Kwa wale watu wa kikosi Maalum (Makomandoo) mliopo JamiiForums nitashukuru leo mkinijibu haya Maswali yangu yafuatayo

Usidanganyike na Rambo ndugu,mawe yakianza kushuka kama mvua hakuna cha ukomandoo
 

1,sio kweli kuna majasusi wa kila aina mpaka makahaba.

2,si uchawi ni elimu juu ya mazingira yanayokuzunguka.

3,hapana hizi ni chai za vijiweni,komandoo sio askari sugu,ni askari mwenye ujuz zaidi hivyo kama ni nidhamu au utii kwake ni ×2.

4,sio lazima.inategemea kamalizia kozi nchi ipi.

5,hawa huripoti ofisi ya dc wilaya husika,ambako kuna mshauri mgambo ambaye ni mwanajeshi wa cheo mbali mbali.

6,hapana.

7,kazi anayofanya komandoo mmoja ni sawa na wanajeshi 11,sio kutuliza vurugu au kutoa adhabu,ni kazi za kivita za askari.

8,ndio maana ni kosa yeye kupigana na raia chini ya 11.anatakiwa akimbie.

9,hiyo ni bahati mbaya ila sio utaratibu,wapo weye familia na wanapenda nyimbo za alikiba pia.

10,hakuna ukweli katika hilo

11,hapana sio kweli,vifo hutokea ila sio kwa ratio hiyo,na ikitokea mtu ameumia hurudishwa kikosi alichotokea kuendelea kuwa askari wa kawaida.
 
Niliokuwa Kwa mujibu was Sheria, nulimuuliza private mmoja khusu mshahara wa commando,akasema commando ni Cheo Cha kisen....inabidi baada ya mda uwe umetulia na familia yako umechill.co maisha yote porini tu,hata mishahara Yao wamawazid kidogo tu.
 
Ni kweli kabisa!

Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app
 
Mleta Thread Upo Mkoa Gani?
Karibu Sana Morogoro Hapa Ujionee Hayo Uliyoyauliza
Morogoro Kuna Mengi Sana Hayo Uliyosema Ni Machache



SEAL TEAM Ya US Wanapatiwa Mafunzo Hapa 😅😂
 
Mleta Thread Upo Mkoa Gani?
Karibu Sana Morogoro Hapa Ujionee Hayo Uliyoyauliza
Morogoro Kuna Mengi Sana Hayo Uliyosema Ni Machache



SEAL TEAM Ya US Wanapatiwa Mafunzo Hapa 😅😂
 
Kuna Komandoo ninafahamiana naye, niona maswali yako nikamforwadia, kanipa majibu haya kulingana na maswali uliyouliza.
1. Ni kweli.
2. Ni kweli.
3. Siyo kweli.
4. Siyo kweli.
5. Ni kweli.
6. Siyo kweli.
7. Siyo kweli.
8. Ni kweli.
9. Siyo kweli.
10. Siyo kweli
11. Siyo kweli
 
wapo makomandoo ila sio hawa wetu wa sasa iv,wamenenepeana....shoo zao wanavunja tofari lenye ratio ya mchanga mwingi sement kidogo pale taifa...wanapinda nondo ya milimita nne wanajiona wamepinda chuma..
 
Dar es salaam kuna watu million 6 na zaidi wote wanaweza kutulizwa na Makomandoo 5 mpaka 7 tuu [emoji28][emoji28][emoji28]
Ndio mzee tena dar kuna wanaume kama mabinti,ni rahisi sana kwetu sisi gun-control ndani ya muda mfupi tu tunawalaza hoi
 
Napenda sana hivyo mkuu. Lakini viwe katika lugha ya kiswahili sio ung'eng'e. Sijui ung'eng'e. Niambie nitapata wapi vya kijasusi kiswahili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…