Kimpyempye
JF-Expert Member
- Dec 11, 2018
- 723
- 1,157
Jamaa una ID nyingi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usidanganyike na Rambo ndugu,mawe yakianza kushuka kama mvua hakuna cha ukomandooMzee watu 20 hawawezi kumtuliza komando, kikawaida uwezo wa kimedani kwa commando mmoja aloyefuzu completely ni sawa na wanajeshi wa kawaida 100.
Sasa wale machinga wa k/Koo ndio wamtulize commando? C'mon wagwan... Sometime Bora ukae kimya utaonekana mwerevu kuliko kuropoka ndani ya kadamnasi.
1. Je, ni kweli kuwa Majasusi wengi huwa ni Makomandoo?
2. Je, ni kweli kuwa katika Mafunzo yenu ya Ukomandoo huwa kuna Kipengele cha Kujifunza Uchawi?
3. Je, ni kweli kuwa kwa uwezo wenu mkubwa wa Kimedani nyie huwa hamna Kiwango Maalum cha Mishahara na kwamba Kiwango ukitakacho ukikiomba tu unapewa tena ukiwa unatetemekewa na kupigiwa Magoti?
4. Je, ni kweli kuwa Makomandoo wote wanatakiwa kujua Kuongea Lugha za Kimataifa kuanzia 7 mpaka 12 tena Kiufasaha kabisa?
5. Je, ni kweli kuwa Komandoo akiwa Likizo kuanzia OCD, RPC, DSO, RSO, RC, IGP pamoja na Mjumbe wa Nyumba Kumi wanatakiwa wajue na kila Siku wawe wanakupigia Simu kukuulizia hali yako na ikiwezekana hata Kukuamkia Shikamoo na Kukupigia Saluti huko huko waliko hata kama huwaoni?
6. Je, ni kweli kuwa Makomandoo mkiwa katika Mafunzo au Maisha yenu huko katika Kambi yenu msipopelekwa maeneo yenye ama Chatu wengi au Mito yenye Mamba wengi mkapambane nao huwa hamsikii raha mpaka kufikia Kitendo cha Kununa na hata Kususa Kula?
7. Je, ni kweli kuwa Makomandoo 5 mpaka 7 tu kwa Uwezo wao mkubwa wa Kimedani wakiamua Watu wote wa Mkoa wa Dar es Salaam tulale Saa 6 Mchana na tuamke Saa 12 Jioni Kesho yake kwa kutupa Adhabu zenu inawezekana?
8. Je, ni kweli kuwa aina ya Karate wanayojifunza Makomandoo ni ile ya COMBAT ya Kuua kabisa Mtu au Adui na siyo hizi za Kawaida za Kumjeruhi tu Adui / Mtu mara moja kisha unamruhusu akale Ugali na Maharage Kwao?
9. Je, ni kweli kuwa Makomandoo wengi huwa hawana Watoto na kwamba hata uwezo wao wa Kuzalisha huondolewa au huondoka automatically tu kwa aina ya Mazoezi magumu na ya Hatari mnayofanya?
10. Je, ni kweli kuwa Makomandoo wengi huwa wakifikisha Umri wa kuanzia Miaka 55 hupewa Sumu na Kufa kwakuwa wanakuwa siyo Productive tena Kimedani na kwamba wanahofiwa wanaweza Kuvujisha au kutoa Siri za Jeshi na hata za nchi kwa Maadui?
11. Je, ni kweli kuwa ili Kozi ya Ukomandoo iwe imefana inatakiwa kama mlikuwa mmeingia 100 Mafunzoni basi 55 wawe Wamekufa na 25 wawe wamejeruhiwa kwa kuwa Vilema na wengine hata Makolomero yao na Ulimi kujjtokeza Mdomoni na 20 tu ndiyo wawe Hai na Kukamilika?
Sasa ni wakati wa nyie Kunijibu tu nijue.
Hahahaha eti RamboUsidanganyike na Rambo ndugu,mawe yakianza kushuka kama mvua hakuna cha ukomandoo
Ni kweli kabisa!1,sio kweli kuna majasusi wa kila aina mpaka makahaba.
2,si uchawi ni elimu juu ya mazingira yanayokuzunguka.
3,hapana hizi ni chai za vijiweni,komandoo sio askari sugu,ni askari mwenye ujuz zaidi hivyo kama ni nidhamu au utii kwake ni ×2.
4,sio lazima.inategemea kamalizia kozi nchi ipi.
5,hawa huripoti ofisi ya dc wilaya husika,ambako kuna mshauri mgambo ambaye ni mwanajeshi wa cheo mbali mbali.
6,hapana.
7,kazi anayofanya komandoo mmoja ni sawa na wanajeshi 11,sio kutuliza vurugu au kutoa adhabu,ni kazi za kivita za askari.
8,ndio maana ni kosa yeye kupigana na raia chini ya 11.anatakiwa akimbie.
9,hiyo ni bahati mbaya ila sio utaratibu,wapo weye familia na wanapenda nyimbo za alikiba pia.
10,hakuna ukweli katika hilo
11,hapana sio kweli,vifo hutokea ila sio kwa ratio hiyo,na ikitokea mtu ameumia hurudishwa kikosi alichotokea kuendelea kuwa askari wa kawaida.
Kuna Komandoo ninafahamiana naye, niona maswali yako nikamforwadia, kanipa majibu haya kulingana na maswali uliyouliza.1. Je, ni kweli kuwa Majasusi wengi huwa ni Makomandoo?
2. Je, ni kweli kuwa katika Mafunzo yenu ya Ukomandoo huwa kuna Kipengele cha Kujifunza Uchawi?
3. Je, ni kweli kuwa kwa uwezo wenu mkubwa wa Kimedani nyie huwa hamna Kiwango Maalum cha Mishahara na kwamba Kiwango ukitakacho ukikiomba tu unapewa tena ukiwa unatetemekewa na kupigiwa Magoti?
4. Je, ni kweli kuwa Makomandoo wote wanatakiwa kujua Kuongea Lugha za Kimataifa kuanzia 7 mpaka 12 tena Kiufasaha kabisa?
5. Je, ni kweli kuwa Komandoo akiwa Likizo kuanzia OCD, RPC, DSO, RSO, RC, IGP pamoja na Mjumbe wa Nyumba Kumi wanatakiwa wajue na kila Siku wawe wanakupigia Simu kukuulizia hali yako na ikiwezekana hata Kukuamkia Shikamoo na Kukupigia Saluti huko huko waliko hata kama huwaoni?
6. Je, ni kweli kuwa Makomandoo mkiwa katika Mafunzo au Maisha yenu huko katika Kambi yenu msipopelekwa maeneo yenye ama Chatu wengi au Mito yenye Mamba wengi mkapambane nao huwa hamsikii raha mpaka kufikia Kitendo cha Kununa na hata Kususa Kula?
7. Je, ni kweli kuwa Makomandoo 5 mpaka 7 tu kwa Uwezo wao mkubwa wa Kimedani wakiamua Watu wote wa Mkoa wa Dar es Salaam tulale Saa 6 Mchana na tuamke Saa 12 Jioni Kesho yake kwa kutupa Adhabu zenu inawezekana?
8. Je, ni kweli kuwa aina ya Karate wanayojifunza Makomandoo ni ile ya COMBAT ya Kuua kabisa Mtu au Adui na siyo hizi za Kawaida za Kumjeruhi tu Adui / Mtu mara moja kisha unamruhusu akale Ugali na Maharage Kwao?
9. Je, ni kweli kuwa Makomandoo wengi huwa hawana Watoto na kwamba hata uwezo wao wa Kuzalisha huondolewa au huondoka automatically tu kwa aina ya Mazoezi magumu na ya Hatari mnayofanya?
10. Je, ni kweli kuwa Makomandoo wengi huwa wakifikisha Umri wa kuanzia Miaka 55 hupewa Sumu na Kufa kwakuwa wanakuwa siyo Productive tena Kimedani na kwamba wanahofiwa wanaweza Kuvujisha au kutoa Siri za Jeshi na hata za nchi kwa Maadui?
11. Je, ni kweli kuwa ili Kozi ya Ukomandoo iwe imefana inatakiwa kama mlikuwa mmeingia 100 Mafunzoni basi 55 wawe Wamekufa na 25 wawe wamejeruhiwa kwa kuwa Vilema na wengine hata Makolomero yao na Ulimi kujjtokeza Mdomoni na 20 tu ndiyo wawe Hai na Kukamilika?
Sasa ni wakati wa nyie Kunijibu tu nijue.
Huogopi kukamatwa wewe?wapo makomandoo ila sio hawa wetu wa sasa iv,wamenenepeana....shoo zao wanavunja tofari lenye ratio ya mchanga mwingi sement kidogo pale taifa...wanapinda nondo ya milimita nne wanajiona wamepinda chuma..
Umefutwa.Kuna ule uzi uliokua Unaendelea lek ukirlezea ile operation ya Kibiti nakutafuta Ila siuoni.
Mtu anisaidie jina niusake please
Ndio mzee tena dar kuna wanaume kama mabinti,ni rahisi sana kwetu sisi gun-control ndani ya muda mfupi tu tunawalaza hoiDar es salaam kuna watu million 6 na zaidi wote wanaweza kutulizwa na Makomandoo 5 mpaka 7 tuu [emoji28][emoji28][emoji28]
Wewe ni mwanajeshi wa kawaida au komando? Komando anajisifia kweli? Nina-doubt, hapo juu kuna komando mwenzio kasema hili si kweli!Ndio mzee tena dar kuna wanaume kama mabinti,ni rahisi sana kwetu sisi gun-control ndani ya muda mfupi tu tunawalaza hoi
Napenda sana hivyo mkuu. Lakini viwe katika lugha ya kiswahili sio ung'eng'e. Sijui ung'eng'e. Niambie nitapata wapi vya kijasusi kiswahili?Hamna ukweli hapo,ukitaka kujua mafunzo na maisha ya makomandoo,nenda kasome vitabu vilivyoandikwa kuhusu makomandoo wa USA(Seal Team,Marine,Delta force,CIA,secret service,drug enforcement agency DEA,state department)au wa UK(SAS,Scotland yard),au wa Israel(mossad,shabak,)au Russia(KGB,FSB,spetsnaz)
Achana na story za vijiweni za kibongo hazina uhalisia,huku kwetu wanaona wakiua chatu ni jambo la kishujaa na kujipongeza)