kwa wale wenye "My Only" zaidi ya 10 mnawezaje kuhandle situation ya kuazimana simu mkiwa pamoja.

kwa wale wenye "My Only" zaidi ya 10 mnawezaje kuhandle situation ya kuazimana simu mkiwa pamoja.

Ughonile..

Hii hali najua sio mimi tu naekumbana nayo.
Unakuta mtu una "My Only" zaidi ya 10 na wote mapenzi yako 🔥 inatokea unameet na mmoja wapo wa hao "My Only" analeta pigo za kuazima simu yako mara naomba nicheze Game, mara naomba nijisnap mara nisaidie simu yako nicheki movie mara naomba nimpigie mtu and the like yaani ilimradi tu usumbufu.

Muda huo unaombwa simu kumbuka "My Only" wengine wanatuma meseji kama ugomvi tena zile sensitive, huwa mnachomokaje kwenye huu mtiani.

My Take: wanawake acheni kuazima simu zetu, mtakuja kutuua kwa presha.
Dawa ni kuoa/ kuwaambia umeoa. Mwanamke akishajua umeoa basi hawezi tena kuhangaika na simu yako maana tayari anajua yeye sio main. Ukiwa hujaoa kila mwanamke anajiona main kwahiyo usumbufu unakua mwingi sana..
 
Wewe usishike simu zao, Ili wakikuomba simu Yako unawajibu mbona Mimi sishikagi simu Yako.
Hapo unamzidishia hofu zaidi, MKILINDI kafunga uzi kwa comment yake ya kublock kwa muda ma msg na call zisiingie kabla wakati akiwa kakuazima 'my only' wako.
 
wote wa nini?hasara wote uwape vocha lunch?unatafuta kutibiwa gono kila wiki....wote hao utawatia lini wote....hata ngungu ana utatu....unakuwa na min chick alafu side chick 2...zinatosha....hizo nyiinginen i kufukuzia wiki moja ukipiga unawaachia na wengine..
 
Dawa ni kuoa/ kuwaambia umeoa. Mwanamke akishajua umeoa basi hawezi tena kuhangaika na simu yako maana tayari anajua yeye sio main. Ukiwa hujaoa kila mwanamke anajiona main kwahiyo usumbufu unakua mwingi sana..
Big Brain 🧠 but too late
 
Simple! unapoanza tu mahusiano, mwambia hiyo simu ni Mali ya ofisi na kuna sensitive information zinapita, any compromise unaweza fukuzwa kazi ukiwa na bahati, otherwise ni jera. Pia Sheria ya makosa ya mitandao na utandawazi ya Mwaka 2015 inamtaka kila mtu aweke nywila kwenye kifaa chake Cha mawasiliano, na ni kosa kumpa mtu mwingine.

Kisha endelea kumbusha kila anapotaka kukuzoea na kudai simu yako.
NB: na wewe yake Ione kama kituo Cha polisi
 

Attachments

Back
Top Bottom