Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,559
- 11,180
Duuh kweli those days mambo yalikuwa safi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anayetoka wilaya yoyote ya mkoa Pwani hawezi kuwa wa kuja Dar.Kwani kutoka Mkuranga au Bagamoyo sio wa Kuja? Acha hizo wewe
Anayetoka wilaya yoyote ya mkoa Pwani hawezi kuwa wa kuja Dar.
Ni sawa ametoka Temeke ameenda Kinondoni.Ndio maana usafiri wao haunzii stand ya mikoani Ubungo. Dar ilikuwa sehemu ya mkoa Pwani mpaka mwaka 1972 ulipofanywa kuwa mkoa. Bado makao makuu ya mkoa Pwani yalibaki Dar mpaka 1979 zilipokatwa wilaya ya kisarawe na Bagamoyo na kuundwa Wilaya Kibaha ndio ikafanywa makao makuu.Kuna mgawanyiko mkubwa wa familia na ndugu kwa wenyeji katika wilaya za Dar na Pwani kutokana na mgawanyo huo uliofanywa wa kiutawala, lakini bond ya wenyeji wa mikoa hiyo haioni tofauti kati ya Dar na Pwani otherwise mgeni ndio anaweza kufikiri hivyo.
Regional Commissioner's Office Pwani - About Us - About the Region
Kabisa, mji wakati huo ulikuwa msafi tofauti na sasa ingawa kumejaa majengo ya kisasaUsafi na heshima kwenye mazingira wakati huo unawezekana ulikuwa sawa na Ulaya.
Mkuu GOKILIBar ya Gateways sio
Mkuu GokiliJamani mmenikumbusha class mate wangu Mussa Simba tulisoma wote Tambaza nae akiichezea Congo United miaka hiyo.Mwenye taarifa zake tafadhali anicheki inbox.Natanguliza shukrani.
Mkuu KitumbikwelaKabisa, mji wakati huo ulikuwa msafi tofauti na sasa ingawa kumejaa majengo ya kisasa
Hii ni Volkswagen kombiVolkswagen beetle zilikuwa zaaminika sana kuzungukia Africa kipindi hicho na zaidi zikionekana ni luxury cars kuliko Land rover 109.
View attachment 474792
Coco beach 1973
Mkuu Umechemsha sio Kichwele hapo huo ni Mtaa wa Nkuruma kushoto ni Petrol Station ya Total au Esso kipindi hicho na hilo Jengo mbele ya Petrol Station kwa Sasa ni Duka la National Tyre. wahindi wanauza Matairi na mambo mengine kwa bei kubwa kuliko maelezo. Upande wa kulia kuna jumba la Sinema la New Chox..Ukweli mji umeharibiwa na siyo kuchafuliwa tuu hebu angalia maeneo ya kichwele hayo [emoji116]
View attachment 349738
Mkuu mimi sio wa kuchemsha kuijua Dar-es-salaam,kwanza kichwele hupajui hebu kaulize tena kwa aliyekutajia hilo jina,kichwele ipo wapi? Pili hii picha ya 404 peugeot hapo siyo Nkurumah,hapo ni mtaa wa uhuru kona na Nyamwezi hiyo petrol station na jengo linalofatia kushoto bado yapo mpaka leo,upande wa kulia hiyo nyumba ndogo imevunjwa kuna Bank M, ukiangalia mbele unaona kuna Basi linatoka mnazi mmoja la kampuni ya DMT sina hakika kama uliwahi kupanda, basi lipo kona ya mtaa wa swahili na hilo ghorofa la kona ya swahili kulia bado lipo na kuna kituo cha taxi.Mkuu Umechemsha sio Kichwele hapo huo ni Mtaa wa Nkuruma kushoto ni Petrol Station ya Total au Esso kipindi hicho na hilo Jengo mbele ya Petrol Station kwa Sasa ni Duka la National Tyre. wahindi wanauza Matairi na mambo mengine kwa bei kubwa kuliko maelezo. Upande wa kulia kuna jumba la Sinema la New Chox..
Kichwele Mtaa wake ulibadilishwa jina na Ukaitwa Indira Gandhi kipindi hicho alipoitembelea Nchi akazawadiwa Mtaa. na Jina la Mtaa wa Market nadhani ndio wa kwanza and then soko likafa ukaitwa Kichwele and the Indira Gandhi.
So huo Nkuruma kama nao uliitwa Kichwele nirekebishe. Maana Mimi nilikuwa Mkazi wa City center miaka ya mwanzo ya 80's so nilikuwa nazunguka sana kutafuta company ya watoto mitaa yote kucheza maana ilikuwa ni shida watoto kupatikana mitaani kucheza.
Watoto wa Kariakoo enzi hizo Matusi na wizi yaani wanakupora wazi wazi and then walikuwa wachafu even kina FaizaFoxy
Mkuu Umechemsha sio Kichwele hapo huo ni Mtaa wa Nkuruma kushoto ni Petrol Station ya Total au Esso kipindi hicho na hilo Jengo mbele ya Petrol Station kwa Sasa ni Duka la National Tyre. wahindi wanauza Matairi na mambo mengine kwa bei kubwa kuliko maelezo. Upande wa kulia kuna jumba la Sinema la New Chox..
Kichwele Mtaa wake ulibadilishwa jina na Ukaitwa Indira Gandhi kipindi hicho alipoitembelea Nchi akazawadiwa Mtaa. na Jina la Mtaa wa Market nadhani ndio wa kwanza and then soko likafa ukaitwa Kichwele and the Indira Gandhi.
So huo Nkuruma kama nao uliitwa Kichwele nirekebishe. Maana Mimi nilikuwa Mkazi wa City center miaka ya mwanzo ya 80's so nilikuwa nazunguka sana kutafuta company ya watoto mitaa yote kucheza maana ilikuwa ni shida watoto kupatikana mitaani kucheza.
Watoto wa Kariakoo enzi hizo Matusi na wizi yaani wanakupora wazi wazi and then walikuwa wachafu even kina FaizaFoxy
Mkuu mimi sio wa kuchemsha kuijua Dar-es-salaam,kwanza kichwele hupajui hebu kaulize tena kwa aliyekutajia hilo jina,kichwele ipo wapi? Pili hii picha ya 404 peugeot hapo siyo Nkurumah,hapo ni mtaa wa uhuru kona na Nyamwezi hiyo petrol station na jengo linalofatia kushoto bado yapo mpaka leo,upande wa kulia hiyo nyumba ndogo imevunjwa kuna Bank M, ukiangalia mbele unaona kuna Basi linatoka mnazi mmoja la kampuni ya DMT sina hakika kama uliwahi kupanda, basi lipo kona ya mtaa wa swahili na hilo ghorofa la kona ya swahili kulia bado lipo na kuna kituo cha taxi.
Mkuu Dar-es-salaam ya wakati huo na viunga vyake vipo kichwani mwangu picha haijafutika. Nakupa changa moto pita Nkurumah na mtaa uhuru utajifunza kuangalia picha.Hiyo picha imepigwa kona ya mtaa Nyamwezi kuangalia mnazi mmoja.
Hayo ya wizi sii kweli kulikuwa hakuna ujinga huo,wote tulikuwa tunajuwana utamwibia nani?
Kariakoo ilikuwa eneo la waungwana wa mji huu.
Shukuran kwa maelezo yako Dada yangu.Achana nae haijuwi Dar huyo, anajidai tu humu.
Vipi kampeni ya usafi ya Daudi Bashite, imeshindwa kulirudisha jiji kwenye hali yake?.
Hiyo ndiyo Dar yetu. Sasa imechafuliwa sana na wakuja.
Vipi kampeni ya usafi ya Daudi Bashite, imeshindwa kulirudisha jiji kwenye hali yake?
Hii zamani sana kabla hata ya uhuru
Je mwaka 1961 au mwaka 1970? Watu wengi watafeli hapo......
Acha matusi wewe kigagula!!!Mmetuchafulia jiji letu, mlipotokea mlikuwa hata vyoo hamvijui.
Enzi hizo tulikuwa tunawaleta kama manamba tu.