MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 4,071
- 10,028
Easy, the nearest is the dearest. Hiyo itategemea umeielewejeUghonile..
Hii hali najua sio mimi tu naekumbana nayo.
Unakuta mtu una "My Only" zaidi ya 10 na wote mapenzi yako 🔥 inatokea unameet na mmoja wapo wa hao "My Only" analeta pigo za kuazima simu yako mara naomba nicheze Game, mara naomba nijisnap mara nisaidie simu yako nicheki movie mara naomba nimpigie mtu and the like yaani ilimradi tu usumbufu.
Muda huo unaombwa simu kumbuka "My Only" wengine wanatuma meseji kama ugomvi tena zile sensitive, huwa mnachomokaje kwenye huu mtiani.
My Take: wanawake acheni kuazima simu zetu, mtakuja kutuua kwa presha.
Ughonile..

Unatumia simu aina gani ambayo haina spam sms, blockage sms nk?Ughonile..
Hii hali najua sio mimi tu naekumbana nayo.
Unakuta mtu una "My Only" zaidi ya 10 na wote mapenzi yako 🔥 inatokea unameet na mmoja wapo wa hao "My Only" analeta pigo za kuazima simu yako mara naomba nicheze Game, mara naomba nijisnap mara nisaidie simu yako nicheki movie mara naomba nimpigie mtu and the like yaani ilimradi tu usumbufu.
Muda huo unaombwa simu kumbuka "My Only" wengine wanatuma meseji kama ugomvi tena zile sensitive, huwa mnachomokaje kwenye huu mtiani.
My Take: wanawake acheni kuazima simu zetu, mtakuja kutuua kwa presha.
Kwamba 10 ni wengi sana?...... au haiwezekani?....... labda sema hakuna faida.Unawezaje Kuwa na wanawake 10? Ni Kiwanda cha konyagi fake?
Kuwa na Wanawake 10 ni uchafu sasa na kujitakia maradhi yanayoambukiza na yasioambukiza naona wawili mwisho watatu ni sawa.Ughonile..
Hii hali najua sio mimi tu naekumbana nayo.
Unakuta mtu una "My Only" zaidi ya 10 na wote mapenzi yako 🔥 inatokea unameet na mmoja wapo wa hao "My Only" analeta pigo za kuazima simu yako mara naomba nicheze Game, mara naomba nijisnap mara nisaidie simu yako nicheki movie mara naomba nimpigie mtu and the like yaani ilimradi tu usumbufu.
Muda huo unaombwa simu kumbuka "My Only" wengine wanatuma meseji kama ugomvi tena zile sensitive, huwa mnachomokaje kwenye huu mtiani.
My Take: wanawake acheni kuazima simu zetu, mtakuja kutuua kwa presha.
Imagine ukiwa na "My Only" mmoja unavoinjoy, je wakiwa kumi?Kwanini uwe nao wengi sasa? Yaan wewe kuwa na mmoja ukikosana nae asubuhi jioni mkubalie mwingine....huyo mwingine huenda ndiyo uliyeandikiwa.
Wakiwa wengi ni ngumu kuwabalance na ni ngumu moyo wako kuwa na furaha ya kujiachia.
Wenge muda wote...nini sasa🤨
Jana nilijichanganya nikampatia mmoja simu yangu kwenda kutoa hela, nilivokumbuka ikabidi nimfuate nyumanyuma kama bodyguardMtihani mgumu sana huo. Halafu wengine huwa wanafanya makusudi tu ili kupandisha watu presha.
Basi hongera sana mkuuImagine ukiwa na "My Only" mmoja unavoinjoy, je wakiwa kumi?
Wakiwa wachache wanasumbua sanaZaidi ya kumi? Unachotafuta ninini sasa
Na wanavojua kuchezesha nyaya
unakuta kakulalia kifuani inaingia meseji spidernyoka nmemiss nyuzi zako
We unamudu vipi kuwa na mwanamke mmoja? Una kasoro gani?Unawezaje Kuwa na wanawake 10? Ni Kiwanda cha konyagi fake?
Unatumia simu aina gani ambayo haina spam sms, blockage sms nk?