Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inawezekana hata maana ya neno "komando" hujui maana yake.Kafanyia Mafunzo yake Morogoro tu pekee au alienda mpaka Cuba na Israel kwa Makomandoo wa uhakika na waliokamilika Kimedani na ambao ndiyo nawaongelea sana hapa?
Kumbe ndio maana Jaydee hana mtoto1. Je, ni kweli kuwa Majasusi wengi huwa ni Makomandoo?
2. Je, ni kweli kuwa katika Mafunzo yenu ya Ukomandoo huwa kuna Kipengele cha Kujifunza Uchawi?
3. Je, ni kweli kuwa kwa uwezo wenu mkubwa wa Kimedani nyie huwa hamna Kiwango Maalum cha Mishahara na kwamba Kiwango ukitakacho ukikiomba tu unapewa tena ukiwa unatetemekewa na kupigiwa Magoti?
4. Je, ni kweli kuwa Makomandoo wote wanatakiwa kujua Kuongea Lugha za Kimataifa kuanzia 7 mpaka 12 tena Kiufasaha kabisa?
5. Je, ni kweli kuwa Komandoo akiwa Likizo kuanzia OCD, RPC, DSO, RSO, RC, IGP pamoja na Mjumbe wa Nyumba Kumi wanatakiwa wajue na kila Siku wawe wanakupigia Simu kukuulizia hali yako na ikiwezekana hata Kukuamkia Shikamoo na Kukupigia Saluti huko huko waliko hata kama huwaoni?
6. Je, ni kweli kuwa Makomandoo mkiwa katika Mafunzo au Maisha yenu huko katika Kambi yenu msipopelekwa maeneo yenye ama Chatu wengi au Mito yenye Mamba wengi mkapambane nao huwa hamsikii raha mpaka kufikia Kitendo cha Kununa na hata Kususa Kula?
7. Je, ni kweli kuwa Makomandoo 5 mpaka 7 tu kwa Uwezo wao mkubwa wa Kimedani wakiamua Watu wote wa Mkoa wa Dar es Salaam tulale Saa 6 Mchana na tuamke Saa 12 Jioni Kesho yake kwa kutupa Adhabu zenu inawezekana?
8. Je, ni kweli kuwa aina ya Karate wanayojifunza Makomandoo ni ile ya COMBAT ya Kuua kabisa Mtu au Adui na siyo hizi za Kawaida za Kumjeruhi tu Adui / Mtu mara moja kisha unamruhusu akale Ugali na Maharage Kwao?
9. Je, ni kweli kuwa Makomandoo wengi huwa hawana Watoto na kwamba hata uwezo wao wa Kuzalisha huondolewa au huondoka automatically tu kwa aina ya Mazoezi magumu na ya Hatari mnayofanya?
10. Je, ni kweli kuwa Makomandoo wengi huwa wakifikisha Umri wa kuanzia Miaka 55 hupewa Sumu na Kufa kwakuwa wanakuwa siyo Productive tena Kimedani na kwamba wanahofiwa wanaweza Kuvujisha au kutoa Siri za Jeshi na hata za nchi kwa Maadui?
11. Je, ni kweli kuwa ili Kozi ya Ukomandoo iwe imefana inatakiwa kama mlikuwa mmeingia 100 Mafunzoni basi 55 wawe Wamekufa na 25 wawe wamejeruhiwa kwa kuwa Vilema na wengine hata Makolomero yao na Ulimi kujjtokeza Mdomoni na 20 tu ndiyo wawe Hai na Kukamilika?
Sasa ni wakati wa nyie Kunijibu tu nijue.
Umepigwa pinKuna ule uzi uliokua Unaendelea lek ukirlezea ile operation ya Kibiti nakutafuta Ila siuoni.
Mtu anisaidie jina niusake please
Kwanini umecheka sana Ndugu?[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aki nmecheka kwa sauti
Nasikitika sana umepoteza muda wako kumjibu huyo Dame Fool kwa alichokiandika wakati Mimi nilishamdharau Kitambo.US Secret Service, DEA, na State Department nao ni makomandoo?
Aisee 🤣🤣🤣🤣
Ndugu Wewe ni Mgeni na hujajua tu kuwa wengine hapa JamiiForums ndiyo sehemu yao ya kutaka Kujimwambafai ili labda waogopeke na hata wapate Mademu wa Kuwashobokea kwa Swaga zao za Kishamba?
Najua Ndugu na ndiyo maana unaona namsanifu tu japo Yeye anajua kuwa nimemuamini au tumemuamini kuwa Yeye ni Komandoo wakati hapa Mafunzo ya SKAUTI hajayapitia.Hili linajisheua tu hata sio likomando Wala nn
Nasikia eti huo nao ndiyo Ukomandoo wenyewe Ndugu au? Halafu kwanini sijui huyo Jamaa ana ID nyingi na hata Mimi huwa namshangaa wakati Sisi wengine Mimi na Wewe tuna hizi hizi ID zetu tu za Kimpyempye na Mightier.Jamaa una ID nyingi
Unaweza kukaa Wiki Saba bila Kunya na kukaa Kifua wazi huku ukiwa umevalia Bukta tu katika baridi Kali la Mafinga au Makambako au Njombe kama hii iliyoko huko sasa na Kuoga Maji baridi kwa Wiki Mbili mfululizo?Nifanyej ili niwe komandoo
Maelezo mengi, marefu na yasiyo ya Mpangilio na sijaona hata la maana uliloliandika hapa. Hata hivyo Asante kwa Kuchangia.1: kweli kuhusu ujasusi mtu yeyote aliyepewa mafunzo anaweza kuwa jasusi, kwa makomandoo makomandoo pia kuna majasusi au IO's na pia kama kuna mission sehem ngumu au ya hatari hasa kwenye uwanja wa medani huwa komando hutumwa kusoma na kuangalia mazingira
2: Kuhusu kama alivyo jibu mkuu hapo juu inategemea na sehemu aliyopigia kozi kama ni nje kama cuba, Israel au sehemu nyingine hakuna guarantee ya hivyo vitu ila kama ni 92 vinaweza kuwepo kutokana na nature ya wakufunzi au viongozi wenyewe pia askari mwenyewe
3: Kiwango cha mshahara kinapangwa na serikali, komando ni askari kama askari wengine hivyo basi mshahara anapewa kama askari wengine ila tofauti ni trade kila vikosi vyenye majukumu fulani hupewa pesa kulingana na majukumu askari wa infantry anaweza kulipwa tofauti japo kwa kiasi kidogo na wa navy, airforce au Jkt
4: Kuhusu lugha siyo kweli labda kwa wanaokwenda kujifunza nje ya nchi kufahamu lugha zaidi ya moja ni mhimu ila siyo 7 kwa wanaopewa mafunzo 92 hata kama hujui kiingereza unafahamu Kiswahili pekee unakuwa umequalify kupata mafunzo
5: Komando kama wengi wa askari wengine hufuata taratibu za kijeshi hivyo akifika likizo lazima aripoti aidha kwa dc, rc, kikosi cha karibu n. k kuhusu kusalute inategemea na rank yake kama ameenda kuripoti vikosini kama ni afisa atapigiwa salute na askari wa chini yake na kuwapigia wa cheo cha juu yake ila akienda kwa DC, RC nk kwa kuwa ni wateule wa rais akiwa full combat atawapigia salute mengineyo ni hadithi Rc au Dc anapigiwa salute hadi na CDF
6: Kuhusu kupenda maeneo hatarishi siyo kweli komando anaweza kuishi sehemu yoyote na akawa comfortable aidha iwe porini au iwe mjini
7: Ni kweli wana uwezo mkubwa wa kimedali na mara nyingi wanakuwa hatari wakiwa wengi sehemu moja lakini utendaji wao ni wa kimedali zaidi kuliko hiyo akili yako uliyowaza ya kuzuia au kudhibiti idadi kubwa ya watu kiasi hicho
8: Ni kweli wanajifunza mafunzo yote ya kuua au kujeruhi
9: Siyo kweli japo inaweza tokea pia ila komando wanazalisha na wanafanya mapenzi kama binadamu wengine
10: Hii ni nadharia inaweza tokea kwa baadhi kama kutakuwa ila siyo wote
11: Kutokana na ugumu wenyewe wa kozi askari wengi hutoroka au hata kufa wanaweza anza 200 wakamaliza 120, 100 au hata 90 na pia kuna sabab nyingine ila kuziongelea nadhani tutakuwa tunagusa mambo yasiyokuhusu
NOTE :92kj ukiingia unakaribishwa na kibao kimeandikwa "PAIN IS MY MEDICINE" fikiria ina maana gani na kwa nini kila komandoo ni askari ila siyo kila askari ni komandoo. if u have a dream then follow your dream, nothing is impossible under the sun [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
nimejaribu kuelezea kwa uzoefu wa kuambiwa na kusikia kama wewe mimi siyo komandoo wala sijawahi kuhudhuria mafunzo hayo
Bora ungenyamaza tu na kuwa Msomaji badala ya kupoteza muda wako na Kuchangia hovyo kama hivi ulivyochangia hapa.1,sio kweli kuna majasusi wa kila aina mpaka makahaba.
2,si uchawi ni elimu juu ya mazingira yanayokuzunguka.
3,hapana hizi ni chai za vijiweni,komandoo sio askari sugu,ni askari mwenye ujuz zaidi hivyo kama ni nidhamu au utii kwake ni ×2.
4,sio lazima.inategemea kamalizia kozi nchi ipi.
5,hawa huripoti ofisi ya dc wilaya husika,ambako kuna mshauri mgambo ambaye ni mwanajeshi wa cheo mbali mbali.
6,hapana.
7,kazi anayofanya komandoo mmoja ni sawa na wanajeshi 11,sio kutuliza vurugu au kutoa adhabu,ni kazi za kivita za askari.
8,ndio maana ni kosa yeye kupigana na raia chini ya 11.anatakiwa akimbie.
9,hiyo ni bahati mbaya ila sio utaratibu,wapo weye familia na wanapenda nyimbo za alikiba pia.
10,hakuna ukweli katika hilo
11,hapana sio kweli,vifo hutokea ila sio kwa ratio hiyo,na ikitokea mtu ameumia hurudishwa kikosi alichotokea kuendelea kuwa askari wa kawaida.
Komando jide huyo [emoji23][emoji1787]
Huyu sio komando ni Kumando wa kondoo
Hizo ni muvi kaka.....Dar es salaam kuna watu million 6 na zaidi wote wanaweza kutulizwa na Makomandoo 5 mpaka 7 tuu 😅😅😅