MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 4,071
- 10,028
Ughonile..
Hii hali najua sio mimi tu naekumbana nayo.
Unakuta mtu una "My Only" zaidi ya 10 na wote mapenzi yako 🔥 inatokea unameet na mmoja wapo wa hao "My Only" analeta pigo za kuazima simu yako mara naomba nicheze Game, mara naomba nijisnap mara nisaidie simu yako nicheki movie mara naomba nimpigie mtu and the like yaani ilimradi tu usumbufu.
Muda huo unaombwa simu kumbuka "My Only" wengine wanatuma meseji kama ugomvi tena zile sensitive, huwa mnachomokaje kwenye huu mtiani.
My Take: wanawake acheni kuazima simu zetu, mtakuja kutuua kwa presha.