwaka au miaka mi3 au mi3. Mimi nafikiri bado hawajagundulia dawa sawa sawa. Huu ugonjwa nafikiri unakuwa umejijenga ndani tumboni. Wanatoa vya nje bila kutoa tiba kuua vimelea vyote vya ndaniWaone Mkuu halafu operation yake haiko complicated sana ni wanakikata tu hako kanyama halafu wanakupa na dawa za maumivu basi baada ya siku mbili tatu unapona
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu mimi push-ups napiga sana ila inapokuja swala la jogging huwa naishiwa pozi.Tunaopenda JOGIING tunacomment wapi?
Tupia picha mkuuNilikua napiga push up za kawaida napiga 50 lakini niakona kazi bure,
Maana kuna jamaa alinipa demo nipige push up 10 za kibana mikono (mikono unaikutanisha unatengeneza kopa) nilipiga nne tu nikashindwa kuendelea maana ukibana mikoni unakosa balance kurudi ukishuka.
Nikaona hizi ndio zenyewe ukipiga kumi tu zinatosha
Sasa kila siku nikitaka kuoga nazipiga 25(hapa nimekubuhu ndo maana napiga nyingi ivi) saivi kifua kimekua kama The Rock.
Sina picha mkuu.Tupia picha mkuu
Maji + Matunda + Mboga Mboga kwa wingiMkuu dawa ya bawasiri ni kunywa maji mengi ukiwa una tabia ya kunywa maji mengi huwezi kupata bawasiri
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ongeza Matunda na Mboga Mboga utatoa majibu yake humuSio kweli mkuu. Samahani kukubishia lakini. Mimi kwa siku nakunywa maji si chini ya lita 3 kwa siku. Maximum lita 4 kila siku mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuu. Kila mlo wangu mmoja kwa siku ni matunda tu. Hiyo mboga itabidi niisake mkuuOngeza Matunda na Mboga Mboga utatoa majibu yake humu
Kuna Mboga inaitwa Mgagani nenda kwenye masoko ya Uswazi inasaidia sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka hakuna kitu kibaya kama ku skip Breakfast au kula kidogoWakuu mie huwa napiga 70, kwa mkupuo, kisha naanza kushuka hadi 20. Nimeanza kupiga toka 2003.
Ila kuna kipindi niliacha km miez sita, nilipokuja kuanza kupiga push up. Sikuweza kufikisha 70 kwa mara moja.
Ila nimekomaa hadi nimeanza kuweza.
Tatizo uzito umeongezeka toka 82kg hadi 89.
Na urefu wangu ni cm 178. Kimsingi huwa napiga zoez ili kilo.zipungue. kwan nataka niwe na 75-80. Ila shida, navyozidi kupiga push up uzito unaongeza sana. Na bado najitahidi niwe nakula sana mchana tu, asubuhi sili, usiku ni matunda tu au karanga.
Je nifanye ili uzito upungue na usiathiri routine yangu?
Sent using Jamii Forums mobile app