MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 4,071
- 10,028
- Thread starter
-
- #21
Huyo mmoja ndo hawezi kukuambukiza maradhi? Poor mindsetKuwa na Wanawake 10 ni uchafu sasa na kujitakia maradhi yanayoambukiza na yasioambukiza naona wawili mwisho watatu ni sawa.
Kuwa na Wanawake 10 ni uchafu sasa na kujitakia maradhi yanayoambukiza na yasioambukiza naona wawili mwisho watatu ni sawa.
😂😂 sasa watatu ndio hawawezi kuwa wagonjwa? 🤦🏾
Nimependa Avatar yako jannelle😂😂 sasa watatu ndio hawawezi kuwa wagonjwa? 🤦🏾
We unamudu vipi kuwa na mwanamke mmoja? Una kasoro gani?
Apo unapunguza uwezekano maana hata ukiwa na mmoja ugonjwa unaweza kuupata vile vile.😂😂 sasa watatu ndio hawawezi kuwa wagonjwa? 🤦🏾
Wewe ndio una poor Mindset...logic ndogo ivi bado huielewi kuwa unavoongeza Circle ya wapezi ndio na Chance ya kupata maradhi inaongezeka.Kila mtu ana fantasy zake kwenye mapenzi
Huyo mmoja ndo hawezi kukuambukiza maradhi? Poor mindset
Acha ufisiNimependa Avatar yako jannelle
TutatekanaAcha ufisi
Utatekwa
Mafwele mjomba wako ?Tutatekana
HAPANAMafwele mjomba wako ?
Dawa ni kuoa/ kuwaambia umeoa. Mwanamke akishajua umeoa basi hawezi tena kuhangaika na simu yako maana tayari anajua yeye sio main. Ukiwa hujaoa kila mwanamke anajiona main kwahiyo usumbufu unakua mwingi sana..Ughonile..
Hii hali najua sio mimi tu naekumbana nayo.
Unakuta mtu una "My Only" zaidi ya 10 na wote mapenzi yako 🔥 inatokea unameet na mmoja wapo wa hao "My Only" analeta pigo za kuazima simu yako mara naomba nicheze Game, mara naomba nijisnap mara nisaidie simu yako nicheki movie mara naomba nimpigie mtu and the like yaani ilimradi tu usumbufu.
Muda huo unaombwa simu kumbuka "My Only" wengine wanatuma meseji kama ugomvi tena zile sensitive, huwa mnachomokaje kwenye huu mtiani.
My Take: wanawake acheni kuazima simu zetu, mtakuja kutuua kwa presha.
Hapo unamzidishia hofu zaidi, MKILINDI kafunga uzi kwa comment yake ya kublock kwa muda ma msg na call zisiingie kabla wakati akiwa kakuazima 'my only' wako.Wewe usishike simu zao, Ili wakikuomba simu Yako unawajibu mbona Mimi sishikagi simu Yako.
Big Brain 🧠 but too lateDawa ni kuoa/ kuwaambia umeoa. Mwanamke akishajua umeoa basi hawezi tena kuhangaika na simu yako maana tayari anajua yeye sio main. Ukiwa hujaoa kila mwanamke anajiona main kwahiyo usumbufu unakua mwingi sana..