Kwa wale watu wa kikosi Maalum (Makomandoo) mliopo JamiiForums nitashukuru leo mkinijibu haya Maswali yangu yafuatayo

Kafanyia Mafunzo yake Morogoro tu pekee au alienda mpaka Cuba na Israel kwa Makomandoo wa uhakika na waliokamilika Kimedani na ambao ndiyo nawaongelea sana hapa?
Inawezekana hata maana ya neno "komando" hujui maana yake.
 
Kumbe ndio maana Jaydee hana mtoto
 
Nenda Morogoro hapo 92 KJ ukaulize vizuri hayo maswali ndugu yangu.

Baada ya maswali pia waulize ni nini maana ya 'PAIN IS MY MEDICINE',afterthen Leta feedback kwetu.
 
Hili linajisheua tu hata sio likomando Wala nn
Najua Ndugu na ndiyo maana unaona namsanifu tu japo Yeye anajua kuwa nimemuamini au tumemuamini kuwa Yeye ni Komandoo wakati hapa Mafunzo ya SKAUTI hajayapitia.
 
Jamaa una ID nyingi
Nasikia eti huo nao ndiyo Ukomandoo wenyewe Ndugu au? Halafu kwanini sijui huyo Jamaa ana ID nyingi na hata Mimi huwa namshangaa wakati Sisi wengine Mimi na Wewe tuna hizi hizi ID zetu tu za Kimpyempye na Mightier.
 
Nifanyej ili niwe komandoo
Unaweza kukaa Wiki Saba bila Kunya na kukaa Kifua wazi huku ukiwa umevalia Bukta tu katika baridi Kali la Mafinga au Makambako au Njombe kama hii iliyoko huko sasa na Kuoga Maji baridi kwa Wiki Mbili mfululizo?
 
Maelezo mengi, marefu na yasiyo ya Mpangilio na sijaona hata la maana uliloliandika hapa. Hata hivyo Asante kwa Kuchangia.
 
Bora ungenyamaza tu na kuwa Msomaji badala ya kupoteza muda wako na Kuchangia hovyo kama hivi ulivyochangia hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…